Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚔️⚔️⚔️The Sea of Azov is forever lost to Ukraine "Ports in the Zaporozhye and Kherson regions will never again be Ukrainian. I am sure that after the reunification of our regions with Russia, the Sea of Azov will again, as it was before, become exclusively an inland sea of the Russian Federation," said a member of the main council of the military-civilian administration of the Zaporozhye region Vladimir Rogov⚔️⚔️⚔️
 
Raisi vladmir Putin ametembelea hospitali ya kijeshi wanakotibiwa wanajeshi wake nchini ukraine.

Hii ni mara ya kwanza kutembelea ukraine tangu alipopeleka vikosi Vyake mnamo February.

Chanzo: telegraph world news
Screenshot_20220526-101955.jpg
Screenshot_20220526-102023.jpg
 
Sanctions hit Russians hard, but enough to trigger a mass exodus or more unrest?​

Stores are shutting. Assets are frozen. Protests are erupting. But the extent of the backlash against Putin remains unclear.
 
Dunia nzima tulijua kwamba Zelensky na Ukraine yake ingetandikwa ndani ya siku 3 lakini sasa ni miezi 3 na vita bado ni mbinchi - huo ni ushindi kwao.
Wee jamaa huwa unawaza KWA kutumia MATAKO?? Ni jeshi gani linaweza kuikamata Ukraine ndani ya siku 3 na ukubwa wake ule wakijiografia?????

Hivi nyie kichwani mmebeba ubongo kweli?? (Achana na akili, ubongo tu unao???)

Yaani li-Ukraine lilivyo likubwa vile ulishike ndani ya siku 3?? Hilo jeshi litakuwa lina-advance kwa speed gani??

Kutoka mwanza hadi dar kwa basi ni mwendo wa masaa 12+, (nusu siku), hapo unasafiri tu (let's say una-advance tu) bila kusimama (fight). Then ukraine ilivyo kubwa vile uikamate ndani siku 3??? Hata kama ni ku-advance tu bila mapigano huwezi kuimaliza Ukraine ndani ya siku 3.

HICHO KITU HAKIPO, HAKIWEZEKANI!!!
 
FUSO kama FUSO
 
kwa hiyo unataka kutuambia itachukua miaka mingapi chief? Maana tunashangaa si mlisema mna makombora yanaweza kutandika hadi km 6,000 yaani urefu Dar - Mwanza mara 5; sasa kwa nini msitume moja tu likatandika ikulu ya Zelensky ili yaishe tushike na mengine ?
 
Kinachowaumiza KICHWA westerns,
Ni suala la Putin kutembelea ukraine kimya kimya.

Kisha baadae ya kufika kule,
Hajahamaki Wala Hajaongelea chochote. Kile kuhusu Vita inayoendelea Ukraine.

Zaidi zaidi aliwauliza wanajeshi waliojeruhiwa kuhusu majeraha Yao na wake zao na Mambo mengine ya familia zao. Pamoja na ucheshi wa Hapa na pale

Yaan Ni kana kwamba putin amekwenda kwenye matembezi ya kawaida uko Ukraine.
Screenshot_20220526-103618.jpg
 
Majority wapi hao pro nato
Umoja wa warusi waishio Tanzania ndiyo walituaminisha kwamba vita hii kama ikimaliza wiki ni bahati - sasa unakwenda mwezi wa 3 kila siku wanakuja na vi-clip vya Urusi kuteka mitaa.

Waje hapa watueleleze nini kimewapata ?
 
Kinachowaumiza KICHWA westerns,
Ni suala la Putin kutembelea ukraine kimya kimya.

Kisha baadae ya kufika kule,
Hajahamaki Wala Hajaongelea chochote. Kile kuhusu Vita inayoendelea Ukraine.

Zaidi zaidi aliwauliza wanajeshi waliojeruhiwa kuhusu majeraha Yao na wake zao na Mambo mengine ya familia zao. Pamoja na ucheshi wa Hapa na pale

Yaan Ni kana kwamba putin amekwenda kwenye matembezi ya kawaida uko Ukraine.View attachment 2239028
hatimaye kaamua kutembelea majeruhi, aende na kule akakusanye maiti za warusi wenzie zinazagaa mitaani !!

Back
Top Bottom