Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Putin de bad bwoy🤣 sahii nazidi pata picha how NATO muthafuckaz wamepoteana
Putin de bad bwoy🤣 sahii nazidi pata picha how NATO muthafuckaz wamepoteana
tatizo zelensky ni delicious hana balls🤣Ndio unatakaje kwa mfano.Mi hata Nikiolewa mke wa pili kwa Zelensky ni bora kuliko Putin anayewaza vita ambayo amepigana leo siku ya 90 hajaweza kuonyesha uanaume wake .
Pole...!
Mbona umeandika kinyonge hivyo...
Hatujawazoe pro ushoga kuwa
Yeye anaitaji kupapaswa tu kipindi hiki cha vita ubongo na ball network hakuna.Kupigwa na Putin mchezo?tatizo zelensky ni delicious hana balls🤣
Hahahahahah kwahio hata jamaa akilivurumisha dude kuelekea US anatega zake Jammer tu hamna missile wala ndege wala drone itaiona Moscow kweye ramani jammer ikiwa ON🤣!!!View attachment 2237524
🇷🇺⚔️🇷🇺❗️Russian electronic warfare systems are the best in the world! They are capable of literally blinding the entire NATO navigation system.
Electronic warfare "Bylina" is the latest electronic warfare system capable of analyzing the situation on the battlefield in real time without the participation of operators, searching for and classifying targets.
Literally in a matter of seconds, the complex recognizes radio stations, communication systems, radars, early warning aircraft and even enemy satellites, after which it suppresses them with lightning speed. The low-power individual radio stations used by saboteurs will not escape the attention of Bylina.
And that's not all, all new developments and capabilities of Russian electronic warfare systems are classified.
Therefore, today we see how NATO is trying to find alternatives to the GPS navigation system due to possible threats from Russian electronic warfare.🇷🇺
Unatakaje kwani ,mimi kwa sasa anayeweza kunioa ni Zelensky tu .Putin network hakuna nasikia ana prostate sijui uvimbe wa nini mie .Umeolewa!?
Hahahahah sasa si bora uje kwangu tu mama🤣 jamaa hata mke na watoto kashawatorosha siku mingi analala kibudu tuYeye anaitaji kupapaswa tu kipindi hiki cha vita ubongo na ball network hakuna.Kupigwa na Putin mchezo?
сегодняTudei & always
Makunyazi yangu yatakutia kichefuchefu tu ndio maana nataka wazee wenzangu tunalishana tu.Hahahahah sasa si bora uje kwangu tu mama🤣 jamaa hata mke na watoto kashawatorosha siku mingi analala kibudu tu
Sibora wapigane wafe kiume .Mijanaume ya Tz mioga sana .Sasa ulitaka wakubali kutawaliwa na Putin ni kama wewe leo ukubali Kenya au Uganda wakutawale si bora ufe unapigana kuliko kutawaliwa.Yaani sijui kwa nini tunazaa mijitu kama wewe pumba kabisaUkraine kuna regime ya kingese sana, Pro-Russia kuna mda pia tusisahau kuwaonea huruma Raia hawa wa kawaida wa Ukraine. Wanaumizwa sana na hawa viongozi wao, nipo huku telegram kwenye moja ya Channel zao.
Kumbe Humanitarian Aid hasa vyakula kutoka EU vinaingizwa kwenye Masuper market wanauziwa. Kuna uhaba wa mafuta, kuna uhaba wa nishati, Winter hiyo hapo mbele inakaribia. Wanasema uharibifu ni mkubwa, wanajeshi wanaokufa ni wengi ila mamlaka zao zinaficha ukweli ili kupandisha morali ya wanajeshi na jamii kwa ujumla.
Wanasema imetangazwa Martial Law but Vigogo wote wameondoka nchini hapo, wengi wapo Dubai, UK na Paris, also Spain wao na familia zao. Wanaopelekwa frontline hawana ujuzi wowote wa matumizi ya vifaa moto, vifaa vya kivita na ofcourse ni watoto ama Vijana wa Maskini/Familia duni hupigana kwa interest za Matajiri.
Kibaya ni kua most losses by Ukraine haziingizwi kwenye kumbukumbu hivyo vijana wanaouwawa huko vitani familia zao hazitopata fidia na huenda wakachukuliwa as if walikufa kwa Covid sio Vitani.
Its too sad indeed, Story ni ndefu siwezi kopi kila text ya mtu hapa.
Na yasemekana Command zote za Frontline zinatolewa nje ya nchi, (Kutoka Western) SBU wapo kama pazia tu. Hii inatoa tafsiri ya kwanini mambo yapo hivi. Kwanini nasema hivi? Yes, Western don't care about Ukrainian. They determined to fight Russia to the last Man standing.
Pamoja na misaada mingi Ukraine iliyopewa ila hamna kitu kipya wanafanya Russia bado wanasonga mbele. Toka tumeanza kusikia misaada ya javelin na manpads mpaka leo misaada inaendelea na Ukraine bado imezidiwa.Update 2 hrs ago:
Ukraine will fight until it recovers all its territory, says Volodymyr Zelensky
MSN
www.msn.com
Sijui hata kama unajua vzuri urusi na USA, historical background ya hizi nchi mbili,lakini pia vita ambavyo hizi two blocks (NATO &Russia) ungeelewa vzuri usingeandika ulichoandika, ushauri wangu soma Sana historia ya USA and Russia that's why wenye uwelewa wanasema vita ya USA & Russia hawezi kuwa na mshindiUkitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....
Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!
Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.
View attachment 2238180
Naunga mkono hojaMarekani kaanza kumpa silaha Saddam Hussein miaka ya 1980s ili apigane na Iran kwenye Iran-Iraq war. Bado hapo alitoka kumuuzia Iran zile Tomcats miaka ya mwanzo ya 1970s kabla ya mapinduzi ya kiislamu. Marekani hahitaji msaada wa UN kujua kama nchi fulani ina ulinzi imara au haina
Kwa huo upinzani na hasara anazopata hapo Ukraine, hizo nguvu za kuanzisha Vita nyingine atazipata wapi ?Dhambi ni mbaya sana, Putini akimaliza Ukraine ingawa hatuombei hivyo basi kuna watu anawabokoa tena kwa jeuri kuu.
1. Who's next? Lithuanians prepare for potential Russian aggression
Lithuanians are anxiously following events in Ukraine. Many are preparing for a worst case scenario and some are training to take up arms against Russia.
Lithuania will transfer a new shipment of aid to Ukraine "to further support its defence against Russia," the Lithuanian ministry of defense said Wednesday.
On Twitter, Arvydas Anusauskas said the Baltic nation will send 20 M113 armored vehicles, 10 military trucks and 10 SUVs for demining operations.
M113 armored Vehicle.
View attachment 2238117
2. “If Ukraine fails, Slovakia is next," Prime Minister Eduard Heger told other EU and business leaders.
"They (Ukraine) have to win,” he said.
Heger went on to criticize members of the European Union for relying too heavily on Russian energy. He urged leaders to “stop compromising” their principles when dealing with Russia.
Putin ni wa kuzuia kwa gharama zote
Khibiny kweli ni kibinyoJina limechukuliwa kutoka milima ya Khibiny, balaa mtupu.
Hapa sanction ambayo marekani ataitoa ni ile ya mifumo ya malipo. Maana inamtoa kwenye ramani ya petrodolar.Russia imewaambia Marekani na NATO kuwa wakitaka wapate nafaka zilizozuiwa na Russia nchini Ukraine, basi lazima kwanza waondoe vikwazo uchwara vyao walivyoiwekea Russia.
Tofauti na hivyo mabeberu itabidi watafune mihogo na karanga mwaka huu
View attachment 2238572View attachment 2238574