Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila wenyewe walivyotanga nakuchanganua hizo pesa walisema kwamba ni $6B au $8B tuu ndio zitatumika ama zitakua zasilaha
Sasa hapa sijui kati ya wewe na wenyewe PENTAGON na JUMBA JEUPE yupi tunatakiwa kumuamini
Muache ujuaji musioujua enyi NATO wa jf ndio maana mkipigwa spana mnakimbiana huku


Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kwenye board ya budget huyo muamini
 
Italy and Hungary have urged the EU to call explicitly for a ceasefire in Ukraine and peace talks with Russia, putting themselves at odds with other member states determined to take a hard line with Moscow ahead of a summit next week. Reuter

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Wameshachoka na vita sasa na wanaona huko mbeleni mambo yatakuwa mabaya zaidi.
Bora akili zianze kuwakaa sawa.
 
Marekani kaanza kumpa silaha Saddam Hussein miaka ya 1980s ili apigane na Iran kwenye Iran-Iraq war. Bado hapo alitoka kumuuzia Iran zile Tomcats miaka ya mwanzo ya 1970s kabla ya mapinduzi ya kiislamu. Marekani hahitaji msaada wa UN kujua kama nchi fulani ina ulinzi imara au haina
Kwani hujui kua baada ya vita vya Iran na Iraq kuisha, Iraq ya Sadam huseini ilkua na mahusiano makubwa sana na Urusi pia?
na ikawa na mahusiano mabaya ya USA .?
Unafikiri ni Nini kilifanya Waka chukizana?
Unafahamu baada ya vita vya Iraq na Iran,Iraq ilinunua silaha nyingi sana kutoka Urusi na hata baadhi ya miundombinu ilojengwa na Warusi?
Unafahu Urusi ilikua na wataalamu wa kijeshi na teknolojia wakiijenga Iraq?

Unafahamu Iraq ilipewa kibali na Urusi kubadilisha kombora la Urusi aina ya Scud B na kulimodifai na kuanza kuzalisha kombora hilo?
Na unafahamu wakati wa vita Desert Storm Iraq alitumia kombora la Scud kupiga Kambi ya jeshi la USA iliyokua Saud Arabia na kombora linguine ndani ya Telaviv Israel?

Kwa hiyo nataka kusema Iraq ilikua na silaha ambazo USA hakua na uhakika nazo ilibidi atumie Timu ya UN kutoka taasisi ya Atomic Duniani kuichunguza Iraq.
Baada ya USA kupata mteremko huo Ikataka UN itume Tena timu yake kwenda kuchunguza kwa Norty Korea.
Lakini NOKO ikashitukia mchezo ikakataa.

Hii ni habari kamili sio mawazo yangu.

babu na mjukuu

dyzle
 
Umejibu kila kitu kwa ufasaha. Naona kabisa wewe ulisoma kwa kutumia Magari ya njano.

Hakuna hoja kinzani zidi ya ufafanuzi na majibu yako unless hiyo hoja siyo fact bali opinion. Pata kinywaji cha baridi hapo bili juu yangu.
👍👍👍😂😂😂😀😀😀🥂🥃🥃
Asante Comrade,tunaelimishana TU ndugu yangu.
 
Propaganda!
IMG_20220525_164547_817.JPG
 
The beta version of the Russian application store RuStore has been launched.

The application works on mobile phones with Android, you can download it on the website rustore.ru. More than 100 applications are already available there, the ministry said.

IMG_20220525_172206_124.jpg
 
Kwani hujui kua baada ya vita vya Iran na Iraq kuisha, Iraq ya Sadam huseini ilkua na mahusiano makubwa sana na Urusi pia?
na ikawa na mahusiano mabaya ya USA .?
Unafikiri ni Nini kilifanya Waka chukizana?
Unafahamu baada ya vita vya Iraq na Iran,Iraq ilinunua silaha nyingi sana kutoka Urusi na hata baadhi ya miundombinu ilojengwa na Warusi?
Unafahu Urusi ilikua na wataalamu wa kijeshi na teknolojia wakiijenga Iraq?

Unafahamu Iraq ilipewa kibali na Urusi kubadilisha kombora la Urusi aina ya Scud B na kulimodifai na kuanza kuzalisha kombora hilo?
Na unafahamu wakati wa vita Desert Storm Iraq alitumia kombora la Scud kupiga Kambi ya jeshi la USA iliyokua Saud Arabia na kombora linguine ndani ya Telaviv Israel?

Kwa hiyo nataka kusema Iraq ilikua na silaha ambazo USA hakua na uhakika nazo ilibidi atumie Timu ya UN kutoka taasisi ya Atomic Duniani kuichunguza Iraq.
Baada ya USA kupata mteremko huo Ikataka UN itume Tena timu yake kwenda kuchunguza kwa Norty Korea.
Lakini NOKO ikashitukia mchezo ikakataa.

Hii ni habari kamili sio mawazo yangu.

babu na mjukuu

dyzle
cha ajabu vita ilipoanza alilalamika kwa urusi kuwa amempatia irak miwani ya kuona usiku
 
In Switzerland, they believe that Russia should bear the costs of cleaning the monument to Suvorov's supporters from paint.

This decision was made by the authorities of the canton of Uri, on whose territory the memorial is located:

“The Russian Federation, as the owner of the monument, is responsible ... It must itself order these works and pay the costs.”

Vandals smeared the monument with blue and yellow paint last week. The perpetrators have not yet been arrested.

20220502_010825 (1) (1).png
 
In the UK, gasoline prices are breaking historical records.

The average cost exceeded £1.7 (about 120 rubles) per liter, local media write. A year ago, a liter of gasoline could be bought on average for £1.29 (about 90 rubles).

Against the backdrop of anti-Russian sanctions, diesel prices also show maximum growth. Here, a liter is released on average for £1.81 (about 126 rubles), a year earlier - for £1.31 (about 91 rubles).

The increase in fuel prices is now observed in other Western countries, including France, the US and Germany.

20220502_010825 (1) (1).png
 
The entry of Sweden and Finland into NATO is beneficial for the EU, as it should make Europe safer - the head of the European Council Michel.

20220502_010825 (1) (1).png
 
“Europe is on the path of economic suicide. I think Orban understands this and is trying to mitigate its consequences.”

The Hungarian Prime Minister, despite pressure from the EU, opposes the embargo on Russian oil and is trying to counter the consequences of the energy crisis.

This was stated in a conversation with RT by Vice President of the Eurasian Center Earl Rasmussen:

“Of course, the Hungarian economy will also suffer, but Orbán is doing everything possible to mitigate the damage. Will Europe try to put pressure on him? Undoubtedly. Does it work for the benefit of Hungary? I'm sure yes.

I think that over the next year or two, European leadership will change a lot, and regardless of the desire of the current authorities.”

On the eve of Orban announced the introduction of a state of emergency in the country, which will allow "immediate response" to the consequences of the situation in Ukraine.

20220502_010825 (1) (1).png
 
15:05 24 Mei 2022

Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliyefungwa jela amuita Putin 'mwendawazimu'​

View attachment 2238035
epaCopyright: epa
NavalnyImage caption: Navalny
Kiongozi wa upinzani wa Urusi aliyefungwa jela Alexei Navalny amemlaani Rais Vladimir Putin katika kikao cha moja kwa moja cha mahakama, akimtaja kuwa "mwendawazimu" aliyeanzisha "vita vya kijinga" nchini Ukraine.
"Hii ni vita ya kijinga ambayo Putin wenu alianzisha," Navalny aliiambia mahakama ya rufaa huko Moscow kupitia kiungo cha video kutoka kwa kituo cha kutoa adhabu.
"Vita hivi vilianzishwa kwa kutumia uwongo. Mwendawazimu mmoja ameingiza kucha zake Ukraine na sijui anataka kufanya nini nazo - mwizi huyu kichaa," Navalny alisema kuhusu Putin.
Hapo awali Navalny alihukumiwa na mahakama miaka tisa katika koloni kali ya utawala kwa udanganyifu na kudharau mahakama.
Ikulu ya Kremlin imetupilia mbali shutuma za Navalny kuhusu Putin, ambaye inasema ameshinda chaguzi nyingi za haki nchini Urusi tangu mwaka 2000 na anasalia kuwa mwanasiasa maarufu zaidi nchini humo.
Hamna tofauti na Lissu kusema Samia ni Mwehu. We ulitegemea nini? Amsifie. Aljazeera wamekosa habari kwa sasa. Wanaokota habari za ajabu kama gazeti la uwazi. Kila toleo mtu kajinyonga
 
Four weeks ago, Germany agreed to send dozens of anti-aircraft tanks to help defend Ukraine from Russia's invasion, part of what it called a turning-point after decades of military restraint. Berlin says it can deliver the first Gepard tanks in July.

Mpaka July . Akufukuzae hakuambii toka

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Four weeks ago, Germany agreed to send dozens of anti-aircraft tanks to help defend Ukraine from Russia's invasion, part of what it called a turning-point after decades of military restraint. Berlin says it can deliver the first Gepard tanks in July.

Mpaka July . Akufukuzae hakuambii toka

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Zile ela za mmarekani zinatumika wapi? hazitoshi kununua hivyo vifaru sasa mbaka wasubiri mwezi july?
 
Meanwhile Umashuhuri wa Joe BIDEN umeahuka kutoka 50% last week mpaka 39% kwa jana . Hii ni kwa mujibu wa Reuter.

Kushuka kwa dola , Kupanda kwa gharama za maisha , matumizi makubwa kwa misaada isiyo faida kwa Ukraine , Vitisho vya Nuclear na kukosa ushawishi kimataifa ni baadhi ya maswala. Pia kukosekana mahitaji muhimu kama maziwa ya watoto Nestle .

BIDEN anatakiwa kupata uungwaji mkono thabiti kutoka washirika wa NATO ili kumshinda Putin vinginevyo mwendawazimu Trump ataonekana kama Prof Nabi. Wenzetu hawaungi juhudi pale maisha yao yanapoguswa. Hawahitaji propaganda nyepesi kama huku kwetu.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Juzi biden alivyokuwa ziarani S.korea na japan niliona kabisa jinsi anavyochukuliwa poa, nikasema huyu mzee akitaka ajitunzie heshima kidogo aliyobakiwa nayo basi inatakiwa akalishe makalio yake white house na aanze kutumia akili na utulivu kudili na international affairs.

Nikaongezea.... akiendelea kupuyanga mama anavyofanya sasaiv ategemee kupoteza kabisa ushawishi ndani na nje ya USA.

Taifa la USA kiuchumi na kimaendeleo lipo vizuri halihitaji Rais wa sera za nitajenga barabara, nitaleta umeme kila kijiji, sijui nitajenga shule kila wilaya, huko USA washatoka zamani sana.

Rais wa USA ushawishi na uwezo wake wa kuongoza unapimwa na namna anavyokabiliana na sera za nje kwa faida ya USA, sasahivi wenye taifa lao wanaona pesa yao inaishiwa nguvu, taifa lao linapungukiwa ushawishi, taifa lao linanyoshewa vidole, taifa lao linakabiliwa na mfumuko wa bei na mambo mengi ya hovyo ambayo wamezoea tu kuyasikia kwenye nchi zingine.

What next; Huyu babu akiendelea kupuyanga na kuipa kazi white house kurekebisha hutuba na maneno yake juu ya sera za kimataifa ategemee kuliwa kichwa kwenye uchaguzi.

BIDEN HATAISAHAU RUSSIA KATIKA MAISHA YAKE YOTE KWAJINSI INAVYOMUENDESHA HIVI KIASI KWAMBA INATISHIA HADI ULAJI WAKE WA BAADAE.
 
Back
Top Bottom