secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Cheki mkuu huyu ananionea kweli mimi fala
Cheki mkuu huyu ananionea kweli mimi fala
Kwa uelewa wako US anapotoa hizo aid za 40B usd unadhani ni cash?Andika google “Rand Paul single-handedly holds up $40bn US aid for Ukraine”
na anaongeza sifuri maana zile powertillers kweli ndo dollar billion 40?Kwa uelewa wako US anapotoa hizo aid za 40B usd unadhani ni cash?
Anatoa silaha zenye worth hiyo amount not cash mkuu.
jamaa we vipi, hivi ulishawahi kufanya kazi na mchina? au unaongea tu. Unafikiri wachina hawa na wale wa uchina wana tofauti? jiongeze ndugu - mchina si wa kuamini hata siku moja.Akili za kuku hizi ....ukweli ni kwamba USA yenyewe inajua lazima taiwani itarudi china one day
Ujinga sio tusi, kubali tu hujui na usiwe mbishi kujifunzaMatusi siyo jadi yangu.
Ila naona hujui kati ya
Vita, Operation na uvamizi.
Jifunze kwanza hayo matatu ndo tujadiliane.
America anavamia tu.
Unaposema kupata Unamaanisha nini? Cremia ilipochukuliwa jumuiya za kimataifa hazikutambua na mpaka sasa hazijatambua kuwa cremia ni sehemu ya russia. Lakini cremia imekaliwa na shughuli zote zinaratibiwa tika moscow. The same kwa majimbo ya donbass. Luhansky na Donesky. Yatapewa uhuru ambao Marekani na mashetani wenziwe hawatambui lakini wakazi wa hayo majimbo wanajiona wao ni mataifa huru japo hawatambuliwi na western.Umeona ramani ya Ukraine au rusia imebadishwa
Putin anajipa moyo tu.Iddi amin alijaribu mtukula kagera aliipata
Mbona unakomaa sana na haya mambo .haaaa sawa Putin ameshinda na USA wamebaki mashetani so kwani kuna aliyehama dunia akaenda kuishi paradise wote tuko hapahapa tunavuta pumzi ya bure hayo mengine ni ujinga tuUnaposema kupata Unamaanisha nini? Cremia ilipochukuliwa jumuiya za kimataifa hazikutambua na mpaka sasa hazijatambua kuwa cremia ni sehemu ya russia. Lakini cremia imekaliwa na shughuli zote zinaratibiwa tika moscow. The same kwa majimbo ya donbass. Luhansky na Donesky. Yatapewa uhuru ambao Marekani na mashetani wenziwe hawatambui lakini wakazi wa hayo majimbo wanajiona wao ni mataifa huru japo hawatambuliwi na western.
Kweli Putin ni nyoko.
Tuanze kutumia lugha nzuri kwa wenzetu. Neno ***** sio sahihi wala zuri kwenye mijadala hii.Wanajeshi wa Ukraine wanajisalimisha tu mbele ya majeshi ya Russia.
Nchi za Ulaya zinajisalimisha tu mbele ya ruble ya Russia.
Machoko ya jamiiforums a k a maLGBTQ+ yanajisalimisha tu na mengine kupoteana mbele ya jeshi tulivu la pro Russia [emoji4]
Ueleweki.Mbona unakomaa sana na haya mambo .haaaa sawa Putin ameshinda na USA wamebaki mashetani so kwani kuna aliyehama dunia akaenda kuishi paradise wote tuko hapahapa tunavuta pumzi ya bure hayo mengine ni ujinga tu
Hapa ndipo ninagundua anayesababisha viendelee kwa muda mrefu ni mrusi na Siyo NATOThe Russian military for the first time used the latest Su-57 in an operation in Ukraine.
What you need to know about the latest fifth-generation fighter?
The Russian Su-57 is superior to all similar foreign models - the F-22 from the USA and the J-20 from China.
▪️Armament - 15 types of the latest air-to-air, air-to-surface missiles, including hypersonic "Daggers".
▪️Its "trick" is artificial intelligence, which allows the Su-57 to independently perform 90% of the tasks.
▪Another plus is its cost, which is several times lower than that of the American F-22 - $164 million versus $410 million per unit.
▪️The first serial fighter aircraft of the RF Armed Forces was received in December 2020. In total, by 2027, the Aerospace Forces will receive 76 aircraft.