Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu kuna viji watu vinakuambia Russia ni dhaifu kijeshi.
Mimi naamini vijiwatu vingi vilikua haviijui vizuri Urusi.

Ukiachana na hiyo Kuna kitu inaitwa Khibiny,
Hii kitu ikifungwa kwenye ndege au chombo kingine ikipita juu ya melivita Yako ya kisasa kabisa hii kitu ikiwashwa ujue meli Yako tayari inakua kopo tupu ama screpa.

Ndege moja ya Urusi ilipita juu ya meli ya Marekani inayoaminiwa sana na NATO kwa ukisasa wake na ubora wake.
Ndege Ile ya Urusi ilizunguka mara kadhaa juu ya meli Ile.
Na meli Ile ilizimika mifumo yote kwa ghafla na haikuweza kufanya kazi kabisa huko katikati ya black sea.
Ilibidi ivutwe kupeleka Bandari ya karibu ya NATO.
Kulitokea taharuki kubwa sana kwa mabaharia wa meli ile.
Hiyo ndege ilikua Ina kifaa kinaitwa Khibiny.
 
View attachment 2237524

🇷🇺⚔️🇷🇺❗️Russian electronic warfare systems are the best in the world! They are capable of literally blinding the entire NATO navigation system.

Electronic warfare "Bylina" is the latest electronic warfare system capable of analyzing the situation on the battlefield in real time without the participation of operators, searching for and classifying targets.

Literally in a matter of seconds, the complex recognizes radio stations, communication systems, radars, early warning aircraft and even enemy satellites, after which it suppresses them with lightning speed. The low-power individual radio stations used by saboteurs will not escape the attention of Bylina.

And that's not all, all new developments and capabilities of Russian electronic warfare systems are classified.

Therefore, today we see how NATO is trying to find alternatives to the GPS navigation system due to possible threats from Russian electronic warfare.🇷🇺
Pro NATO na USA sijui kama wanafahamu juu ya taarifa hii.

Urusi inaweza ikayafanya makao makuu ya majeshi ya NATO yarudi kuwasiliana kwa barua.
Tena kwa kumtuma mtu apeleke.
 
Tuombe vita iishe tu mkuu, raia wanateseka na kufa ovyo. Ukraine by any means hawezi kuishinda urusi. Kama ni mpira ni sawa na First squad ya Real Madrid Vs Simba si hata bila kipa mtu atapigwa 30-0
mfano wa madrid na simba umekosea au umesahau game na sevilla
 
Hapa ndipo ninagundua anayesababisha viendelee kwa muda mrefu ni mrusi na Siyo NATO

Ukiangalia Kwa umakini urusi inataka marekani na NATO wapeleke silaha za kisasa Ukraine ili na yeye atumie silaha za kisasa kuzidhibiti

Kinachotokea baada ya hapo ni urusi anataka atawale kwenye soko la kuuza silaha, kiufupi kwenye Vita hii marekani anapoteza ushawishi kwenye soko la silaha

Muda Siyo mrefu hata hawa watu wa ulaya watahitaji silaha kutoka urusi na Siyo
marekani,
angalia ilipo silaha ya kirusi, mmarekani hapeleki silaha zake, lakini mrusi Hana mipaka yeyote anayehitaji atamuuzia Kwa kuwa ana uhakika na silaha zake zitaperfom Kwa kiwango Bora Kwa muda Wote, kiufupi hata marekani mwenyewe hajiamini kwenye silaha zake

Nakumbuka mwanzoni kuna drone za marekani walizitumia wafuasi wake wakasifia Sana kwamba mrusi Ali hack hizo drone musk akaingiza software mpya ambayo mrusi Hana 🤣🤣🤣🤣🤣 lakini Leo kiko wapi?

Kwenye Vita hivi marekani anaenda kuanguka kwenye kila eneo alilokuwa ana dominant,
Uchumi unaenda kushake na dollar inaenda kupoteza nguvu duniani ni swala la muda tu
Ukisikia uchambuzi wa ki Great thinker ndio huu.
Very good analysis.
 
Kwani wataiwani siyo wachina ,,, nina mashaka kama unajua chochote ...taiwani ni china toka zamani
WaTaiwani ni waTaiwani. Hiyo Taiwani ni China ni propaganda tu za Mchina. Hata Wakorea wanafanana na WaJapan ila kila mmoja ana utaifa wake.
 
Mkuu Proved heshima kwako.

Swali hili limeshajibiwa sana humu.

Ila NAMI nitalijibu Tena.
Hata hivyo kabla ya kulijibu nitakuuliza swali lkini sio lazima unijibu.

Mara kadhaa USA na Allies wake wamekua wakizisaidia nchi zinazopigwa na nchi kubwa kwa kuingiza majeshi kamili wala sio misaada ya fedha na silaha kama inavyofanya Sasa kwa Ukraine.
Nchi ambazo USA na wenzake waliingia majeshi kamili ni

1).Kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait,

2). USA NATO kuipiga Yugoslavia ilipowapiga wa waliotaka kujitenga wa Kosovo,Bosnia na Herzegovina.

3).USA na Ufaransa kuipiga Libya ilipokua ikipigana na waasi.

4).USA,UK na France kujaribu kuipiga Syria ilipokua ikipigana na waasi .

Kama walikua wanazisaidia nchi au watu waliokua wanapigwa na majeshi yenye Nguvu zaidi Yao,kwa Nini wao NATO wanashindwa kuingiza majeshi kamili nchini Ukraine kuisaidia kwa kua inapigwa naUrusi kama walivyofanya kwa nchi hizo nilizozitaja?Iraq, Yugoslavia, Syria na libya?
USA ni ileile,NATO ni ileile na EU ni ileile.Kimabadilika Nini Hadi wakawa wanatoa silaha na fedha TU badala ya kuingiza majeshi kamili.?

Sasa najibu swali lako.

Naamini kabisa Kabla ya OP hii Urusi alijua fika kuwa USA na NATO watamsaidia Ukraine kwa njia mbili.
1) watatoa misaada ya silaha,fedha na Intelijensia,au
2) wataingiza majeshi mazima.

Ndio maana Putin akasema nchi yoyote itakayomsaidia kijeshi ataipa vita ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Na kusema kweli tamko hilo limesaidia sana na hata asingetoa tamko hilo bado hakuna nchi Ingekua tayari kuingia vitani na Urusi kati ya nchi za NATO kwa sababu ya kuogopa vita kubwa sana kuweza kutokea.
Biden mwenyewe aliwaambia raia wake kuwa hatuwezi kupeleka jeshi letu kupambana na Urusi kwa sababu "safari hii tuadili na Jeshi kubwa sana hapa duniani,Urusi sio mtanado wa kigaidi kama tulivyoziea." .
Lakini pamoja na maneno hayo bado wanatoa silaha na fedha kwa Ukraine.

Hivyo Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuingiza jeshi kamili la nchi kwenda kupigana na nchi nyingine kuisaidia nchi nyingine,tofauti na kutoa silaha kwa nchi moja ili kuisaidia kupigana na nchi nyingine.

Kwa kifupi ni kwamba Urusi alionya nchi itakayojiingiza kijeshi mazima kuisaidia Ukraine itakiona Cha moto,lakini kuhusu kupeleka silaha hiyo haikua hofu ya Urusi.

Urusi sio wajinga ndugu yangu,waliyajua yote,hawakukurupuka,walikua wanaenda kuipiga Ukraine kibaraka wa NATO Tena mpakani kabisa na NATO anaeitenganisha kimpaka NATO na Urusi,alijua itapata misaada TU ya Kila Hali hilo asingeweza kulizuia lakini alijua ata Dili nalo vipi.na ndio maana unaona silaha zinateketezwa na kuchomwa Kila siku.
Pia alijua kua Kuna nchi au NATO Watataka kuingia kijeshi ,ndio akatoa tamko like.

Ndugu yangu hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na nchi moja na nchi hiyo kusaidiwa kwa kupewa silaha.
USSR iliipiga Afghanistan, afghanistan ilisidiwa na NATO wote ongeza china,Pakistan,Saudi Arabia,na vijinchi mingine vingi.lakini alodili nao sambamba.

Kwa maana hiyo Urusi alionya kuwa,kama Kuna nchi itakayojiingiza kijeshi kuisaidia Ukraine ataipa vita sio ya Dunia hii,hakumaanishi silaha,kwa sababu silaha zinaweza kuingia hata kwa njia za panya au ki magendo.
Na ndio maana hata NATO na uwezo wao wote wa kijeshi,kiuchumi na kiteknolojia lakini na wao wameishia kutoa misaada ya silaha na fedha TU. Badala ya kuingiza majeshi kama kawaida Yao.

Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO ,NAMI ntakuuliza je Kuwait, Syria, Libya, Yugoslavia nao walikua ni Wanachama wa NATO?

Je unajua kua Ukraine ndio nchi pekee duniani iliyopata misaada mingi sana ya silaha na fedha kwa ajili ya kutumika kwenye vita?

Hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kiasi hikinkwa mda mfupi na umoja wa NATO kama Ukraine.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu NATO imewauma sana.
Sasa je kwa Nini. NATO isiingie kijeshi kama kawaida yake?

Jibu lake ndio jibu la hoja yako.
Kuwa hawawezi kuingia kijeshi kwa sababu Urusi katoa onyo na anasubiri nchi hata moja TU ya NATO irushe risasi moja kwa moja kutoka kwenye ardhi yake hiyo nchi ya NATO kwenda kupiga jeshi la Urusi.
Chakuongezea tu hapo NATO haina jeshi lake la kudumu ambalo lipo tayari muda wowote kwajili ya Vita, hivyobasi ikitokea wakaingia vitani na urusi itawabidi wapate muda wa kufanya army mobilization kwanza kwa kila mwanachama kutoa wapiganaji na vifaa vita kwa hiari yake.

So hapa wanaona wakitangaza vita na urusi kuna hatari ya muungano huo kugawanyika, wapo watakaokuwa tayari kutoa majeshi yao kwajili ya NATO pia wapo ambao hawatakuwa tayari ili kuepuka madubwasha ya urusi kutua ardhini mwao.

Kuna nchi nyingi sana humo NATO zimo kama Chawa tu na zimeenda kuongeza idadi ya namba tu, nchi kama Estonia, Latvia, Lithuania, montenegro na Luxembourg idadi ya raia wake wote haifikii hata idadi ya wakazi wa Jiji la DSM, kwahiyo nchi kama hizo zikitunisha vifua mbele ya Mrusi zinaweza kufutwa kwenye uso wa dunia kwa Surmat missiles 3 tu.

Hao kina USA, UK, German, Turkey, French, spain na nk hofu yao nikufutwa katika uso wa dunia kwa nukes bombs au kurudi kiuchumi miaka 50 nyuma na ndo maana tunaona wanaishia kutokotota tu wakiwa kwao.

URUSI KWENYE NYANJA YA KIJESHI NI NEXT LEVEL
Kwa lugha yetu ya kigiriki tunasema;
Russia(1unit) > NATO(30units)
 
Kuwait, Syria , Libya na Yugoslavia wametokea wapi hapa!? Naona unajaribu kuleta mkorogo tu usio na maana yoyote.
 
Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.

Nimecheka sana [emoji28][emoji28][emoji28]. Hapo apate kwanza elimu ukiona hivo hata usiangaike uyo ni mtoto bado hajajua maisha ni nini akiamka asbh akakuta chai mezani akitoka hapo anacheki movie akichoka anachati yupo kitandani, napo kitanda kanunua baba.

Mtu kama huyu atakuelewa? Nimeamini watu wengi hawaijui Russia vizuri wengi walikua wanafikiri ni ka nchi flan kapo ulaya huko hakana mbele wala nyuma. Hawajui NATO iliundwa kwa ajili ya kupambana na nani wengi watakujibu kwa ajili ya kujilinda. Kuna watu humu walikua hwajui kama Russia kashikilia uchumi wa ulaya sahv wameanza kujua kwamba who is RUSSIA.

Kuna tofauti kubwa mbili (2) watu wanapaswa kujua ya kwanza
(1) “looking dangerous” vs ya pili
(2) “being dangerous”

sasa US tunamweka hapo grupu la 1 anaonekana ni hatari/tishio lakini kiuhalisia sio kweli anatumia propaganda na kila njia aogopeke ni sawa na mbwa mkali siku zote huwa habweki unashtuka kashakung’ata ila ukiona mbwa anabweka bweka hakunaga kitu ndo US alivo.

Tukija grupu la 2 tunamweka Russia huji kuta anajimwambafai anavitisho ila moto wake ni hatari usione US anahangaika na Russia na sio China ndo mjue Russia ni moto. US wanakili incase of nuclear Russia wapo juu zaidi wewe unakuja unabisha kama nani??.

US anapigana na Russia kupitia mgongo wa flani mnaona ukraine, afghanistan nk lakini Russia huwa hajifichi huwa anakwenda direct na anapambana na US mfano Syria, Venezuela na US alikimbia.

Kwanza huwa nashangaa sana watu mnaoifananisha Russia na US kwenye nguvu za kijeshi, kumbukeni US hawezi pigana vita peke yake bila kuwa na NATO hata kiwe kitaifa kidogo lazima awabebe shoga zake, afu ndo unakuja kusema ni superpower?? ambaye hawezi kwenda uwanjani peke yake kuweni serious kwakweli.

Misaada anayopewa Ukraine na bado mwanaume Russia kadinda ipeni Russia heshima yake angekua ndo US yupo pale ukraine na misaada inamiminika vile angekua alishakimbia muda sana[emoji28][emoji28].

US ni looking dangerous kiuhalisia ni mweupe tu.
 
Here is the latest from Ukraine:
- Russia is focusing its war effort on a handful of key front-line cities in eastern Ukraine, having secured more terrain in the past week than any other time in May, according to the Institute for the Study of War think tank. This success has come by pulling troops from other fronts and Russia’s overall performance “remains poor,” the ISW said.

- The governor of Luhansk compared conditions in the eastern region to the devastated city of Mariupol. But this success has come by pulling troops from other fronts and Russia’s overall performance “remains poor,” the ISW said.

- Swedish and Finnish delegations are in Turkey to discuss their bids to join NATO, hoping to overcome opposition from Ankara.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Anti-Russian sanctions provoked the largest food crisis in Europe since the Second World War.

According to Xinhua, citing the forecast of the European Central Bank, the cost of food in European countries will remain high throughout 2022.

“If we do not solve the problem with fertilizers and trade in them does not resume, next year the world will face a very serious problem in the supply [of food],” Maximo Torero, chief economist at the UN Food and Agriculture Organization, was quoted as saying.

20220502_010825 (1) (1).png
 
The Ukrainian military who surrendered from Azovstal are in satisfactory conditions and are not subjected to violence.

This was announced by the wife of the commander of the Azov National Battalion, Denis Prokopenko, after a telephone conversation with him, writes The Guardian.

“He said that everything is fine with him ... They are fed, watered. They are satisfied with the conditions, and in this short period they have not been subjected to violence, ”said Ekaterina.

Recall that some of the militants are kept in a prison in the village of Yelenovka near Donetsk, the wounded are in the Novoazovsk hospital.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Chakuongezea tu hapo NATO haina jeshi lake la kudumu ambalo lipo tayari muda wowote kwajili ya Vita, hivyobasi ikitokea wakaingia vitani na urusi itawabidi wapate muda wa kufanya army mobilization kwanza kwa kila mwanachama kutoa wapiganaji na vifaa vita kwa hiari yake.

So hapa wanaona wakitangaza vita na urusi kuna hatari ya muungano huo kugawanyika, wapo watakaokuwa tayari kutoa majeshi yao kwajili ya NATO pia wapo ambao hawatakuwa tayari ili kuepuka madubwasha ya urusi kutua ardhini mwao.

Kuna nchi nyingi sana humo NATO zimo kama Chawa tu na zimeenda kuongeza idadi ya namba tu, nchi kama Estonia, Latvia, Lithuania, montenegro na Luxembourg idadi ya raia wake wote haifikii hata idadi ya wakazi wa Jiji la DSM, kwahiyo nchi kama hizo zikitunisha vifua mbele ya Mrusi zinaweza kufutwa kwenye uso wa dunia kwa Surmat missiles 3 tu.

Hao kina USA, UK, German, Turkey, French, spain na nk hofu yao nikufutwa katika uso wa dunia kwa nukes bombs au kurudi kiuchumi miaka 50 nyuma na ndo maana tunaona wanaishia kutokotota tu wakiwa kwao.

URUSI KWENYE NYANJA YA KIJESHI NI NEXT LEVEL
Kwa lugha yetu ya kigiriki tunasema;
Russia(1unit) > NATO(30units)
Hii nzuri sana.
Kwa kifupi NATO ni kichaka Cha USA kuweka vifaa vyake ili kumchungulia Urusi kwa karibu.
Na mtu mwenye kiherehere sana kwa NATO ukimtoa USA ni UK.
Ufaransa na ujerumani wamo kwa sababu wapo ulaya TU lakin hawana shida kabisa na Urusi,ndio maana mradi wa Nord stream3 upo kati ya German na Russia.
Ufaransa iliwahi kujitoa NATO na ikarudi Tena.
Ufaransa imekua mpiga chapuo mkubwa kutaka European union iwe na Jeshi lake yaani European army ili waachane na NATO lkn UK na USA ndio vikwazo.
 
Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa

BIBISIII sahv hali mbaya imebaki kulimit comments tu manake watu wanawaumbua vibaya sana. Sahv watu wanafuatilia taarifa kupitia source zao wenyewe walishajua hizo media za west ni propaganda tu.

Walituaminisha kuna ghost of kyiv kumbe ni video game fala sana hwa BIBISIII
 
Meanwhile Umashuhuri wa Joe BIDEN umeahuka kutoka 50% last week mpaka 39% kwa jana . Hii ni kwa mujibu wa Reuter.

Kushuka kwa dola , Kupanda kwa gharama za maisha , matumizi makubwa kwa misaada isiyo faida kwa Ukraine , Vitisho vya Nuclear na kukosa ushawishi kimataifa ni baadhi ya maswala. Pia kukosekana mahitaji muhimu kama maziwa ya watoto Nestle .

BIDEN anatakiwa kupata uungwaji mkono thabiti kutoka washirika wa NATO ili kumshinda Putin vinginevyo mwendawazimu Trump ataonekana kama Prof Nabi. Wenzetu hawaungi juhudi pale maisha yao yanapoguswa. Hawahitaji propaganda nyepesi kama huku kwetu.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Umeona ramani ya Ukraine au rusia imebadishwa
Putin anajipa moyo tu.Iddi amin alijaribu mtukula kagera aliipata

Dada yangu unakosea sana kuifananisha Russia vs Uganda, na pia unakosea sana kumfananisha Putin na Iddi amin. Russia ni taifa kubwa sana wanamaamuzi yao wenyewe ambayo hayawezi ingiliwa na taifa lolote wala UN sijui takataka gani.

Wakati imechukuliwa crimea walifanya nini? Na hizi territories zinachukuliwa na hakuna chochote watafanya wataishia kulialia na kupiga kelele tu. Ukraine akiendelea kukaza fuvu watajikuta landlocked.
 
Back
Top Bottom