Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi alimwaga vifaru vingi Sana, ndo maana vifaru vyote vilivyokanyaga Kiev vililiwa kichwa, Ila Ukrein hasingepewa Javellin angekoma
 

Attachments

  • IMG_20220524_184952_458.jpg
    IMG_20220524_184952_458.jpg
    731.9 KB · Views: 31
  • IMG_20220524_185137_195.jpg
    IMG_20220524_185137_195.jpg
    418.2 KB · Views: 29
  • IMG_20220524_185428_847.jpg
    IMG_20220524_185428_847.jpg
    948 KB · Views: 31
  • IMG_20220524_185452_987.jpg
    IMG_20220524_185452_987.jpg
    1.2 MB · Views: 29
Yaliyotokea Mariupol hivi karibuni yatatokea hapo mashariki mwa Ukraine.

Russia steps up operation to encircle last Ukrainian holdout in Donbas

[emoji404] Russian forces have intensified their military operation in eastern Ukraine to encircle Ukrainian troops in twin cities in the last Ukrainian-held pocket in the Donbas region.
Wapo jumla 10000 ila tutakamata 3000

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Yaliyotokea Mariupol hivi karibuni yatatokea hapo mashariki mwa Ukraine.

Russia steps up operation to encircle last Ukrainian holdout in Donbas

📝 Russian forces have intensified their military operation in eastern Ukraine to encircle Ukrainian troops in twin cities in the last Ukrainian-held pocket in the Donbas region.
Mbinu moja mbaya saaana!
Yaani wanajeshi w Russia wanakuzunguka automatically unajikuta unakimbilia makazi ya panya! shimoni Ukraine lazima wakome
 
Ubongo(mental health)hajapoteza kumbukumbu,mkakamavu sasa uyo mwanaume mzima anakiri kabisa walikubaliana kwa jambo lao.
Utekelezaji umeanza tayari kasaliti hawezi kuvumilia stress aache wanaume wapambane kwa maamuzi waliyoamuua iwe jua iwe mvua.
Sijui, ila ubongo wa mtu ameamua kupigana na nchi zaidi ya 30 +Finland+Sweden lazima umefyatuka mahala.Babu wenu Putin atafilisi Russia na witless war.
 
True, Putin na azishambulie nchi kama alivyozionya mwanzoni mwa vita hii.
Tatizo huelewi maana ya Nchi zitakazo isaidia Ukraine. Vi-misaada ambavyo by definition havina madhara ukilinganisha na kwenda kuipiga Nchi iliyosaidia, hiyo Russia haihesabu.

Niambie kwa nini hao NATO na USA wameshindwa kwenda kupambana moja kwa moja na Urusi kwenye aridhi ya urusi? Si wanakilakitu na Super-realiable War Technology.

Wanaujua mziki wa Urusi. Russia kuivamia Ukraine ilikuwa ni sababu tosha ya Nchi yoyote kuingia kwenye vita kuisaidia Ukraine. Vipi kule Libya, Iraq n.k

Cha Msingi tuache kushabikia vita, tuombe iishe tu hata sasa hivi. Ni raia wengi wasio na hatia wanateseka na kufa.
 
Wenyewe kazi yao ni kutoa misaada na kuilinda Ukraine.. ndio maana mpaka sasa hamjafikia malengo yenu [emoji16]

Ila NATO alionywa lakini kaendelea kutoa msaada basi tunaomba maneno ya flutin yatimie, nchi ndio hizo tena Kuna msaada umetolewa na us na us katoa hela China[emoji41]

Kazi kwenu, sijui mtaanza na nchi gan kati ya hizo nilizotaja juu huko
Propaganda wala China haija thibitisha hata kwa story za kijiweni
 
Sijui, ila ubongo wa mtu ameamua kupigana na nchi zaidi ya 30 +Finland+Sweden lazima umefyatuka mahala.Babu wenu Putin atafilisi Russia na witless war.
Kweli haujui kitu bwana simplemind.
Tafuta popcorn kaa chini kama umesimama soma comment utapata chakula cha kulisha ubongo wako ili uwe heavy ndio uje uchangie mada hapa.
 
Hizo bidhaa zote hazitoki WEST, kama hujui kitu kausha.
Condoms karibu zote zinatoka THAILAND
ARVs zinatengenezwa hapahapa nchini
Au hujui hilo?
Hahahahahah! Contradictions! Zikitengenezwa hapa Tz labda ni tawi la viwanda vya Wenzetu. Bado sana(by our own ST) hata aki- declare President bado ni propaganda. Au ni mkoa na hospital/kiwanda kip wanatengeneza hapa nchini?
 
Nuke War very close. NATO has smelt defeat , planning to give stronger weapons and mobilize nations for tougher sanctions against Russia.

Kuna mtu anauliza mbona Russia haizipigi nchi zinazosaidia Ukraine. Jibu ni kwamba Russia hajaona utofauti wa hiyo misaada kwakuwa ameweza kui newtralise. Russia atacheza rafu pale tu kutapokuwa na tishio la uhai wake.

Hebu waambieni USA na UK watangaze kuingia Ukraine kupambana na Russia upate mrejesho

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
It is true...UKRAINE NA NATO maji shingoni na ndiyo maana mikutano haishi...na hapo Russia hajatumia hata asilimia 10 ya zana zake...
 
Mbinu moja mbaya saaana!
Yaani wanajeshi w Russia wanakuzunguka automatically unajikuta unakimbilia makazi ya panya! shimoni Ukraine lazima wakome
Tuombe vita iishe tu mkuu, raia wanateseka na kufa ovyo. Ukraine by any means hawezi kuishinda urusi. Kama ni mpira ni sawa na First squad ya Real Madrid Vs Simba si hata bila kipa mtu atapigwa 30-0
 
Back
Top Bottom