Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian Foreign Minister Lavrov: "If the West wants to offer something in terms of resuming relations with Russia, we will have to seriously think about whether we need this or not"

Lavrov: Those who seek Russia's defeat 'on the battlefield' probably had a poor education, don't know history very well and do not understand what Russia is

Lavrov: Russia will rely only on itself and on those countries that have proven their reliability and do not dance to the tune of others. Now that the West behaves in a dictatorial way, Russia's economic ties with China will grow even faster
Russia ina vichwa smart hadi raha, yani mkuu wa nchi ni kichwa na cabinet yake imejaa vichwa haswa.

Hivi vichwa vya kirusi vikiongea havitumii matusi, kutishia wala kufoka ila vinaongea kidogo tu maneno yaliyo systematic na yanayo kera sana upande wa pili japo siyo matusi ila yanakera tu, ona kauli kama hii chini inavyokera japo siyo tusi

Lavrov: Those who seek Russia's defeat 'on the battlefield' probably had a poor education, don't know history very well and do not understand what Russia is.
 
Sasa mdada wa Nguvu kama unapata taabu hivi kuandika utaweza kuelewa Putin anachokifanya kweli?
Yaani leo siku ya 90 (miezi 3) bado Urusi inacheza makida makida tu .Kumbe hata Tz tunamweza Urusi kwa manati yetu aiseee.Putin hata hajui anachakitaka wala kupigania zaidi ya kusema operation ya kijeshi.Yaani kwa kumwamini Putin nilijua siku saba atakuwa ameimaliza ukraine na kuwa yakwake kwa sasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma ukishapigana vita muda mrefu ujue adui anakujua na atakumaliza .Soon Rusia itaondoka na Putin wanapanga wenyewe inside Cremia kumfekelea huko .Mark my words .Bure kabisa!Putin out hafai
Kazi ipo 🤔
makida tu .Kumbe
Nukta nyuma ya neno
hata Tz tunamweza
😂
aiseee.Putin
Matumizi ya "Space" yanakupa shida
hajui anachakitaka
Waacha we!
sasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma
He he he
atakumaliza .Soon Rusia itaondoka
Duh
wenyewe inside Cremia kumfekelea
😂
huko .Mark my words .Bure kabisa!Putin
Ase, kweli nyege mbaya sana...🏃🚶
 
🤣🤣🤣🤣Ndio mnavyojipa moyo kwamba Putin ndio kila kitu RUSSIA kwamba akiondoka mtapumua poleni.
Kuna kina Madvedve na wengine wanaandaliwa ili waendelee kuwasomesha no. bladfuuul.

RUSSIA mbele kwa mbeleee oooohhhh mbele kwa mbeleee
Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
 
Nilikua nusra nikate tamaa pale niliona picha ya limsafara la Urusi kilomita 60, nikajua Kiev kwisha, nyuzi zikarindima humu za wafia dini ambao ghafla mna mahaba na Putin, ila mambo yakaja kubadilika kabisa, limsafara likaliwa shaba hadi raha...Warusi wakageuza na kwenda kuparamia kamji ka mbali huko Mariupol.
Mkuu nakuomba tu uendelee kujikita kwenye uimbaji wa mapambio ya mama na CCM, huku siyo level zako na ukiendelea utaishia kujiaibisha tu maana hujui hata tulipofikia, unaingia kwenye Uzi na kupotea baada ya kula spana za kutosha.

Rudi tu kwenye jukwaa la siasa ukaendeleze mapambio, your brains not deserve to be here

Note: Sijakusudia kukutukana wala kukufokea bali kukuelewesha tu mazingira sahihi ya wewe kuwepo, wahenga walisema "Uchafu ni kitu chochote kinachokaa mahali pasipokuwa pake" so epuka kuwa uchafu mkuu MK254

Not everything is for everyone.
 
Sasa mdada wa Nguvu kama unapata taabu hivi kuandika utaweza kuelewa Putin anachokifanya kweli?

Kazi ipo 🤔

Nukta nyuma ya neno

😂

Matumizi ya "Space" yanakupa shida

Waacha we!

He he he

Duh

😂

Ase, kweli nyege mbaya sana...🏃🚶
Siumeelewa

Si umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
 
Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
Wooiiii ndio walivyokuambia RUSSIA sio kama kwenu likitoka jiwe linaingia udongo.
Kule kinatoka chuma kinaingia chuma cha pua endeleeni kusubiri meli airport.
 
Mkuu achana na hao watoto wa mama wasiojua hata wakisemacho.

Kuipambanisha kivita Russia na nchi moja tu kama USA nikuikosea heshima yake kijeshi, Russia vita na operation zake zote ilizopigana na inayoendelea sasaiv huwa inapigana na mhusika mkuu lakini nyuma ya huyo mhusika anakuwepo USA na allies wake + Vikwazo + kelele za UN na bado huwa hawaiwezi Urusi, rejea operation za Syria, Venezuela, Georgia na sasahivi Ukraine halafu utaelewa kwanini USA&NATO wanaiogopa Russia.

USA ukiondoa nukes ni size ya wavyetenam, wataliban, wasomalia na wale wake zake wa "EU"

Ila Russia ikiamua itumie full scale war bila nukes hakuna nchi hapa duniani yakuhimili mziki wa mrusi. Russia ana hypersonic missiles na Surmat missiles(toleo jipya), vacuum bombs na laser weapons ambazo nchi nyingi dunian hazina na wengine ndo bado wapo kwenye trial testing ya hypersonic missiles tena kwa kukusanyana kama viazi.

Tumeona marekani akipigana vita/Operations nyingi duniani bila nukes zipo alizoshinda na zipo alizoshindwa mfano; Libya alishinda(kupitia mgongo wa NATO), Vietnam alishinda(japo hatasahau moto wa wavyetenam), Syria Alishindwa yeye na waasi wake (hapa alikutana na moto wa Mrusi), Venezuela alishindwa (Moto wa mrusi pia), Somalia alishindwa ( alikutana na moto wa muafrika mla bangi na siyo mvutaji), Afghanistan alishindwa(moto wa wataliban)

Na ieleweke kuwa hapo anakuwa hana vikwazo wala kelele zozote za Ulaya na UN anapopigana sasa hebu jaribu kugeuza mazingira anayopiganaga USA ndo yawe kwa Mrusi unadhani Ukraine ingekuwa je sasahivi?

URUSI [emoji635] KIJESHI SIYO ALBANIA [emoji1025]
Taarifa zangu zinaniambia kwenye Vita ya Vietnam, mmarekani alipigwa vibaya Sana
 
Yaani leo siku ya 90 (miezi 3) bado Urusi inacheza makida makida tu .Kumbe hata Tz tunamweza Urusi kwa manati yetu aiseee.Putin hata hajui anachakitaka wala kupigania zaidi ya kusema operation ya kijeshi.Yaani kwa kumwamini Putin nilijua siku saba atakuwa ameimaliza ukraine na kuwa yakwake kwa sasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma ukishapigana vita muda mrefu ujue adui anakujua na atakumaliza .Soon Rusia itaondoka na Putin wanapanga wenyewe inside Cremia kumfekelea huko .Mark my words .Bure kabisa!Putin out hafai
Hebu wekeni ushabiki pembeni,vita sio lele mama!US mwenyewe huko Afghan kapambana na wanamgambo miaka 20,mwishowe kaona akimbie tu awaachie nchi!
Putin hajataka kuua raia wengi ndio maana unaona inachukua muda mrefu!We fikiri Mariupol kwenye steel plant,wanajeshi wa Ukraine walienda kujificha humo wakiwa na raia!Putin akazuia jeshi lisipageuze majivu na kuua kila kiumbe badala yake wapazunguke wahakikishe hata nzi asitoke,Matokeo yake wamekaa mpaka baada ya kuishiwa silaha na chakula,wakaamua kujisalimisha!Putin angeamua,asingetoka mtu hai,na angeweza kupageuza vumbi Kwa muda mfupi tu!
So tuangalie facts zote!
Kama Russia angeamua kupigana vita hii Kwa kuigeuza kila sehemu ya Ukraine majivu,basi ingeisha Kwa muda mfupi kama wengi mlivyotarajia!Ila hiyo sio mipango ya Russia!
Pro NATO wa JF mnaidharau Russia,ila NATO wenyewe wanaihofia Russia,hapo ndio nashindwa kuelewa!🤔
 
haya ndio malipo ya wanajeshi wa Russia nchini ukraine ukiachana na kuuliwa
 
Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
Warusi hawashangai maana wanajua hataki kuua raia wengi wasio na hatia!
 
Hola hola kwa Miss Upopooooo 🤗
Si umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
🙌
mpaka.umesoma na umenijibu.So
Huachii 🤣
So msg sent and delivered.
Hapana, Msg sent and get rejected Miss Upopo 😌.
Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
 Duh kumbe ni kikosi halafu bado wanakuachia "wadudu genyezi" wanaendelea kukutia wenge 😂😂😂, hiyo "Board" unaonaje tukiivunja mdau tuweke mpya?

NB: Anyway nakutania tu Miss Upopo sawa eeh, don't it personal!
 
Back
Top Bottom