Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,806
Ubabe na ujinga wa urusiUnajua chanzo?
Ubabe na ujinga wa urusiUnajua chanzo?
Sahii kabisa,Sababu za kuamini kuwa Amerika na NATO hawana silaha za masafa marefu kama Urusi na kama wanazo basi siyo bora .
1. Wakitaka kuvamia nchi lazima waingie ndani ya nchi hiyo.
2. Wanajenga kambi karibu na nchi wanayotaka kuivamia.
3. Wanafanya ukaribu na nchi jirani na adui ili siraha zao zifike sehemu husika.
4. Wanaunda vikundi vya kigaidi na kuviunga mkono kwa siraha na majeshi.
Kama wangekuwa na silaha zinazoweza kufikia popote duniani nadhani wasingehangaika kuwa na comanding camps kote duniani
Ni wazo tu halina utafiti
Eti Huyu naye ambiwa ni Great thinker [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubabe na ujinga wa urusi
NATO yote imeamia Ukraine sasa unataka aguse nini? nyie endeleeni kuleta shehena za silaha kazi yetu ni kuzilipuaAguze kataifa kamoja ka NATO hapo ndio ataelewa nini maana ya kupambana, kwa aibu aliyopata Ukraine, amebaki wa hovyoo sana.
Uhuni wa CIA huo,IlaLukashenko(rais wa Belarus) hua namkubali Sana,NATO/US walitaka kufanya ule ushenzi wao wa ku-support maandamano mpk kuiangusha serikali.Wakafanya hivyo Belarus,Lukashenko akabeba silaha yake akaingia nayo barabarani akipiga Patrol na wanajeshi wake,Hahah wananchi wakaona Nini Cha kufia, maandamano yakaishia juu kwa juu.
Russia walimpa Lukashenko 'helping hand' kwny hio inshu ya maandamano.View attachment 2235890
Russia[emoji4]Wakuu, NATO ni umoja wa kujihami kijeshi.
Swali langu,WANAJIHAMI DHIDI YA NANI HASA ANAEWANYIMA AMANI NA USINGIZI??
Kamati ya sayansi ya silaha ya Russia Ni kiboko.Nadhani ndani ya miaka 10-15 itakuwa sokoni tayari maana ana vision ya S-550 Ipo kwenye mchakato
Hawa jamaa itafikia hatua wataanza kuunda silaha za kuvamia mbinguni
Uyo Poland ndo kiherehere mkuu kwenye Hii Vita. Alitakiwa kua top nafs yangu isuuzikeWadau hii chini ni Official European Inflation Figure kwa Top Countries kama zilivyotangazwa, bila kusahau actual figure inaweza kua hata 8% to 10% more, Kwasababu matukio mabovu mengi data kamili hufichwa for political reasons.
Estonia 19%
Lithuania 16.8%
Bulgaria 14.4%
Czech Republic 14.2%
Romania 13.8%
Latvia 13%
Poland 12.4%.
What amaze me kwenye hizo data, hizi nchi zinaongoza kwa chuki za wazi wazi dhidi ya Russia, Estonia up to date ameshatumia 1% ya GDP kufadhili huu mgogoro.
My people [emoji2956]
KARMA IS BITCH [emoji23]
Uko West Kuna wapuuzi wanafaidika na Hii Vita kwa gharama ya maisha ya wa-ukraine[emoji26]"We can't do it, we don't have the strength to repel the attack!" - Ukrainian police in a panic, the Russian army smashes the Armed Forces of Ukraine in Lyman.
View attachment 2236041
[emoji404] "We will not be able to cope with Russian aviation. There have already been 5 air strikes, the planes were flying directly above us. We do not have enough strength to repel the Russian attack," he quotes policemen who had just returned from Liman.
“I am watching Russian rocket artillery salvoes on Liman from about 10 km. We saw shell explosions hitting Ukrainian positions,” he writes.
Neil Hauer huyu mdau ni mwandishi wa habari kutoka Canada, yupo Ukraine... See what he's saying, my people kama wataendelea kufikiri ni propaganda za Russia, mi nawaambia tu Kazaneni huku kundi la "binadam wasiojielewa" likiendelea kutolewa kafara na Western elites [emoji847]...
Ha ha ha....wameanza kusema UKWELI?[emoji16]
Ile bomber Ni balaa,Wazo lako ni hakika kabisa.
Na ndio maana ya kua na ma Aircreftcarriers mengi,wakati Urusi anasema yeye Hana haja yaa aircraftcarriers mengi kwa sababu makombora yake yanaweza kupiga popote kutokea Russia.
Urusi ana ndege inaweza kwenda juu Zaid na umbali mrefu zaidi kuliko ndege yoyote ya kivita aina ya bomber TU 160 Black jack
Ilitakiwa wafanyaje kwako mwalimu kashasha....Ubabe na ujinga wa urusi
Ambaruti kama ambaruti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiki alianza kuitafuta mama Yako wakati anapanuliwa nyuma, ili uzaliwa shoga.
Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.Uko West Kuna wapuuzi wanafaidika na Hii Vita kwa gharama ya maisha ya wa-ukraine[emoji26]
Kuna vichwa vingine maji mkuu,badala ya kuficha siri,yeye kaona sifa Wamarekani kuwa upande wao.Ila kwa watu wa leo sioni ajabu.Wakati mwingine US officials wana expose their millitary secrets kama walivyofanya sasa,ikawa picked up by Ukraine officials.Wakati mwingine UK wanafanya makosa hayo,hasa Boris Johnson,Russia na hata China.Kwani sasa si tunajua China wana mpango wa kuivamia Taiwan na US wamesema wakivamia na wao wata-respond millitarily!So nadhani hii ya Ukraine official sio ya ajabu sana,ingawa ni kweli ka-expose millitary secrets.Sasa mipango gani inakuwa ktk internet ???????
Hahaaaaa
Walitakiwa kujenga nchi yao japo mimi sio hayati kashashaIlitakiwa wafanyaje kwako mwalimu kashasha....
Urusi aache utoto, ajikite kujenga nchi yakeEti Huyu naye ambiwa ni Great thinker [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora Putin kuliko uyo USA wenu aliepigana afghanistani na wanamgambo (sio wanajeshi) wa TALEBAN miaka zaidi ya 20 (2001-2021), akaambulia patupu.Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
NATO yote imeamia Ukraine sasa unataka aguse nini? nyie endeleeni kuleta shehena za silaha kazi yetu ni kuzilipua