Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ugonjwa unazuka Europe, Illustration ya Picha inatolewa ya ngozi nyeusi. #Monkey Pox... Wazee wa kusifu nyie kazaneni tu.
IMG_20220523_092214_086.jpg
 
Anayewashwa washwa ni huyo Mrusi, yeye ndiye ametoka kwake kwenda kuparamia kainchi ka watu kakamshinda, katia limsafara likafyekwa lote, sasa hivi anatafuta pakutokea......alishindwa Kiev akaenda kufuata kamji ka huko mbali Marioupol, ni kama leo ujaribu kuivamia Tanzania kwa kuparamia Dar, ikushinde ugeuze uende kuhangaika na Katavi hukooooo!!!!
Sasa si mumsaidie Ukraine,pelekeni majeshi maana silaha mnazopeleka zinatandikwa kabla hazijafika war zone!
Putin hana mbwembwe,anatandika mtu kimya kimya!
Sasa hivi mnamuomba aachie bandari msife njaa,😅😅
 
😂😂😂😂

Na huezi kusoma Physics ukaielewa kama huna logical reasoning...

Ase ndio maana Pro-Russia mnafanana, kumbe background zetu ni kama "Nyeupe" na "White"... Kasoro lugha tu ila "mambo" ni ile ile
😄😄😄😄 jamaa angu hua Naenjoy sana nikiona mnashuka vitu vizito vya physics kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kabisa.

Wanasema mtu aliyeelewa kitu kwa kwa undani Ni yule mtu ambae anaweza kukielezea kitu hicho kwa njia rahisi kabisa na kikaeleweka"

Easterners wa JF tumebarikiwa Elimu na maarifa, Westerners wamebarikiwa Propaganda tu.
 
Sababu za kuamini kuwa Amerika na NATO hawana silaha za masafa marefu kama Urusi na kama wanazo basi siyo bora .

1. Wakitaka kuvamia nchi lazima waingie ndani ya nchi hiyo.
2. Wanajenga kambi karibu na nchi wanayotaka kuivamia.
3. Wanafanya ukaribu na nchi jirani na adui ili siraha zao zifike sehemu husika.
4. Wanaunda vikundi vya kigaidi na kuviunga mkono kwa siraha na majeshi.

Kama wangekuwa na silaha zinazoweza kufikia popote duniani nadhani wasingehangaika kuwa na comanding camps kote duniani

Ni wazo tu halina utafiti
 
IlaLukashenko(rais wa Belarus) hua namkubali Sana,NATO/US walitaka kufanya ule ushenzi wao wa ku-support maandamano mpk kuiangusha serikali.Wakafanya hivyo Belarus,Lukashenko akabeba silaha yake akaingia nayo barabarani akipiga Patrol na wanajeshi wake,Hahah wananchi wakaona Nini Cha kufia, maandamano yakaishia juu kwa juu.

Russia walimpa Lukashenko 'helping hand' kwny hio inshu ya maandamano.
Screenshot_20220523-184318.jpg
 
Wengi wapo *compromised * kuna manufaa wanayapata.
Kifupi hao wote wanaomsujudu jamaa kawapiga pin za chin chini hawawezi kusema chochote
Wapo ka maharage yaliyochemshwa yakaepuliwa bila kuiva hivyo yakafubaa (Waswahili wengine wanaita "kuguna")...

Ase hata uchemshe vipi hayalainiki 😂 ndio kama bongo za wenzetu zilivyo.
 
Ni nchi moja lakini ni kubwa kuliko nchi zote za ulaya magharibi zikiwekwa pamoja! Urusi inajulikana kama "mfalme wa kaskazini" kwenye biblia. Itakuja kuangamizwa tu na Bwana YESU kwenye vita ya Armagedonia!

Sisi hapa hatuko kwenye imani za dini na hasa za Kisabato! Kwani Marekani siyo nchi kubwa? Ukijumlisha Marekani na Ulaya je? Achana na imani za dini, njoo kwenye hoja!
 
Hahah Rwanda alitaka kununua kale ka S-200 ka zamani huko(nadhani kwa Sababu ya udogo wa eneo lake aliona itamfaa maana ina-cover eneo la km 150 mpk 300, sijui iliishia wapi,lkn hio S-200 pamoja na uzamani wake Kule Syria inapiga kazi Sana tu,hizo drones za Turkey walitaka kuzinunua 12 zikapige kazi Kule Mozambique (RWANDA : Rwandan army eyes Turkish drones for Mozambique - 07/10/2021 - Africa Intelligence) sijui Kama walizinunua au la.

Hio tech ya Laser Ni tamu Sana aisee,Ila Africa mpk tuje tuuziwe sijui Ni lini(Nimesema kuuziwa maana kuitengeneza najua Hilo litakua Ni jambo la kujilisha upepo).
Russia huwa anauza chochote kile ambacho kinajulikana kwa watu

S-200 mara ya mwisho walikubaliana kila kitu lkn sijui kwanini mpaka sasa wapo kimya

Drone ufaransa aliingilia deal
 
Back
Top Bottom