NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
It is hardly possible to talk about the possibility of exchanging Ukrainian politician Viktor Medvedchuk for nationalists who left Azovstal, Peskov said.
😂😂😂😂Hahah naam mkuu,kitabu changu pendwa kabisa hicho.
MKUU namuona mwamba anavyoteseka yaani[emoji23][emoji3][emoji16]Acha kulialia mie nimekuwekea link hii hapa
Haya sema kuwa hicho sio chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) kinachoripoti hiyo habari...
Kwa akili yako unadhani Marekani anaripoti habari hiyo huku anafurahia?!
Moderator hebu mwambieni huyu Omusolopogasi atulie, aache kupaniki...huo ndio uhuru wa habari...asitake kutuletea mambo ya kuminya habari fulani hapa JF kama wafanyavyo BBC, CNN n.k.
Bwana Utam, Galip Vrl, Washawasha njooni mumuone Pro-NATO mmoja wa 'Mabwepande' amepaniki vibaya, anataka kurusha ngumi hapa jukwaani[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji56]
View attachment 2234626
RUSSIAAANiliwaambia hii vita imeisha na Russia ameshinda. Fikiria drone zilisumbua lakini dawa imepatikana within short time. Nguvu ya Russia ni vifaru na ndio vimeanza kazi . Russia ameongeza wanajeshi na mifumo ya ulinzi wa anga. Majeshi ya Ukraine yanajificha kwenye mitaro na maporomoko wanaogopa battle . Russia anawaona maana anga la mashariki kalishika anaona hata mabondeni .
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuuUnazani USA hawana kijana kikwambie kitu ufahamu wanaotegeneza hizo silaha ni raia wa asili ya Israel wapo Urusi na USA na makampuni yao, kafuatilie kwanini Hitler aliamua kuwaweka hao Jews kwenye makambi! Ndio uje tubishane Kisha fuatilia wale wanasayansi wakati Ujerumani inaangukia kati ya Mrusi na USA Kila taifa liliwachukua fuatilia asili yao ni kutoka wapi?
Mwamba anajiona kaongea mwenyeweSina muda wa kufuatilia huo upupu wako..
Inaonekana wewe ni mtu wa lawama na sio mtatua matatizoPutin anaanza kuua Waafrika kwa njia ya njaa kwa sababu ameshambulia Ukraine. Nafaka za Ukraine haziwezi kupelekwa tena kwenye masoko ya Dunia. Bei zinapanda. Watu maskini wanaona njaa. Hasa nchi kama Ethiopia, Somalia na Kenya zinazotegemea misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo yanakosa hela kulipa bei mpya.
Waumini wake wanaendelea kumwabudu . . .
Halafu ile S-500 hajaiweka sokoni!! Ni kwa ajili ya ulinzi wa anga la Urusi tu kwa sasa. Ni ya masafa marefu!!Hawa watu wapo mbali saana aise
Hapo USA aweze kuhusu
S-400
S-500
na bado kuna hako kachoma drone najua mwakani Rwanda ataenda kuulizia bei then 2025 atazinunua