secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
mama vipi tena!?Cheki huyu kitobo👌
hujakaa sawa
mama vipi tena!?Cheki huyu kitobo👌
Marekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.
Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.
Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.
=======
View attachment 2234461View attachment 2234462View attachment 2234463
Acha kulialia na kujitia 'ukichwa maji' wewe mMarekani wa 'Mabwepande'...Ina maana hujaona kuwa mie nimeitoa habari hiyo toka kwenye chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) au hiyo U.S .News ni chombo cha habari cha ukoo wenu hapo Mabwepande?!Propaganda zinakusaidia nini hapo Mbagala?? Hii habari imeandikwa na Reuters, Shirika la Habari la Uingereza. Tena Reuters wanaripoti kile kilichosemwa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. Nimesoma habari nzima na kusikiliza video. Hakuna sehemu ambayo Marekani inasikitika. Ama unaripoti toka hapo gheto kwako, walikutembelea Wamarekani weekend hii? Tuache kueneza hisia zetu na kujifanya eti ni habari. Kwa kweli haya ni matumizi mabaya ya JF - Moderator
Unamaanisha idadi ya drones za Ukraine ambazo urusi imeharibu toka vita ianze au vipi?, Na Ukraine kaharibu za Urusi ngapi?
Sarmat tena? Inabadilisha nini??? Haibadilishi kitu chochote. Tangu miaka mingi kila upande kati ya Urusi na Marekani una uwezo wa kuharibu upande mwingine mara 100. Urusi inaweza kuangamiza nchi ndogo zaidi kama Ufaransa na Uingereza mara mia kadhaa, lakini hao wanaweza kuangamiza Urusi angalau mara 2.🚀🚀🚀🚀🚀"One Sarmat missile can destroy the whole of Great Britain in two minutes." 🔥🚀
State Duma deputy from United Russia Yuri Shvytkin warned NATO countries against conflict with Russia.
We recommend everyone to read our article about "Sarmat" to understand why the strategic weapons of the Russian Federation surpassed NATO's weapons level by 10-15 years🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Sema yule kiongozi anasiasa za kimafia sana....Umenichekesha kwa kusema Wana mateka mmoja TU,Tena dogo ndio wanazurula nae.
Umenikumbusha kiongozi mmoja hapa nchini alikua anazurula na mtu mmoja akidai alimwagiwa tindikali na watu wa chama Fulani.
Huyo bwana alikua ameharibika usoni.
Huyo anataka kuondolewa madarakani Kama Idd Amina Dadaa
Acha kulialia na kujitia 'ukichwa maji' wewe mMarekani wa 'Mabwepande'...Ina maana hujaona kuwa mie nimeitoa habari hiyo toka kwenye chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) au hiyo U.S .News ni chombo cha habari cha ukoo wenu hapo Mabwepande?!
View attachment 2234601
Uraaaaaaaa
Huyu kichwa chake anataka tumle supu.Mimi nimeshaandaa pilipili. Kwa supu ya kichwaHuyo anataka kuondolewa madarakani Kama Idd Amina Dadaa
Putin kama Putin mwenyewe ni kichwaPutin Ni mtu na nusu,
Ana washaur wazur Sana wa kijeshi na kiuchumi
Acha kulialia mie nimekuwekea link hii hapaNaudia tena katika habari hii yote, hakuna sehemu Marekani inasikitika. Wala Marekani haijahusika vyovyote vile. Tuonyeshe sehemu ambayo Marekani inasikitika ama sehemu ambayo ofisa wa serikali ya Marekani anahojiwa na kusikitika. Badala yake unatoa picha ya mtu aliyevaa kofia "Save America" eti kama ushahidi wako. Hii inaonyesha kiwango cha akili yako kilivyo kidogo.
Narudia tena. Habari hii ni Reuters wanaripoti kilichosemwa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. It has got nothing to do with the US. Huu ni upotoshaji Moderator.
View attachment 2234622
Ni kwasababu Russia hana mpango nayoKyiv Kwa sasa Hali ni shwari.Shughuli zinaendelea kama kawaida,wakuu wa nchi mbalimbali wanatembelea 🤔
![]()
Mkuu wa nchi wa kwanza wa kigeni alihutubia bunge la Ukraine
Andrzej Duda atakuwa ni mkuu wa nchi wa kwanza wa kigeni kuzungumza na bunge la Ukraine maarufu kama Verkhovna Radawww.voaswahili.com
Wewe mmarekani wa Mchambawima unataka uambiwe na nani ndio ukubali!?Naudia tena katika habari hii yote, hakuna sehemu Marekani inasikitika. Wala Marekani haijahusika vyovyote vile. Tuonyeshe sehemu ambayo Marekani inasikitika ama sehemu ambayo ofisa wa serikali ya Marekani anahojiwa na kusikitika. Badala yake unatoa picha ya mtu aliyevaa kofia "Save America" eti kama ushahidi wako. Hii inaonyesha kiwango cha akili yako kilivyo kidogo.
Narudia tena. Habari hii ni Reuters wanaripoti kilichosemwa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. It has got nothing to do with the US. Huu ni upotoshaji Moderator.
View attachment 2234622