Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siku hizi hatusikii tena zile kelele za drones za Turkey za Bayraktar TB2...Putin anazichoma vibaya kama mzigo wa majani makavu unavyounguzwa na moto wa njiti ya kibiriti

SmartSelect_20220522-174035_Chrome.jpg
 
Marekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.

Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.

Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.

=======


View attachment 2234461View attachment 2234462View attachment 2234463

Subiri waje jamaa wa mtaa wa pili utaona watakavyodharau😂😂😂
 
Shukran sana mkuu kwa utambulisho mujaarabu kabisa wa timu zote katika hii operation na umemaliza kwa kutoa nasaha nzuri sana ya kuwaomba PRO-NATO Kurejea kwajili ya mijadala ila chakusitikisha nikuwa hawataweza kurudi kwa kasi ile ya mwanzo kwasababu walichokuwa wanakifahamu au kufikiri kuhusu Westerners nitofauti kabisa na wanachokiona sasahivi.

Watu walio anza kuifuatilia Urusi baada ya hii operation kuanza ndo hawa PRO-NATO waliopotea kwa kasi maana walidhani USA&NATO+EU zinavyo ogopwa na kutetemekewa na nchi zao masikini basi itakuwa hivo hivo hata kwa Russia, na wakati wanaambiwa kuwa Russia siyo Zimbabwe nadhani hawakujipa muda wa kuutafakari vizuri huo usemi, kama wangeufanyanyia kazi huo usemi basi pengine wangeelewa uhalisia wa nguvu ya Russia na wangebadili akili zao nakuanza kuchambua operation hii kwa facts na siyo kwa mahaba ya USA&NATO kisa tu walisikia story za USA&NATO walivyozichapa Libya, Yugoslavia, Iraq na Vietnam(japo kwa Vietnam USA maji aliyaita Mma).

Wito wangu kwa PRO-NATO mliobaki mkitaka uchambuzi wenu uwe na mashiko na wenye nguvu basi naomba muelewe huu usemi wa RUSSIA SIYO ZIMBABWE WALA ESTONIA NI THE GREAT RUSSIA FEDERATION baada ya hapo naamini ndo tutaanza kwenda sawa hata kama mawazo nitofauti ila bado hayatoki sana kwenye uhalisia.
Mwamba naamini wa kuelewa wataelewa.
 
‼️216 cities and towns have been liberated in the DPR, the offensive continues!

In recent days, on the territory of the Donetsk People's Republic, a grouping of DPR and LPR troops, with fire support from the RF Armed Forces, liberated new settlements: Drobyshevo, Kirovsk, Novoselovka (Krasnolimansky district), Yampol, Derilovo, Torskoye, Aleksandrovka, Koroviy Yar, Redkodub, Karpovka, Katerinovka ( Krasnolimansky district), Novoe, Novomikhailovka, Scars, Volchiy Yar, Lozovoye, Terny, Belogorovka, Dzerzhinskoye, Ivanovka (Krasnolimansky district), Kolodezi, Novosadovoye, Yampolovka, Shandrigolovo, Zelenaya Dolina, Srednee, Yatskovka, Krymki, - reports the Headquarters of the DPR Terodefense.
 
Si tukiwambia Mrusi hakuna anaye weza kushindana naye mnabisha, nilipowaeleza Mrusi hataki vita iishe Kwa Sababu zake yeye tu. Sababu silaha zote alizo zitumia zimelipwa Kwa faida waliyopata ya Gas na Oil.

Swali Silaha waliza zituma US, Uingereza, Mfaransa na Mjerumani zimelipwa na nini?
 
Ila huyu mwamba kuna mda anatia huruma basi tu.

Mfano kwa waliomsikiliza hotuba yake yote, kuna sehem anaelezea idadi ya marubani na ndege zilizopotea katika attempt ya kutaka kuwaokoa wale panya waliokuwa kule Azovstal...
Anatapa tapa TU kama mfa maji
 
President of Ukraine Volodymyr Zelensky intends to submit a bill to the parliament that will establish a special legal status for Polish citizens in the country, said Olga Sovgirya, a representative of the Verkhovna Rada in the Constitutional Court of Ukraine.View attachment 2234353
Ili Polish solders wakapigane Vita.
 
Back
Top Bottom