Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?



The Ministry of Construction of the DPR reports:


Water supply began to flow to the Primorsky district of Mariupol


Specialists of PU "Mariupolvodokanal" started supplying water to the system of the Primorsky district. Distribution networks are being filled. Their condition is being monitored.


Inside⚒Donetsk
 
Wenzetu wakikupa uwongozi ujue wanakukubali...
Sio kama nchi za Africa mpaka ujipendekeze na kusifia sana almaarufu uchawa
 
Ukisikia kauli kama hizo jua Zelensky anatafuta njia ya kuanza maongezi ya maani na Urusi, ila nalojua Urusi haiko tayari paka pale atakapo taka Odesa ndo Ukuraini iwe landlocked ndo atakaribisha maongezi ya amani.
Mazungumzo yatakuwa na kizingiti kikubwa, Ukraine ktk Makubaliano inaitaka Russia kuachia maeneo yote ambayo wanayathibiti na kuondoa Majeshi yake, kitu ambacho siiyoni Russia ikikubaliana nacho.
 
IMG_20220522_165055_046.jpg


🔥🔥🔥Member of the Federation Council of the Russian Federation Andrey Klimov called for the denazification of all of Europe and the dissolution of NATO

Klimov explained that the statements of European politicians and the demolition of monuments to Soviet soldiers-liberators in the Baltic states prove that "the topic of denazification of Europe is relevant not only within the borders of present-day Ukraine."

The senator also recalled that the current NATO countries, primarily the United States, helped to evacuate some Nazi criminals after the defeat of Nazi Germany.

"Therefore, the world community should not only seek the dissolution of NATO as the main threat to peace and security, but also a broad denazification to eradicate the dangerous Nazi infection. To begin with, it would be good to identify in each NATO country those who personally proved themselves to be supporters of Nazism, their glorification, justification , the continuity of Hitler's ideas and goals," Klimov wrote in his Telegram channel 💪💪🔥
 
Yeah yuko sahihi, lakini ugumu ktk hiyo diplomasia unakuja kwa sababu Urusi inataka vita isitishwe ila wayachukue maeneo yote ambayo wameishayachakua, hiki ndicho Ukraine inakataa ktk Makubaliano hayo, kwhy inaona kama ni hivyo waendelee na kupambana.
Ww jamaa umejaa mihemko mpaka imekupotezea akili,
Yaani umeleta taarifa lakini hata hujaisoma ukaielewa.

Kwenye taarifa yako uliyo ileta kuna sehemu ambayo Urusi imesema inataka usitishaji wa mapigano?

Marekani na Italia ambao ndio wafadhili wake wakubwa ndio wametoa pendekezo la kusitisha mapigano na si Urusi ebu soma taarifa yako vizuri.
 
Ifike mpate aibu, kataifa kadogo hako kamewashinda kuparamia....
Shirikisha akili japo kwa mbali, ukraine anatumika Kama Dalali wa aliyejaribu kuwa mwenyeji wa maadu wa urusi, huo ugomvi wanaopigana ni USA wakipiga corabo na NATO VS RUSSIA. Uzuri RUSSIA ina Assumptions zote yanaweza tokea na taadhari zake, ndio maana sanctions na Mambo mengine hayana effects mbaya Kama West walivyofikiri, risks na mitigations hii vita Russia walishafanya..hapo ni kusali tu imalizike kwa adabu.
 
Kwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...

Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.

Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======

View attachment 2233331View attachment 2233333
Kwa hiyo ile atayeingilia vita kwa aina yoyote imekufa sasa ni maandalizi ya vita hewa?!
 
Ukweli ni kwamba Russia, ana silaha za Vita ambazo hakuna nchi imewahi kuzifikiria ila zimefichwa kwa code's nzito Sana. Marekani amejitahidi kutoa misaada mingi ya silaha lengo alitaka kuona Russia ana silaha gani mpya!? Mwanzo Russia aliamua kutumia silaha za kawaida tu, wamarekani walipo mwaga mi drone ya kutosha, Russia akaona isiwe tabu akatoa silaha yake mpya Lazer ambayo inaunguza drone kabla hazipiga shabaha, na hiyo ni moja, Je zingine ambazo bado zimefichwa!!!!?

Hii Vita Ukraine na NATO, wakubali masharti ya Russia ndo suluhisho vinginevyo nchi ile itakuwa magofu yote!!
Zimefichwa ila wewe upo Nangulukulu lakini unajua kuna silaha zimefichwa.
 
Ukraine ni kati ya nchi 5 duniani zinazozalisha ngano nyingi na kuiuza nje. Vita ya Putin imepandisha bei ya ngano kote duniani kwa sababu mazao kutoka Ukraine hazifiki tena sokoni.

The following is a list of countries by wheat exports. Data is for 2020 as reported in Food and Agriculture Organization Corporate Statistical Database.[1] Wheat is one of the biggest crops in the international grain trade, alongside other crops like maize, rice and soybean.

#CountryQuantity
tonnes
1Russia37,267,014
2United States26,131,626
3Canada26,110,509
4France19,792,597
5Ukraine18,055,673
6Australia10,400,418
7Argentina10,196,931
8Germany9,259,493
9Kazakhstan5,198,943
10Poland4,689,130
Acheni kupersonalize issues...'vita ya Putin' kwa vipi?!?! Huo ni mtazamo wa USA na all Western countries in their efforts to demonize Putin....Russia ndiyo iko kwenye mapambano na siyo Putin...wakati NATO ilipoivamia Serbia, Libya, Iraq na hata Syria hatukusikia kuwa hivyo ni vita vya Bush, Blair, Obama au sijui Nani....
Binafsi huwa naghadhabika sure kukereka kuona watu wazima wanapumbazwa na propaganda za magharibi....jamani hivi Kuna nchi mbaya duniani kama USA? America imeua mamilioni ya watu huko Grenada, Japan, Korean Peninsula, Panama, Iraq, Libya, Vietnam, Serbia, etc...imewaua Wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa America...duh...hivi inakuwaje sisi weusi hatuwezi hata kutambua watu wabaya?! Yaani bado tunawakumbatia na kuwafurahia wakoloni na wanyonyanyi wa raslimali zetu?! Ni lini tutajifunza na kuwa independent wa mawazo na fikra?! Watu wazima na akili zetu bado hatuoni ubaya wa West?!?!
 
Back
Top Bottom