Zelensky akata tamaa, asema Ukraine haiwezi kutoboa/kushinda vita mbele ya majeshi ya Russia...
Asema diplomacy ndio pekee itawaokoa waUkraine toka kwenye kichapo cha majeshi Russia....
Akiri Ukraine kupoteza marubani wengi mno (idadi yao asema hatoweza kuitaja hadharani, itakuwa ni fedheha kwa jeshi la Ukraine) na ndegevita nyingi sana huko Mariupol ktk jitihada za kupeleka chakula, maji, madawa kwa wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya huko Azovstal ambao wote wameishia kutekwa na majeshi ya Russia