Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

20220521_120453.jpg

Hao wengine sio waingereza kweli!!😁
 
Tunoelewa kinoendelea pale Ukraine hatuandiki sana ila twaangalia tu.

Pia je, wafahamu hao wanojisalimisha na kukamatwa wengine ni makomandoo wa kutoka ....... na Russia imesema haitowaachia kwa sasa hadi watapopata taarifa zote wanozihitaji.

Ila ukirudi kwenye mada yangu ya kuhusu Raisi Putin kutia saini majeshi kuingia Ukraine Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk jambo ambalo Russia waliota tu bali walilipanga tangu 2014 walipochukua Crimea.

Tushuhudie sasa wanomsaidia Zelenskyy watachukua hatua gani maana wameanza kuona hali halisi.
Kabisa MKUU tuwaachie tu BIIBIISII waendeleze porojoo zao[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pro-NATO kwavile hawana akili ya kuelewa madini yanayotoka kwenye vichwa vyenye akili hawakumuelewa putin juu ya hii kauli na walimudhihaki na kumusodoa kama mtu muoga anae waogopa Azov battalion ila sasa muda wa wao kuelewa kauli hiyo ya kimukakati umefika baada ya kauli hiyo waliyoibeza kuwafukua panya zaidi ya 2400 ndani siku 3.

Siku Putin anatoa hiyo order nilisema "Putin ni mtu smart sana analijua vizuri eneo hilo na anajua kabisa hakuna shujaa wa njaa wala majeraha hivo nisuala tu la muda hao panya wataanza kujitoa wenyewe na watakuwa na faida kubwa kwa putin hapo baadae kuliko ambavyo wangegeuzwa kuwa majivu"
Hatimae muda umefika na lengo kukamilika kwa 100% kama kichwa cha Kremlin kilivyoplan. PUTIN is genius and strategy leader na ndo maana ukiwa na akili ndogo isiyo ona mbali utachelewa sana kuwa unaelewa mipango ya PUTIN.

PUTIN siyo Ramadhan Kingai anaedili na ugaidi wa laki5 ni Rais wa nchi kubwa zaidi kuliko zote Duniani inayoitwa THE GREAT RUSSIA FEDERATION [emoji635]
😁😁😁
 
systematic work that has been carried out over the past years...
View attachment 2232599

Vladimir Putin: It can already be said today that the cyber aggression against us, as well as the sanctions attack on Russia in general, have failed. In general, we were ready for this attack, and this is the result of the systematic work that has been carried out over the past years.
Halaf kuna raia wanahisi RUSSIA alikurupuka eti[emoji4][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.

Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38]
 
Mbona hueleweki! Huku aliua mamia kwa nguvu za kijeshi huku vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza!
====
Turudi kwenye mada iliyomezani.
Haieleweki? Si mara ya kwanza kwamba sehemu za jeshi zinakataa kuua wananchi wao wakati amri ya aina hii inatolewa. Hivyo ndivyo ilivyokuwa Lybia ikawa vita ya wenyewe kwa wenyewe ilhali sehemu za jeshi zilisimama upande wa waandamaji na sehemu nyingine walitumia silaha dhidi ya wapinzani.
 
Siku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.

Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.

Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.

Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)

Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Umetumia akili kubwa sana mdau,ukiwa tayari nitag nisikose huo uzi.
#We are the Bears
 
Nato wa jf hawana namna ni mwendo wa "tunaoita kimya kimya"
 
Dah wee jamaa wewe ila SHUKRAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa EU walitakiwa wajiulize swali mmoja tu,kwa nini Adolf Hitler aliivamia Russia na sio USA??,kwa nini alisema ukitaka kuitawala Dunia lazima uitawale Urusi.
Urusi iliyo imara ni hatari kwa USA katika U-super power
Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha

Mwendo wa single file tu.
Na wakitaka kulifahamu hilo vizuri wakamsome Adolf Hitler, hakuwa mjinga kuivamia USSR alijua ukitaka kuitawala dunia lazima uitawale Urusi.
 
Alisikika akiongea kwa huzuni m-Ukraine mmoja wa 'Mabwepande' baada ya kuumizwa na taarifa ya wanajeshi zaidi ya 900 wa Ukraine waliojisalimisha kwa majeshi ya Russia....

View attachment 2229964
Sisi ambao hatujawahi kuona vita hii clip imenitetemesha kama movie aisee, Hii vita iishe jamani, wakutane tu kwenye meza ya mazungumzo.
 
Siku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.

Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.

Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.

Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)

Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Mkuu hongera kwa kuwa na akili kuwazidi G7, NATO, EU na UN. Kweli Tanzania imebarikiwa kuwa na vichwa
 
Hii habari ni ya siku said ya 5 were unaileta leo? Imejadiliwa sana na "sources" tofauti tofauti dunia.

Ukurupukaji, ulikuwa wapi muda wote huo kuileta humu?

Newsless
Alisikika Pro-NATO mmoja huko 'Mabwepande' akibwabwaja kwa huzuni (ya kukamatiwa kamanda wake mkuu wa kikosi cha Azov Nazis huko Azovstal, Mariupol) na jazba/hasira (juu ya kwa nini taarifa hiyo iletwe hapa jukwaani)...

Habari hiyo ya kukamatwa huyo kamanda wenu si tu 'ni mpyaaa' bali ni 'ya motomoto'...na haijafikisha hata masaa 24 toka kuripotiwa....

challenge: Katika hizo sources tofauti tofauti duniani unazodai zimeripoti habari hii zaidi ya siku 5 zilizopita, weka source moja tu 'kama una ubavu'

Screenshot_20220521-130805_Chrome.jpg
Screenshot_20220521-130733_Chrome.jpg
 
Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.

Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mdau Umoja wa Pro-Russia tunakuomba ubadilishe kauli 🤣🤣🤣.

Mdau marekani anatamani ampe silaha nzito alizonazo Ukraine, mmarekani anatamani sana Russia ashindwe hivi Vita ili adictate mazungumzo aftermath.

Lakini kile ambacho kitamgharim kwa kitendo cha kujaribu kutuma silaha nzito "top notch" huko Ukraine ni zaidi ya kile ambacho anaweza kukipata Ukraine peke yake.

Mdau US anaongoza duniani kwa uuzaji wa silaha akichukua market share ya 38% compared to 20% of Russia. Mdau hiyo 38% ya United State kuipata anatumia nguvu nyingi sana kwa udanganyifu, uanzishaji wa fujo kila eneo na blackmailing of top of officials kuhakikisha wananunua silaha kutoka kwake peke yake.

While 20% market share ya Russia anaipata bila kutumia nguvu nyingi, bila PR zisizo na kichwa wala miguu. Na kuchafuliwa kote but katika Nchi zaidi ya 200 duniani, Nchi zenye kujitapa kwa wingi kua na advanced technology kuliko yeye, nchi zenye kujitapa kwa kua na uchumi mkubwa kuliko yeye. Ana hold 20% market share of military equipment supply duniani.

OoT (Out of Topic): Bibi yangu enzi za ujana alikuwa kisu balaa, aliwakimbiza mno, aliniambia kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. 😂😂😂😂 hola hola wadau.

Back to the Topic.
Can you imagine the consequences in Military Complex of United States kama wakituma zile silaha konki kisha zikaharibiwa with easy effort by Russia mdau? Atapoteza Confidence kwa wateja wake sokoni. Soko ambalo linaingiza ma-billons ya dollar kila mwaka.

Kuiweka sawa hii, unaweza kutwambia morali wa wana kwenye kikundi pale mbabe wao mkuu anapochakazwa? Now you get my point?

Yes man, so umeona huko ni kuharibu soko ambalo lina thamani kubwa kuliko mdudu anaeitwa Ukraine mdau, hapa utaona washirika wakiambiwa watume silaha zao yeye atawafidia 😂.

"A Coward 'Chick' is afraiding of being embarrassed by a great 🐻 Bear"

You can't say hataki while anatumia gharama zaidi kwa kuuponda ponda uchumi wake, kwa kuharibu mataifa yao, kwa kuchafua image zao kwenye siasa za kimataifa. Wanajua na wanaendelea kufanya hivo kwasababu it's obviously the only option left to fight with Russia.

They can't, oh wait, They will never fight Russia directly unless they tired to exist. Remember Sadam's Iraqi was Invaded because they "suspect presence" of Weapons of Mass Destruction, today wote wanakimbia kupigana na Russia Directly wakihofia ana "posses" Weapons of Mass destruction. Hiiiivo Man.

So mdau, usighafirike the way nilivyoanza Intro yangu ya kukutaka utubadilishie kauli 🤗, Hola hola hapa mtu wa masihara sana.

High Five 👊 mdau....
 
Pro Ukraine Unatudanganya! Sasa na WAZEE wanaandikishwa kwenda kupigana ili iweje?
Siyo muda mrefu Donbass itatekwa kikamilifu.
 
Sasa hao hao si ndio wametufanya tuwe maskini hivi hadi leo unafikiri wasinge mkata Babu yako mkono au wasinge iba madini na wasingepandikiza ukristo wakinafki kwa maslahi ya matumbo yao leo hii ungewategemea
Rudia kusoma hiyo historia yako.......hakuna mmarekani aliyemkata babu yako mikono......Soma vizuri hiyo history 2.....
 
Kama Urusi ingejikita kuyatwaa hayo maeneo ya Ukraine mashariki toka awali huenda wangeshayatwaa na wasingeangukia kwenye fedhedha waliyonayo hivi sasa hasa baada ya kushindwa kuiteka Kyiv.
lee van cliff idawa
Basi wangefanya kama ulivyoshauri wasingeweza kutwaa eneo lolote huko Mashariki mwa Ukraine. Of course, kushambulia miji mingi ndani ya Ukraine ilikuwa ni mkakati wa kuwafanya Ukraine wajikite kwenye kulinda Serikali ya Kyiv isiangushwe. Hapo ndipo Russia walipotumia upenyo wa kuyateka maeneo hayo ya mashariki. Ingawa kwa pande zote 2 wamepoteza wanajeshi wengi sana.
 
Back
Top Bottom