Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....

The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.

Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show

 
UKRAINE inamegwa utamu sana yaani daah
RUSSIA kweli TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunoelewa kinoendelea pale Ukraine hatuandiki sana ila twaangalia tu.

Pia je, wafahamu hao wanojisalimisha na kukamatwa wengine ni makomandoo wa kutoka ....... na Russia imesema haitowaachia kwa sasa hadi watapopata taarifa zote wanozihitaji.

Ila ukirudi kwenye mada yangu ya kuhusu Raisi Putin kutia saini majeshi kuingia Ukraine Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk si jambo ambalo Russia waliota tu bali walilipanga tangu 2014 walipochukua Crimea.

Tushuhudie sasa wanomsaidia Zelenskyy watachukua hatua gani maana wameanza kuona hali halisi.
 
Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.

So you can call that country either Russia or Russian federation.

Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.

Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.

Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR

Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.

Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.

Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.

1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita 😎.

Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.

So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.

Hola hola my Signature 😂
Kama hajaelewa muache, tuendelee na mambo muhimu zaidi yanayohusu mjadala huu. Ha ha haaaa!
 
Gaddafi alitangulia kuua watu wake alipanda mbegu wa chuki iliyomwua. Alijibu maandamano kwa nguvu ya kijeshi , kwa njia hii mamia waliuawa. Mawaziri kadhaa walijiuzulu na vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza amri badala yake vikajiunga na wapinzani. Majibu ya Gaddafi yalisaabisha vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Hatimaye waliomwua walikuwa watu wake.
Mbona hueleweki! Huku aliua mamia kwa nguvu za kijeshi huku vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza!
====
Turudi kwenye mada iliyomezani.
 
Kama Urusi ingejikita kuyatwaa hayo maeneo ya Ukraine mashariki toka awali huenda wangeshayatwaa na wasingeangukia kwenye fedhedha waliyonayo hivi sasa hasa baada ya kushindwa kuiteka Kyiv.
lee van cliff idawa

Ile ilikuwa ni mkakati wa kuipoteza boya Ukraine, kwanza wachoshe kwa kuvamia kila kona huku wakiamini unaenda kuuteka mji mkuu, waelekeze nguvu katika kulinda mji mkuu huku mkizingira maeneo mliyokusudia kunyakua.

Ndo kilichotokea. Urusi baada ya kuona ameliingiza chaka Ukraine, aliamua kuondoa majeshi yake taratibu huku Ukraine akijiona eti anawadhibiti kumbe wapi mziki unahamishiwa ukumbi mkubwa.

Odesa itakapoanguka ndo Ukraine na mabwana zake itajua lengo la operasheni limetimia.

Kwa sasa bado wanajitekenya na kucheka wenyewe eti Urusi inapoteza.
 
Hapa warusi wamepatikana, dawa ya Moto ni Moto. Annunaki wapelekee Moto, warusi wengi humu sio wastaarabu Kuna baadhi unajadiliana nao vizuri Ila wengine NI matusi Kwa kwenda mbele.

Nasoma comments
 
Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.

So you can call that country either Russia or Russian federation.

Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.

Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.

Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR

Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.

Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.

Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.

1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita 😎.

Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.

So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.

Hola hola my Signature 😂
Ndio ndio mdau, safi sana mdau, umempa shule kubwa sana mdau, asipikuelewa kwa shule hii huyu mdau, inabidi aende kwa mdau Mwamposa akakanyage wese na kuwekewa mkono kichwani ili medulla yake ipate uponyaji mdau.
 
IMG_20220521_070954_141.jpg

Kazi imeisha huko sasa. Mtori tumekunywa sasa tunakula nyama.
 
Wanajeshi zaidi ya 2400 wa Ukraine wakiwemo wapiganaji wa kikosi cha Azov na wanajeshi toka nchi za NATO wajisalimisha kwa majeshi ya Russia...

Ni wale waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya ndani ya kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol. Hatimae sasa kiwanda hicho kipo mikononi mwa majeshi ya Russia.

Kweli vita ni akili aisee. Wakati wanajeshi hao walipoamua kujificha kama panya kwenye mashimo pamoja na raia (wakiwatumia kama ngao yao), Putin aliyakataza majeshi yake yasiwashambulie ila yazingire na kuziba mianya yote ya kiwanda hicho kiasi kwamba 'hata nzi asiweze kuingia'...Jamaa (wapiganaji hao wa Ukraine) walikazaa, mwishowe njaa na majeraha vimewashinda kuvumilia wameamua kujisalimisha na kamatwa na majeshi ya Russia kama 'kumbikumbi'.
=======

SmartSelect_20220521-064227_Chrome.jpg
Screenshot_20220521-064409_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom