Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanazi wameshindwa
Huyo jamaa kwenye profile yako ni mpiganaji wa mma ni mrusi anaitwa khabib ni htr sn alinipigia vby sn mc Gregory baada ya mc Gregory kumtukania baba ake na kusema vby dini yake (Islam) putin aliwahi muita white House kumpongeza kwa kazi yake nzr jamaa hajawahi kupigwa huyo Anawachuki vby sn wazungu
 
Huyo jamaa kwenye profile yako ni mpiganaji wa mma ni mrusi anaitwa khabib ni htr sn alinipigia vby sn mc Gregory baada ya mc Gregory kumtukania baba ake na kusema vby dini yake (Islam) putin aliwahi muita white House kumpongeza kwa kazi yake nzr jamaa hajawahi kupigwa huyo Anawachuki vby sn wazungu
Una uhakika?
 
IMG_20220520_234349_799.jpg

🔥🔥🔥Shoigu reported to Putin that all the remaining characters at Azovstal had capitulated and the release of Azovstal had been completed. Mariupol becomes a rear city.
The Sea of Azov is finally the inland sea of Russia. There are no more Ukrainian soldiers on its coast.
The total number of prisoners was 2439.
Today, 531 people have surrendered🔥🔥🔥
 
Taarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.

Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.

________________________________________


Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.

Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.

Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.

Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.

Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.

Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.

Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.

Chanzo VOA

View attachment 2232267
Nyie ndiyo mnaiharibu jf .... takataka tupu
 
View attachment 2232150
kamanda wa kikosi cha Azov akiwa dhoful hal.Wale makamanda wa awali walifanya njama na Urusi na kukimbia

Kamanda mkuu wa kuilinda Azovstal Denys Prokopenko ambaye alibaki kwenye mahandaki baada ya kundi kubwa la askari wake kujisalimisha nae ametoa tamko rasmi la kukataza upinzani wa aina yoyote dhidi ya jeshi la Urusi akitoa sababu ili kuokoa maisha na kulinda siha za waliobaki hai.Wakati huo huo amesema wamo katika juhudi za kuwatoa wenzao ambao ni maiti ili wakazikwe.
Kwa upande mwengine jeshi la Ukraine limetangaza kuwa jeshi la Urusi limesonga mbele kwa kasi katika mipaka yote ya jimbo la la mashariki la Donest.Kauli hiyo inaenda sambamba na msemaji wa jeshi la Urusi ambaye muda mfupi uliopita amesema jeshi lake liko karibu kabisa kulidhibiti eneo lote la Luhansk huko huko mashariki ya Ukraine ambalo kwa wiki mbili sasa limekuwa kitovu cha mapigano makali.
Unazani ushindi wa vitani unapatikana kirahisi hivi, kama ulivyotapika uharo wako huu.
 
Back
Top Bottom