MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Kwani kabla ya vita Ukraine alikuwa na wanajeshi wangapi?The United States and NATO are stepping up operational and combat training near Russia's borders, with up to 40,000 military participating in the Defender of Europe series of exercises, Defense Minister Shoigu said.
View attachment 2231731
Anaongea Mtaalam huyu wa Kijeshi,wa jeshi moja mahili kabisa ulaya.
Good News wadau, waiteni Pro NATO watusomee kwa sauti.
View attachment 2231828
Hola hola my people
View attachment 2231833
Urusi haina watu wenye asili ya India Wala waarabu hata kidogoRussia haina black tu.
Ila India, Arab China ,Mongol, Japanese, Korean
Wakati vita vilianza,kuna watoto waliozaliwa juzi wakasema atapigwa na Ukraine,nikawaambia,Mjerumani anajua mziki wa Mrusi pale Stalingrad,yaani toka siku hiyo, Mjerumani hana hamu na Russia.Anaongea Mtaalam huyu wa Kijeshi,wa jeshi moja mahili kabisa ulaya.
General wa Jeshi la Ujerumani.
Leo hii anakuja mtindiga mmoja anakuambia Russia ni dhaifu.
Aisee!
Unajua maneno kama haya ya Gen huyu ndio yanaongelewa kwenye corido za makao makuu ya majeshi ya nchi za west.
Ila sema hawana Cha kusema mbele za wanasiasa.
Huyu ni Gen wa pili baada ya Mac Gregory wa USA kama sijakosea jina.
Ila wataielewa TU Urusi.
Hii mbinu iliyotumika Ukraine walikuwa hawana chaguo lingine zaidi ya kulinda Kiev coz kama wangejifanya wameshtukia mtego basi ule msafara wa kilometa kadhaa ungeingia KievKuna chenga moja Russia kawapiga Ukraine na Nato watu hawajaona! especially wenye upeo hafifu. Mwanzoni wakati Ukraine anavamiwa uelekeo ulikuwa Kyiv so tunjemba tukajikusanya Kyiv kulinda mji.Kumbe hesabu za Russia zilikuwa kwenye kinu cha nyuklia na Bandari.
na miji muhimu kiuchumi ambayo wameshaidaka
sshv Ukraine wataanza kulipia umeme wao wenyewe
Wahindi sawa ila waarabu hapa panahitaji wajuviUrusi haina watu wenye asili ya India Wala waarabu hata kidogo
Embu tutajie malengo ya Marekani kule Afghanistan.Marekani haijawahi shidwa vita huko Afghanistan bali ilikamilisha malengo..
Kama ilishindwa waambie Taliban wafuge magaidi tena.
Baada ya mzigo wa Us dola bil.40 sasa ni mzigo mwingine kutoka EU👇Embu tutajie malengo ya Marekani kule Afghanistan.
Maana walienda kupambana na Islamic extremists na kuvunjwa serikari yao yaani Taleban.
Je walifanikiwa?
Russia kweli haiwezi kuwa Zimbabwe hata kidogoGood News wadau, waiteni Pro NATO watusomee kwa sauti.
View attachment 2231828
Hola hola my people
View attachment 2231833
Wampe tu hela ila wasisahau magunia ya nafaka pia
Nipo tayari kuelimishwa ila mpaka Sasa hakuna waarabu pia.Wahindi sawa ila waarabu hapa panahitaji wajuvi