Hawa miamba ni moja kati ya wanaume wachache tuliobaki duniani😄😄😄😄na ambao tunaendelea kuutumuza uanamume wetu.Huyu mwamba ndo definition halisi ya Pro Russia. Hii ni combination ya ujuaji, ujanja, ubabe, uswahili, ukimix na ugaigai humo humo ndo unampata Pro Russia aliyekamilika.
😂😂😂😂
Duuuh ana ngozi nzuri Sana miaka 50 halafu anafaaa kabisa kwa matumizi ya kibinadamu Yani.
Hahahahahaaaaa!
Moscow Says: US is using Dollar as weapons.
Hapa Wana maana kwamba.... Hakuna namna wanaweza kuacha kununua mafuta ya Russia... Ila wanatafuta mbinu chafu za kufanya hiyo biashara.At the G7 meeting, plans were discussed to create a cartel to control the price of Russian oil.
This was told by US Treasury Secretary Janet Yellen. According to her, such a measure will reduce Russia's energy revenues without creating too much burden on the global economy.
“For this, a large cartel is needed, perhaps the EU alone will not be enough,” Bloomberg quotes her.
Yellen also noted that an alternative approach could be the idea of setting tariffs instead of price caps. In fact, such measures will determine how much China or India can buy Russian oil for, the newspaper writes.View attachment 2231301
Mkuu samahani,naomba pro mashoga wote musi waignore.Watendeeni kwa upole kama PUTIN wetu(the current masiya) alivyowafanya wale panya kule kiwandani.Anafuata kwenye orodha ya kuwaignore akiendelea na ujinga wake....
Hiki kitu kinanishangaza sana ,mbona kuna warusi wana ufanano mkubwa sana na japanese ?
Urusi inapakana na Japan.Hiki kitu kinanishangaza sana ,mbona kuna warusi wana ufanano mkubwa sana na japanese ?
Kaz kaz! shoo shoo
Ndezi ni yule alokuzaaEbu kaa kimya wewe Ndezi!!!
Unaongea vitu gani?
Russia haina black tu.Hiki kitu kinanishangaza sana ,mbona kuna warusi wana ufanano mkubwa sana na japanese ?