Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,991
Anajiamini sana, naona ni mtata kuliko PutinUyu mzee ana nondo ngumu Sana kuzimeza[emoji28]
Anajiamini sana, naona ni mtata kuliko PutinUyu mzee ana nondo ngumu Sana kuzimeza[emoji28]
Haiwasaidii kitu kizifahamu mapema silaha za Russia.What if NATO walitaka Ukraine iingie kwenye mpambano ili wajue Russia ana zana gani, hii hatari mno kwa russia kuanza kutumia silaha zake hizo.
Da aisee safi sana,umejibu kama nilivyomjibu na Mimi pia,na sikua nimefika Huku kwenye majibu Yako wakati nasoma coments.Haitawasaidia coz hawawezi kutengeneza anti yake kwa kipindi kifupi tu hiki
Ujue Putin hajakurupuka kuanzisha hii vita. Kwa taarifa Russia ilijiandaa zaidi kwa Nato kuliko kwa Ukraine yenyewe
Achana naePunguza dharau na kejeri ww mzee.
Jaribu kuheshimu mawazo ya wengine ww sio Mungu mpaka utake kila unacho waza ww na mwingine awaze hivyo hivyo.
Au ww ukiichukia Urusi basi na wengine waichukie kama ww unavyo ichukia.
Kama huwezi kujibu hoja kaa kimia.
Ndugu yangu Proved ,nakuamini sana kua unaelewa mambo kwa upana wake.Kwanini Urusi hawakuitumia hii silaha ya laser 'zadira' tangu awali ili kupunguza madhara ya vifo na majeruhi upande wao ?
T14 Armata mohamedidrisa789 Gwappo Mwakatobe Kalamu1 Kichuguu
lee van cliff
Kubwa US (NATO,) walitaka mpindua Erdogan miaka ya juzi akatonywa na Mrusi kazima mapinduziUturuki ameanza kuwakera.
Kumfukuza hawawezi,kumuacha anawakera.
Unajua Uturuki aliomba miaka mingi sana kujiunga na EU wakamkatalia.
Unajua Uturuki ndio nchi ya NATO yenye jeshi kubwa kwa idadi ya askari kuliko zote kwa upande wa ulaya,yaani ukiondoa USA.
Nasema kwa idadi ya askari.
Unajua wakilazimisha kuwaingiza Fin na Swidi Ukraine anaweza kutoka NATO.
Na akitoka NATO atakua na Uswahiba mkubwa na Urusi kuliko huu.
Kwa kifupi Turkey anawakera kwerikweri.
Mkuu hii mbona Cha mtoto.Hivi South Korea,ni NATO? Mbona Urusi inapigana na husu ya dunia??? This is unfair 😌
Rossiya sio Zimbabwe....And Russian product and fertilizerMUST full access to the world to end hunger,🤣🤣🇷🇺🇷🇺🙌
Hakika kabisa.Kubwa US (NATO,) walitaka mpindua Erdogan miaka ya juzi akatonywa na Mrusi kazima mapinduzi
Mkuu hivi ulishawa wahi kuwasikia wanyama wanaoitwa Spetsnaz?hiv wale jamaa wa seal team six wale si wangee da kumaliz bii game. au jamaa wa delta force
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
NATO wakisikia hivi ndo hawatathubutu kabisa kuingia vitani na Urusi kwa ajili ya kuihami Ukraine.During the special operation of the RF Armed Forces in Ukraine, a new Zadira laser complex was used.
Deputy Prime Minister Sergei Borisov said that he is able to hit drones at a distance of 5 km using thermal radiation.
“If Peresvet blinds, then the new generation of laser weapons already leads to physical damage to the object, that is, to thermal damage - it burns through it ... This is already, as they say, a completely different class of equipment for combating drones so that we do not spend expensive missiles like “Shell” and “Torah,” he said.
Candidate of Military Sciences Sergei Suvorov, in an interview with RT, said that such a weapon is technologically complex, and noted that the laser beam instantly reaches the target and cannot be intercepted.
In addition to the Zadira and Peresvet, Russian specialists are creating another sample of laser weapons as part of the Luchezar project.
View attachment 2230877
Mkuu Russia mambo ni kama vile ilivyokua kabla ya vita.Asante kwa jibu zuri kaka Lee, hali halisi ya uchumi wa Russia ikoje mpaka wakati huu? Je, uchumi wake unaelekea kufanana na uchumi wa Zimbabwe kama alivyotabili mwanadada Coco na wanauchumi wenzake wa mchongo hapa jukwaani?
@ Naomba hii aione Frank WanjiruWadau hawa ngungu marwa hawaeleweki wanataka nini 😂.
View attachment 2230844
Finland PM says no nuclear arms or NATO bases on Finland's soil even after membership (Wanajua kitakachowapata 😂)
🔹Finland’s Prime Minister Sanna Marin has dismissed the possibility of deploying nuclear weapons or establishment of NATO military bases on her country's soil, saying the alliance itself has not expressed any interest in placing nuclear weapons or permanent bases in Finland.
🤣🤣🤣🤣🤣ATU🤣🤣🤣🤣 badala ya hatua🚮🚮🚮 pro NATO Vila za hata kuandika hamjui
Medvedev mnoko sana aisee.Medvedev: No one has yet harvested on TV and the Internet. This requires fields and agricultural machinery, fertilizers and hands accustomed to sowing and harvesting grain, and not to sign stupid decisions.
Russia knows how to do this, we have every opportunity to ensure that other countries have food, and food crises do not happen. Just don't interfere with our work.
Habari ndio hiyo wadau... JUST DON'T INTERFERE WITH OUR WORK 🤣
Comrade mbona una swali jepesi hivyo?Ukitoa silaha RUSSIA ananini chengine chakuuza
RUSSIA inatakiwa iheshimiwe mnoooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia's siege of the Ukrainian city of Mariupol stuttered towards its end on Thursday, with hundreds of fighters still holed up in the Azovstal steel works and some 1,700 who have already surrendered facing an uncertain fate.Comrade mbona una swali jepesi hivyo?
Au unatania.
Mimi kwa kujibu TU ni kwamba ana Kila kitu Cha kuuza kama walivyo navyo wachina, wamarekani,waingereza na nchi nyingine.
Kwa kifupi Urusi Iko katika nchi tatu zenye viwanda vingi duniani.
Viwanda vya kila kitu.
Na hii ni tabia za nchi za kijamaa,yaani kuwa na uwezo wa kujitegemea.
Mkuu yaani Urusi inaiuzina Marekani Injini na mashine.kweli hujui.
Inauz magari ,mashine na mitambo n.k
Sasa shida ni je, waukrain wa buza wanaelewa hili 🚶
Ahsante mkuu, kwa kukumbushia hili, kwani tuliwahi kulisema huko nyuma juu ya 'prototypes', n.k.deployment ya Su-57 nchini Syria wakati huo hawana hata Su-57 moja iliyokuwa commissioned.
Marekani ana testing za laser weapons tangu 2020 anafanya taratibu ila ukipigana naye leo akaona ulazima si ajabu akazileta kwenye matumizi maana hizo testing zilikuwa successful.