STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
China is discussing with the Russian Federation the purchase of additional volumes of oil to replenish reserves, Bloomberg reports.
Moja ya Picha bora sana na Yakuvutia
Sasa huyu chifu mafii wetu kwanini asinunue mafuta ya russia bei ingeshuka hadi sh 1600 kwa litaSafi ukisusa wengine wanakula
Haya makaa ya mawe wananunua wapi?,au Wana mgodi WA makaa ya mawe????Wanaume wameweka msimamo..Bora lawama za mazingira kuliko fedheha ya Putin 👇
View attachment 2230580
😂😂😂🤣🤣😁😁Umemwelewesha,alikua hajui.
Sasa mtu kama huyo anaingia kwenye mjadala kama huu hajui chochote,hajafanya utafiti alafu anakuambia Putin ni mjinga,kakurupuka,kichaa.
Watu kama Hawa Mimi hua nawaacha TU.
Ni Bora mtu anaeuliza.
Mbona upekuaji/ukaguaji kama hauko serious?Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha
View attachment 2230672
MORE SURRENDER(EVACUATION)!!!
Another video of surrendering from "Azovstal"
Show this to anyone who follows western mainstream media,because they want to convince everyone that🇺🇦 is winning.
ghost of kiev alisababisha nimunfollow maria sarungi kule twitter, ilikuwa nikiingia kwenye account yangu nakutana na retweet za slava ukraine. Bila ya shaka huenda Kiherehere cha kushabikia ukraine kimemuisha kwa sasaWalitupiga na kitu kizito sana unakumbuka ghost of kyiv??[emoji28][emoji28][emoji28]
WEST IS WORST [emoji706][emoji706][emoji706]
wanapekuliwa vidonda ili wakatibiwe, kama zilishindwa javelin kuwapa ujasiri wataweza kwa bastola ya baruti.Mbona upekuaji/ukaguaji kama hauko serious?
Hao maboya ni kuwakagua mpaka kwenye matako, hawaaminiki hao kenge!
Inawezekana Kuna wasomali au hata wasudani ya kusini humuMNALIA NINI SASA .! KICHAPO KIENDERE NA BADO UKRAN IJABADILISHA ATUA,
BADO TUPO ATUA YA KWANZA RUSSIA WAPO ATUA CJUI YA TANO .
MNAANZA KULIA LIA MAPEMA IVIView attachment 2230671
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Zipo stage kadha wa kadha za upekuaji. Hiyo stage for public only.Mbona upekuaji/ukaguaji kama hauko serious?
Hao maboya ni kuwakagua mpaka kwenye matako, hawaaminiki hao kenge!
Kwanini Urusi hawakuitumia hii silaha ya laser 'zadira' tangu awali ili kupunguza madhara ya vifo na majeruhi upande wao ?Hii
Hii kitu ni balaaa, drones za NATO za bilioni kumi zimebanikwa kama mishikaki ndani ya sekunde moja. Marakumi hata zingepigwa na radi kuliko kukutana na hicho kitu. Ni hatari kuliko hatari yenyewe. Hakuna langi nato watahacha kuiona kwenye huu mtanange
Kama ni hivyo sawa, maana wasije wakaleta ugai gai huko wanakopelekwa, siwaamini kabisa hao watu.Zipo stage kadha wa kadha za upekuaji. Hiyo stage for public only.
Nina wasiwasi mkubwa sana na hivi vyombo vya habari[emoji125][emoji125][emoji125]Wanaosema putin ameshindwa vita kwenye mji wa kiev wajiulize, kati ya mji mkuu wa taifa wa dodoma na daresalaam upi ni muhimu zaidi kimkakati kwa tanzania?