Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ni hivyo sawa, maana wasije wakaleta ugai gai huko wanakopelekwa, siwaamini kabisa hao watu.
Mkuu iamini Urusi kuliko unavyoiamini US, wakati Kamanda Putin anatangaza kuwa hao panya waliondani ya kiwanda waachwe ila wahakikishe hata inzi hatoroki watu wengi walitilia shaka kuwa huenda hao panya wakaendelea kuchimba mashimo chini kwa chini na kutokea mbali na kuweza kutoroka.

Leo kiko wapi, kuteka askari zaidi ya elfu na kuwatibu na kuishi nao wakiwa hai sio mchezo, kumbuka wengi ni Makamanda na wakufunzi wa kijeshi.

Zaidi ya nchi ya 30 zikiongozwa na Marekani wanavikosi hatari vya uvamizi na uokoaji umeona inchi yoyote iliyojaribu kutaja tu hata kikosi chake maalum...

Urusi,NATO/US wanafahamiana vyema kabisa, sema NATO wako mbele kwa propaganda.
 
Pale Muanzisha Ugonvi akizidi kuongeza speed kuelekea kwenye makorongo 🤣 Amani nayo taratibu inaenda inarejea wadau.

Songa nayo 👊
Afghan Taliban "brokers" peace talks between Pakistan and Pakistani Taliban. (NB wale wadau wangu wa "English sio size yangu" hiyo brokers sio kuvunja ni slang ya udalali yenye maana ya kusimamia)
View attachment 2230818

🔹Afghanistan's Taliban group says it is hosting peace negotiations between the Pakistani government and Tehreek-e-Taliban Pakistan (TTP) in an attempt to end more than two decades of deadly conflict between the two sides.
Mungu n mwema terahamwe wameomdoka (peace keepers 🤣🤣🤣🤣)Amani na upendo wa kwelii umepatikana.
Pro NATO someni huku mmefungua macho ololooooo
 
Russia kisayansi iko juu ,mmalekani hatii mguu.sema Russia Hana show show za kujitangaza na kujitanua tanua Kama marekani .ISS warussia ndo waliianzisha na kuijenga marekani akaomba nae awe anaitumia wakamkubali .so kisayansi Russia ni mbabe Sana .
Russia pia ndo ilikuwa nchi ya kwanza kufika mwezini.. sio USA[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
When you have Wajomba wababe like China and Russia nawe unakuwa mbabe [emoji23]

Pyongyang (North Korea) may greet Biden with missile test during South Korea visit

[emoji843]The United States says North Korea could carry out nuclear tests or long-range missile tests, or both, during or after President Joe Biden’s visit to South Korea and Japan this week.
Na dogo Kim anaweza fanya kweli [emoji41] kichwa na nusu yule
 
Asante kwa jibu zuri kaka Lee, hali halisi ya uchumi wa Russia ikoje mpaka wakati huu? Je, uchumi wake unaelekea kufanana na uchumi wa Zimbabwe kama alivyotabili mwanadada Coco na wanauchumi wenzake wa mchongo hapa jukwaani?
Nimetumia lugha hiyo pia kama mzaha. Hali halisi haitakuwa kama Zimbabwe, lakini unaelekea kiasi. Maana walitegemea mno malighafi nyingi bila kuimarisha msingi wa tasnia kwa kutosha. Na kwa mbinu wa udikteta walidhoofisha matabaka ya wenye elimu nzuri wasio tayari kuishi chini ya utawala unaobana uhuru mwingi - wengi wao wameondoka tayari.
Uwingi wa malighafi ni laana kwa nchi nyingi (tazama Uarabunki, Nigeria) kwa sababu ni watu wachache wanaokamata utajiri huo na wananchi wengi hawashirikishwa. Nchi zisizo na malighafi lakini amani wa miaka mingi walifaulu sana angalia Denmark, Uholanzi, Luxemburg, Uswisi, Finland . . . .
 
Daaa hataimaye Hawa nguchiro wametoka shimoni wenyewe bila shuruti.
Sipati picha ingekuwa Wanajeshi wa Russia ndio wana surrender. Hiyo mijadala huko kwa CNN, BBC Aljazeera tungeikoma.

Mara John Graham is a military expert from the BID military Company, Mara sijui nani ni prof wa nini?
Mungu ni mwema, wamejikausha as if the Surrender of Azov Mice is not a story aloo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
nimeona huko twita wanasema wale wanajesh walokuwa mashimon wame toa ushuhuda nimesahau English yake kuwa kulikua na mipango miov kwa taifa la donbas.mim nikajiuliza ushuuda huo au walikua interogated balaa zile za kufungwa chupa ya bia au kuwekewa panya kweny boks na kichw kinatumbukizwa lazima uongee

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Huenda hawakuona ulazima wa kuitumia silaha hii hapo awali. Ila ukitaka majibu zaidi unaweza kuwatafuta ubalozi wa Russia popote ulipo, hao wanaweza kukupa majibu mazuri zaidi.
Kwanini niende ubalozini wakati Pro-Russia wamejaa humu?...au na wao hawajui kuhusu hili?
 
Wadau hawa ngungu marwa hawaeleweki wanataka nini 😂.
IMG_20220519_211203_000.jpg

Finland PM says no nuclear arms or NATO bases on Finland's soil even after membership (Wanajua kitakachowapata 😂)

🔹Finland’s Prime Minister Sanna Marin has dismissed the possibility of deploying nuclear weapons or establishment of NATO military bases on her country's soil, saying the alliance itself has not expressed any interest in placing nuclear weapons or permanent bases in Finland.
 
Hii
Hii kitu ni balaaa, drones za NATO za bilioni kumi zimebanikwa kama mishikaki ndani ya sekunde moja. Marakumi hata zingepigwa na radi kuliko kukutana na hicho kitu. Ni hatari kuliko hatari yenyewe. Hakuna langi nato watahacha kuiona kwenye huu mtanange
ndo unavyodanganya wazee wenzako kwenye kahawa?
 
NATO haitokubali kumuondoa Uturuki ndani ya NATO hata wafanyeje.

Wakifanya hivyo itakuwa ni strategic blunder itakayo waumiza kwa muda mrefu.

Tatizo la waturuki ni vigeugeu Toka zamani enzi za Ottoman empire mpaka hawa wa Sasa.

Huwezi kuliondoa Taifa lenye idadi kubwa ya askari baada ya Wamarekani.

Lakini pia strategic location iliyopo pale ni muhimu sana kuencounter meli za kirusi.

Kuzuia wahamiaji kutoka middle east kwenda Ulaya, na kama mnakumbuka na hii Erdogan huitumia kama siraha kushinikiza mipango yake kule Ulaya.

Idadi yake ya watu ni Milioni 80 halafu uswidi ni Milioni 10 na yule mwingine mfini ni Milioni 5.
Utaona hata mchango wao kwenye foot soldier hautakuwa mkubwa kwa kiwango hicho.
yan ni hiv ni lazima wakubal matakwa yake.na yy kajua pa kuwashika wamejaa kweny 18 zake

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom