Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uchambuzi mujarab kabisa, wakati Urusi iliondoa wanajeshi wake Kyiv,nilidhani kashindwa,nimekuja kugundua kwamba,aliipiga Kyiv ili kuwafanya Ukraine wawe busy na kusahau maeneo mengine ya muhimu kwa uchumi wa Ukraine. Nacho ona mbeleni kwa Ukraine:
1.Odessa ikichukuliwa kikamilifu na Urusi, Ukraine ijiandae kulipia bandari yake yenyewe,hii itauma Sana,ni kama vile umejenga nyumba yako,alafu uje kugeuzwa mpangaji na mtu ambae hakuwa na nyumba.
2.Ukraine ijiandae kwa njaa Kali,maana % kubwa ya majimbo yàliyochukuliwa na Urusi ndio ghala la chakula cha Ukraine
3.Ukraine maisha yatakuwa magumu Sana kwa sababu watalazimika kulipia nishati kuzalisha bidhaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna watu wanafikiria Putin anashida na Kiev. Yaani, Ukraine ijiandae kuwekewa kibaraka kutoka Kremlin.[emoji635][emoji119]
PUT IN mtu smart sana
Nangojea safar za wapuuzi wa EU kuelekea MOSCOW
Maana nisuala la muda tuuu
Ila mfano wa mwenye nyumba umekaa kibabe sana na wakueleweka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naongea na jamaa akaniambia Vita ya Mrusi ni balaa, akikukosa wewe anapiga majengo, kuku, mbuzi, matofali, mitaro yaani chochote kilicho mbele yake...

Sasa ndugu zangu hii ni vita ama panic...
Labda tukawaulize NAGASAKI na HIROSHIMA
Halaf tukawaulize na US
UKRAINE hakuna VITA msipigepige kelele jamani pale kuna ka small OP tuu
Kwahio mkae kwakutuliiia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana Japan 👇

Screenshot_20220519-121539.png
 
Bado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.

Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.

Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.

Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.

Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
Nakukubali sana Jamaa yetu, Uchambuzi makini kutoka kwa mtu makini.

Watu wasio smart hujali Quantity more than Quality. Note Moja ya Sh 10,000 ni kubwa kuliko Note 10 za Sh 500.

Isipoeleweka hiyo tunatoa mfano mwingine watu wangu. Katika mchezo wa karata zipo Cards 52, kila card ina value yake.

Ukimpaa mtu smart karata 52 atachukua zile chache tu ambazo zina thaman like Ace A, 7, (maarufu kama mali) less like King K, Jack J na Queen Q na magharasha atayaacha.

So 4 "A" card and 4 "7" Card zina value of 84 out of 120 in total. Swali, will the one with more cards left win the game? Jibu ni NOOO.

Therefore, ni Mpumbafu pekee atasema yule mwenye karata hizo nane kashindwa na yule mwenye karata nyingi (Gharasha) zilizobaki kashinda.

Always smart actions are easily noticed by smart people while being interpreted as a joke  kwa wapumbafu walio wengi.

Take another example katika "Union" za Mataifa zilizopo duniani kote. Hakuna taasisi duniani yenye back up kubwa ya Raia kama BRICS. We can call this Smart Selection. Ndani ya BRICS  alone unazungumzia Population ya 3.2Billion out of 7.9Billion, this is 42% of World Population.
BRICS.svg.png

For that case alone, Russia is supported by more than 42% of world Population. Mind you, There, we are talking about 5 countries only.

Latvia, Lithuania and Estonia, all three countries match a single City of our country, in term of Population Dar es salaam of 6Mil People. The whole Europe, Australia, Canada, United state and Japan, These are More than 35 countries account for the Population of 1.37Billion, a 18% of world Population.
FO3Jcl6VcAYs6N4.jpeg

 Quick Comparison of Population
42% Stand With Russia (taken from BRICS only)
18% Stand with Ukraine/NATO
40% Opt for neither side
(Ila moyoni waswahili tunajuana 😂)

Hey my People, Kuna Mmoja alisema Dunia Ipo na Ukraine. Atufafanulie Dunia Ipi.

To sum up, Pro Russia mbali na ushabiki mlio nao. Mna kitu special kwenye vichwa vyenu. Analysing skills.

I salute you three times by "shouting" Urrrraaaa, Urraaaaa, Urraaaaa.

Viva V, Viva Z,
much love to you My people.

Mr Hola hola hapa 👊
 
Russia imeanza kutumia generation mpya ya silaha za mionzi mikali ya leza (laser) kwa ajili ya kuchoma drones na silaha nyingine za wamagharibi zinazomiminika nchini Ukraine.

Silaha hizo mpya ambazo Russia imeweka taarifa zake kuwa siri, zinaitwa Zadira ambazo zina uwezo wa kuiunguza na kuichoma drones iliyo umbali wa km 5 ndani ya sekunde 5 tu.

View attachment 2229901View attachment 2229902View attachment 2229903
View attachment 2229904
Marekani ameripoti wapi au translation imekutupa mkono 🤣 🤣
 
Uingereza wanalialia kuwa Russia imetumia majeshi ya Wachechen wakiongozwa na Ramzan Kadyrov na ndugu yake Adam Delimkhanov ktk kuyasulubu majeshi ya Ukraine huko Azovstal, Mariupol, na kuyazingira kwa miezi hadi yakalazimika kusalimu amri. Mpaka jana wapiganaji zaidi ya 950 wa upande wa Ukraine ambamo pia wamo wapiganaji toka nchi za magharibi wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia.

Uingereza yadai kuwa Russia iliamua kumtumia mbabe wa kivita Kadyrov na wapiganaji wake wa Kichechen baada ya Russia kupata upinzani mkali toka kwa majeshi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya kwenye mahandaki huko Azovstal, Mariupol.

Mwambieni Boris Johnson wa Uingereza srikali yake iache kulialia. Inakuwaje hao wapiganaji wa kichechen wawashinde wapiganaji wa Ukraine + wapiganaji toka nchi za kimagharibi walioenda kuipambania Ukraine ukiongezea na misaada yoote ya silaha za kivita toka US, UK, Canada, Australia na Ulaya yoote?

========

View attachment 2230145View attachment 2230148View attachment 2230146
Hivi ni vyanzo feki havina credibility yeyote duniani. Sisi Waukraine hii taarifa hatuitambui kwahiyo siyo ya kweli n ya kubumba.
 
Naona wanaojiita "International Community " wameanza Kulia kuhusu njaa. Leo media zao zote zinapiga kelele kuhusu kumuomba Putin aruhusu kusafirisha grains from Ukraine.

Mkuu wa WFP anamuomba Putin ainusuru Dunia na balaa la njaa.

#Winter is coming....
 
Nakukubali sana Jamaa yetu, Uchambuzi makini kutoka kwa mtu makini.

Watu wasio smart hujali Quantity more than Quality. Note Moja ya Sh 10,000 ni kubwa kuliko Note 10 za Sh 500.

Isipoeleweka hiyo tunatoa mfano mwingine watu wangu. Katika mchezo wa karata zipo Cards 52, kila card ina value yake.

Ukimpaa mtu smart karata 52 atachukua zile chache tu ambazo zina thaman like Ace A, 7, (maarufu kama mali) less like King K, Jack J na Queen Q na magharasha atayaacha.

So 4 "A" card and 4 "7" Card zina value of 84 out of 120 in total. Swali, will the one with more cards left win the game? Jibu ni NOOO.

Therefore, ni Mpumbafu pekee atasema yule mwenye karata hizo nane kashindwa na yule mwenye karata nyingi (Gharasha) zilizobaki kashinda.

Always smart actions are easily noticed by smart people while being interpreted as a joke  kwa wapumbafu walio wengi.

Take another example katika "Union" za Mataifa zilizopo duniani kote. Hakuna taasisi duniani yenye back up kubwa ya Raia kama BRICS. We can call this Smart Selection. Ndani ya BRICS  alone unazungumzia Population ya 3.2Billion out of 7.9Billion, this is 42% of World Population.
View attachment 2230409
For that case alone, Russia is supported by more than 42% of world Population. Mind you, There, we are talking about 5 countries only.

Latvia, Lithuania and Estonia, all three countries match a single City of our country, in term of Population Dar es salaam of 6Mil People. The whole Europe, Australia, Canada, United state and Japan, These are More than 35 countries account for the Population of 1.37Billion, a 18% of world Population.
View attachment 2230425

 Quick Comparison of Population
42% Stand With Russia (taken from BRICS only)
18% Stand with Ukraine/NATO
40% Opt for neither side
(Ila moyoni waswahili tunajuana [emoji23])

Hey my People, Kuna Mmoja alisema Dunia Ipo na Ukraine. Atufafanulie Dunia Ipi.

To sum up, Pro Russia mbali na ushabiki mlio nao. Mna kitu special kwenye vichwa vyenu. Analysing skills.

I salute you three times by "shouting" Urrrraaaa, Urraaaaa, Urraaaaa.

Viva V, Viva Z,
much love to you My people.

Mr Hola hola hapa [emoji109]
Mr hola kama Hola hola... Pro Russia mko brilliant sana ase. Kwamba 5 versus over 35. Kichekesho ni kua katika hao 5 mmoja wapo anawajambisha zaidi hao 35. Je ikija team kamili itakuaje
 
Mbna MARIUPOL wamekoma!!?
Endeleeni kujitia UPOFU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mariupol sasa ni miezi 3 putini hajatangaza mafanikio yoyote kama nayo itakuwa nchi huru., kwanini haitangazii dunia amepatwa na nini?? blood combat inaendelea mkuu watafurushwa tu urusi kama walivyofurushwa Kyiv, khakiv na miji mingine

Je unayo taarifa ya Finland na Sweden?
 
Wanajeshi 1730 waliokuwa wakiipigania Ukraine huko Mariupol ambamo miongoni mwao wamo kutoka nchi za NATO wamesalimu amri kwa majeshi ya Russia ili kuokoa maisha yao...

Ni wale waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal, Mariupol, wakikimbia moto wa mvua za makombora ya majeshi ya Russia

Cc: MK254 , T14 Armata , Mwanamkiwi

SmartSelect_20220519-125750_Chrome.jpg
SmartSelect_20220519-125815_Chrome.jpg
 
Hii
Hii kitu ni balaaa, drones za NATO za bilioni kumi zimebanikwa kama mishikaki ndani ya sekunde moja. Marakumi hata zingepigwa na radi kuliko kukutana na hicho kitu. Ni hatari kuliko hatari yenyewe. Hakuna langi nato watahacha kuiona kwenye huu mtanange
Source
 
Hapo ndio Marekani anaogopa kuingia kabisa front maana hajui Russia kaficha nini cha kumfurahisha. Putin ameweka wazi kabisa ndani ya nusu saa NATO anaifuta kabisa kwenye uso wa dunia. Naona kuna silaha nzito Sana Russia anazo
 
Back
Top Bottom