Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,403
Hakuna kitu chenye mass kinaweza kutembea speen ya light[emoji23][emoji23][emoji23] Momentum ya kuleta Bing Bang Theory nyingine

Hili suala la energy huwa lipo complex sana. Tena ukija kutumia kanuni ya E=mc2Hakuna kitu chenye mass kinaweza kutembea speen ya light
Siyo hii ilitokea mwaka 2011 tayari? Pesa hazikuibiwa, ziliwekwa chini ya ulinzi kwenye msingi wa maazimio ya Umoja wa Mataifa. 2011 zilipatikana tena.Vipi Libya pesa yao walirejeshewa na share za makampuni yao ya maguta?
Hiyo Baltic Fleet sijui kama itakuwa na nafasi tena? Nafasi gani nje ya paredi? Maana kutokana na hekima kubwa ya Bwana Putin na Finald na Uswidi kujiunga na NATO, pwani za Bahari Baltiki sasa ni asilimia 97 eneo la NATO. Tumeshaona jinsi ilivyo kazi nyepesi kuzamisha manowari kwa kutumia roketi kutoka nchi kavu.View attachment 2230245View attachment 2230246View attachment 2230247View attachment 2230248View attachment 2230249View attachment 2230250View attachment 2230251View attachment 2230252
✨ Today the Baltic Fleet celebrates the 319th anniversary of its foundation
⚓️ During the summer training period, ships of the Baltic Fleet will take part in more than 30 different types of exercises in the waters of the Baltic Sea and various areas of the world ocean.
🚢 By the end of the year the ships of the fleet are to make several voyages, including ones to the deep sea zone. In addition to ships and support vessels, coastal units, naval aviation aircraft and helicopters will be involved in the exercises in the fleet's area of responsibility.
#MoD #Russia #BalticFleet
@mod_russia_en
Ukipenda kuyaita demilitarization, sawa! Lakini usisahau kumshukuru Bwaa Putin kwa demilitarization ya Urusi pia! Ni dhahiri kuhusu Urusi amefaulu kuliko Ukraine.Hii dio demilitarization. Hapa ni jumla ya equipments za Ukraine zilizoharibiwa.
📊In total, 172 Ukrainian aircraft and 125 helicopters, 927 unmanned aerial vehicles, 311 anti-aircraft missile systems, 3,139 tanks and other armored combat vehicles, 389 multiple launch rocket systems, 1,548 field artillery and mortars, as well as 2,997 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
Maneno ya kolonel mstaafu wa Russia.
Kremlin remains adamant that the Russian offensive goes in the right direction. But on Monday night, studio guest Mikhail Khodarenok, a military analyst and retired colonel, painted a very different picture.
He warned that "Russia's" situation would only get worse "with Ukraine receiving extra military assistance from the West and that" the Ukrainian army could arm a million people ".
Referring to the Ukrainian troops, he said: "The desire to defend their country is very strong. The final victory on the battlefield is determined by the high morale of the soldiers who shed blood for the ideas they are ready to fight for.
"The biggest problem with [Russia's] military and political situation," he continued, "is that we are completely politically isolated and the whole world is against us, even if we do not want to accept it.
We need to resolve this situation. "The situation cannot be considered normal against us, there is a coalition of 42 countries and while our resources, military-political and technical-military, are limited."
It is rare to hear a true analysis of events on Russian TV. Rare. But it is not unique. In recent weeks, important comments have appeared on television here
.
.
.
.
[emoji419]kuna points ambazo nyie warusi wa buza hamuwezi kuzielewa, moja wapo ni hiyo ya wa Ukraine wako tayali kufa na kutoa damu kwa ajili ya nchi yao.. na unajua jinsi ilivyokuwa ngumu kupigana na mtu ambae yuko tayali kwa lolote.
Ndio maana hata wanachi wa kawaida walikubali kuingia vitani, hasira na kujitoa kwa Ukraine huwezi ifananisha na ya russia.
[emoji419]Nyingine inabidi muelewe kwamba hamuwezi kushindana na nchi za NATo endapo zikiamua kuja full, huyo ni colonel na ni Imani yangu hakuna mtu humu kati yenu anaijua vita na pia hakuna mtu humu anaijua russia zaidi yake.
[emoji419]"our resources, military-political and technical-military, are limited."
Za Russian pia waziweke chini ya maazimio piaSiyo hii ilitokea mwaka 2011 tayari? Pesa hazikuibiwa, ziliwekwa chini ya ulinzi kwenye msingi wa maazimio ya Umoja wa Mataifa. 2011 zilipatikana tena.
Mwana vita ya maneno mtandaoni ni utoto. You need to change. Ukiendelea kuongea upumbavu I will block you.Ukipenda kuyaita demilitarization, sawa! Lakini usisahau kumshukuru Bwaa Putin kwa demilitarization ya Urusi pia! Ni dhahiri kuhusu Urusi amefaulu kuliko Ukraine.
Labda analenga Tuzo ya Nobel ya Amani?
Evacuated are tried?View attachment 2230287
🔥🔥🔥The special operation to evacuate from Azovstal was successful, right in the Elenovka pre-trial detention center 🔥🔥🔥
Vita vya kujichimbia kwenye handaki na vile vya kutoa msafara mrefu wa vifaru nadhani kwa sasa ni mbinu dhaifu za kivita.Adui akijua uko kwenye handaki ama atakufukia au atakukatia mahitaji muhimu.Na msafara wa vifaru unatishiwa na drones na ndege za kivita muda wote.Hao waliwekwa blocked ni masaa tu yalikuwa yahesabika wamalize maji na biskuti zao 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa Nato si waamue, wanasubiri nini?Maneno ya kolonel mstaafu wa Russia.
Kremlin remains adamant that the Russian offensive goes in the right direction. But on Monday night, studio guest Mikhail Khodarenok, a military analyst and retired colonel, painted a very different picture.
He warned that "Russia's" situation would only get worse "with Ukraine receiving extra military assistance from the West and that" the Ukrainian army could arm a million people ".
Referring to the Ukrainian troops, he said: "The desire to defend their country is very strong. The final victory on the battlefield is determined by the high morale of the soldiers who shed blood for the ideas they are ready to fight for.
"The biggest problem with [Russia's] military and political situation," he continued, "is that we are completely politically isolated and the whole world is against us, even if we do not want to accept it.
We need to resolve this situation. "The situation cannot be considered normal against us, there is a coalition of 42 countries and while our resources, military-political and technical-military, are limited."
It is rare to hear a true analysis of events on Russian TV. Rare. But it is not unique. In recent weeks, important comments have appeared on television here
.
.
.
.
[emoji419]kuna points ambazo nyie warusi wa buza hamuwezi kuzielewa, moja wapo ni hiyo ya wa Ukraine wako tayali kufa na kutoa damu kwa ajili ya nchi yao.. na unajua jinsi ilivyokuwa ngumu kupigana na mtu ambae yuko tayali kwa lolote.
Ndio maana hata wanachi wa kawaida walikubali kuingia vitani, hasira na kujitoa kwa Ukraine huwezi ifananisha na ya russia.
[emoji419]Nyingine inabidi muelewe kwamba hamuwezi kushindana na nchi za NATo endapo zikiamua kuja full, huyo ni colonel na ni Imani yangu hakuna mtu humu kati yenu anaijua vita na pia hakuna mtu humu anaijua russia zaidi yake.
[emoji419]"our resources, military-political and technical-military, are limited."
Maneno ya kolonel mstaafu wa Russia.
Kremlin remains adamant that the Russian offensive goes in the right direction. But on Monday night, studio guest Mikhail Khodarenok, a military analyst and retired colonel, painted a very different picture.
He warned that "Russia's" situation would only get worse "with Ukraine receiving extra military assistance from the West and that" the Ukrainian army could arm a million people ".
Referring to the Ukrainian troops, he said: "The desire to defend their country is very strong. The final victory on the battlefield is determined by the high morale of the soldiers who shed blood for the ideas they are ready to fight for.
"The biggest problem with [Russia's] military and political situation," he continued, "is that we are completely politically isolated and the whole world is against us, even if we do not want to accept it.
We need to resolve this situation. "The situation cannot be considered normal against us, there is a coalition of 42 countries and while our resources, military-political and technical-military, are limited."
It is rare to hear a true analysis of events on Russian TV. Rare. But it is not unique. In recent weeks, important comments have appeared on television here
.
.
.
.
[emoji419]kuna points ambazo nyie warusi wa buza hamuwezi kuzielewa, moja wapo ni hiyo ya wa Ukraine wako tayali kufa na kutoa damu kwa ajili ya nchi yao.. na unajua jinsi ilivyokuwa ngumu kupigana na mtu ambae yuko tayali kwa lolote.
Ndio maana hata wanachi wa kawaida walikubali kuingia vitani, hasira na kujitoa kwa Ukraine huwezi ifananisha na ya russia.
[emoji419]Nyingine inabidi muelewe kwamba hamuwezi kushindana na nchi za NATo endapo zikiamua kuja full, huyo ni colonel na ni Imani yangu hakuna mtu humu kati yenu anaijua vita na pia hakuna mtu humu anaijua russia zaidi yake.
[emoji419]"our resources, military-political and technical-military, are limited."
Wale jamaa wa chenchen ni balaa. Kwa hiyo wote hawa waliufyataKi ulaini!! Wanaendelea kujisalimisha.
View attachment 2230316