Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Za Russian pia waziweke chini ya maazimio pia
Nadhani hapa ugumu mmoja wakati wa kumaliza vita. Kama Putin bado yupo, watatafuta lugha inayoepukana dhana eti alishindwa.
Kwa upande mwingine kuna swali la fidia kwa uharibifu uliosababishwa na urusi Ukraine, na hapa sioni njia kukabidhi bilioni hizo tena kwa Urusi maana hazitatosha kufidia uharibifu wote....
 
Nadhani hapa ugumu mmoja wakati wa kumaliza vita. Kama Putin bado yupo, watatafuta lugha inayoepukana dhana eti alishindwa.
Kwa upande mwingine kuna swali la fidia kwa uharibifu uliosababishwa na urusi Ukraine, na hapa sioni njia kukabidhi bilioni hizo tena kwa Urusi maana hazitatosha kufidia uharibifu wote....
Ndoto za mchana hizi. Fin na swid next
 
Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea [emoji848]
Aliyesema kuwa wamekufa wanajeshi elfu 27 wa URUSI ndo huyo huyo aliyesema kuwa hakutokuwa na swala la kujisalimisha kwa wanajeshi wa UKRAINE sehemu yoyote ile kwenye ardhi ya UKRAINE.sasa bado tu unamini maneno yake?
 
Wajinga kweli yani mpaka barabara ya mwisho inashambuliwa na WARUSI wao bado wapo tu kwenye mikoa ya SEVERODONESK na LYSYCHANSK wanajifanya bado wanalinda mikoa.bora hata wale wa MALIUPOL walipata kiwanda cha kujifichia,wao sijui wataenda wapi
Aisee...!!! Na waliambiwa mapema wajisalimishe wakaziba masikio!
20220519_114149.jpeg
 
Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea [emoji848]
MKUU samahani huo uzi wa RUSSIA kukimbizwa KHARKIV kama upo naomba unitag maana umenipotea nnashida nao ila samaháni MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.

Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.

Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.

Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.

Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
Daah nyie ma pro RUSSIA akili kubwa mpaka munakera
Ila MKUU kwahapa tukwambie kabisa kwamba hujatutendea haki na umetukosea sanaa sAna sanaa
Maana kuhusiana na hio plant hapo juu ilitakiwa utuanzishie kabisa uzi unaojitegemea
Ila si haba tumekuelewa kuhuiana na NATO pro achana nao maana hawajui kama PUT IN akili KUBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hichi kiwanda kilikuwa na wanajeshi wangapi??, Mbona kila siku wanajisalimisha tena Kwa wingi?
Kilikuwa na askari wasiopunguz 6,000

Stretching over 11 square kilometres (4.2 square miles), the Azovstal complex is a sprawling warren of rail lines, warehouses, coal furnaces, factories, chimneys and tunnels seen as ideal for guerrilla warfare.
 
Back
Top Bottom