Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

All Intelligences from top Agencies Mi6, Mossad, CIA + Pentagon and Other 30 Members of NATO working hand in hand with Ukrainan SBU bado hawafui dafu mbele ya Russia.

Jeshi linazungukwa, Media zinasema Russia is too weak [emoji1787]

Hola hola My People, asiyezinduka mwaka huu hatozinduka daima.
Nakazia DAIMAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh for this pace EU itakuja kuvunjika soon or later

Lithuania called on Ukraine to stop the transit of Russian gas and oil.

[emoji404] Foreign Minister Gabruelius Landsbergis is indignant because Hungary's position makes it impossible to impose an embargo on Russian energy carriers.

Therefore, he suggests to do it forcibly.

"If traffic from Ukraine is stopped, the problem will be solved by itself," the minister said.

That is, in fact, he proposed to leave Hungary without oil and gas, whether she wants it or not. Apparently this is within the framework of the famous "European solidarity".
Waht I see Europe kila mtu anaangalia survival yake...mjinga ndo ata loose...huyo wa Hungary kuna kitu hapo...mtu mwenye akili na anayetegemea Urusi kwa gesi hawezi sema hivyo. Either anataka awajaze wenzake wakose gesi ili uchumi wa EU members uwe Kama wake...
Au anataka kukomesha unafiki wa wale wanaoweka vikwazo then gas ya Urusi bado inaflow kwao so anamwambia Ukraine ang' oe miundombinu ya gesi ili ile mbwai iwe mbwai
Hahaaaaaaa....
Hapo hapo kuna walioomba kupitia tena kubaki au kujitia ndani ya UK.....

Now no need of Netflix...just watch EU [emoji2][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Russia imeanza kutumia generation mpya ya silaha za mionzi mikali ya leza (laser) kwa ajili ya kuchoma drones na silaha nyingine za wamagharibi zinazomiminika nchini Ukraine.

Silaha hizo mpya ambazo Russia imeweka taarifa zake kuwa siri, zinaitwa Zadira ambazo zina uwezo wa kuiunguza na kuichoma drones iliyo umbali wa km 5 ndani ya sekunde 5 tu.

View attachment 2229901View attachment 2229902View attachment 2229903
View attachment 2229904
Propaganda....mpaka kenge atokwe na damu ndipo ataposikia kuwa "alijifanya anajua kumbe hajui" [emoji16]

Putin siyo Hitla wala RUSSIA siyo Haiti.
 
Russia imeanza kutumia generation mpya ya silaha za mionzi mikali ya leza (laser) kwa ajili ya kuchoma drones na silaha nyingine za wamagharibi zinazomiminika nchini Ukraine.

Silaha hizo mpya ambazo Russia imeweka taarifa zake kuwa siri, zinaitwa Zadira ambazo zina uwezo wa kuiunguza na kuichoma drones iliyo umbali wa km 5 ndani ya sekunde 5 tu.

View attachment 2229901View attachment 2229902View attachment 2229903
View attachment 2229904
Tulielewana Marekani sio wa kuwaamini, ni wazee wa propaganda.
 
Urusi hata atumie siraha za aina gani hiyo haimanishi kwamba hatapewa kichapo.
Cha mbwa koko. Kichapo kipo pale pale
Ni kweli mkuu na ukraine naona inazidi kushinda Vita hii kila siku.Jana wanajeshi wa Urussi waliokuwepo Kule kiwandani zaidi ya 900 wamejisalimisha kwa wanajeshi wa ukraine.

Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
 
Wanatamani kuiba lakini wanaogopa 😂

🇺🇸 It turns out that American laws prohibit stealing.

The head of the US Treasury Department said that the country's legislation does not allow to confiscate Russian property seized in the States and direct the proceeds to support Ukraine.
Kuna nchi penye sheria; najua si rahisi kwa waumini wa dini ya Putin kuelewa...
 
Nice question, is it? Watupe majibu.

Westerners don't appear to have asked themselves obvious question what were up to 100k of Ukraine's elite forces doing in Donbass prior to war starting on 24th February? Would it be reasonable to assert that there was a massive offensive planned for east of Donbass contact line?
Sehemu za Donbass ziliwahi kuvamiwa na Urusi mwaka 2014. Jeshi la Urusi liliingia na kuanzisha serikali za karagosi kwa "jamhuri" za Donetsk na Luhansk. Tangu 2014 kulikuwa na mpaka ambako wanamigambo wa jamhuri hizo zilirusha mara kwa mara risasi na makombora upande wa maeneo yaliyodhibitiwa na Ukraine.
Hapo siri ya sehemu ya jeshi la Ukraine kukaa hapa.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Russia has informed the Ukrainian government that if it wants energy from the Zaporozhye plant it must pay for it[emoji91][emoji91][emoji91]
Bado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.

Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.

Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.

Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.

Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
 
Back
Top Bottom