Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

What if NATO walitaka Ukraine iingie kwenye mpambano ili wajue Russia ana zana gani, hii hatari mno kwa russia kuanza kutumia silaha zake hizo.
Haitawasaidia coz hawawezi kutengeneza anti yake kwa kipindi kifupi tu hiki

Ujue Putin hajakurupuka kuanzisha hii vita. Kwa taarifa Russia ilijiandaa zaidi kwa Nato kuliko kwa Ukraine yenyewe
 
Russia imeanza kutumia generation mpya ya silaha za mionzi mikali ya leza (laser) kwa ajili ya kuchoma drones na silaha nyingine za wamagharibi zinazomiminika nchini Ukraine.

Silaha hizo mpya ambazo Russia imeweka taarifa zake kuwa siri, zinaitwa Zadira ambazo zina uwezo wa kuiunguza na kuichoma drones iliyo umbali wa km 5 ndani ya sekunde 5 tu.

View attachment 2229901View attachment 2229902View attachment 2229903
View attachment 2229904
Mkuu mwezi wa 3 sasa bado unaamini kwamba Russia ana silaha powerful tu? tumia kichwa chako angalau kwa dakika 1 kufikiri
1) Putin alisema anageuza vinu vya nuclear lakini ikawa kimya hadi sasa
2) Alisema atapiga nuclear ulaya endapo swenden na finland wakidhamiria kujiunga NATO
3) Alisema atashambulia marekani akigundua Marekani wanaisaidia sialaha Ukraine
4) Alitangaza Donbas ni majimbo huru lakini mpaka leo anipiga mabomu akiwa urusi ama black sea hataki kusogea sogea
5) Alisema atamuondoa Zelensky madarakan na kumuweka kibaraka wake lakini Kyiv tunaona hadi watoto wameanza kwenda shule na mengine mengi sana

Bado unahitaji muda tu kujua kwamba huyu putin ni kiongozi moga na muongo sana, mwanzo wa operation alituma msururu mrefu wa vifaru lakini vimerudi vichache vimezagaa kule ukrean kama chicha nyanganyanga
 
tatizo lenu mmelishwa uongo na mmeukubali, kazi ya urusi ni Donbas na Luhansk. Mashambulizi nje ya hapo ni kudhoofisha resistance tu. Kaokoteni mizoga Mariupol huko
 
Wanajeshi 1730 waliokuwa wakiipigania Ukraine huko Mariupol ambamo miongoni mwao wamo kutoka nchi za NATO wamesalimu amri kwa majeshi ya Russia ili kuokoa maisha yao...

Ni wale waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal, Mariupol, wakikimbia moto wa mvua za makombora ya majeshi ya Russia

Cc: MK254 , T14 Armata , Mwanamkiwi

View attachment 2230475View attachment 2230477
Hao wanajeshi waliojisalimisha, wanatakiwa wamshukuru sana Rais Putin kwa busara zake za kusema "wasiuliwe wakiwa ndani ya andaki". Maana yule Mkuu wa Majeshi wa Russia - Sergei Shoigu, Alitaka kuwamwagia sumu wakafilie Mbali. Washukuru sana.
 
Mr hola kama Hola hola... Pro Russia mko brilliant sana ase. Kwamba 5 versus over 35. Kichekesho ni kua katika hao 5 mmoja wapo anawajambisha zaidi hao 35. Je ikija team kamili itakuaje
Ujue mkuu uwezo wa kupambanua uko chini kwa hawa watu. Vitu vikubwa viko nje ya uwezo wao hawavielewi. Kuna mambo mazito kuwaelewesha Its like building a Motel kwa lengo la kufugia Ng'ombe ukiamini ng'ombe hao watakuwa wenyewe wasafi kuliko zizini.

Mkuu hii hapa ni ramani ya Tanzania, hiyo nukta nyekundu ni Dar es salaam ambapo 17% ya GDP imekaa.

images-30.jpeg

Mpumbafu mmoja atakwambia sehem ndogo hiyo haina athari kwa taifa. Lakini watu wangu mnaelewa leo ako kaeneo kadogo mno kakitutoka cha kwanza tunahesabu kupoteza 17% ya GDP. Hapo hatujazungumzia kuathirikika kwa shughuli zingine maeneo mengine yanayotegemea kujiendesha kupitia eneo hilo.
 
Hao wanajeshi waliojisalimisha, wanatakiwa wamshukuru sana Rais Putin kwa busara zake za kusema "wasiuliwe wakiwa ndani ya andaki". Maana yule Mkuu wa Majeshi wa Russia - Sergei Shoigu, Alitaka kuwamwagia sumu wakafilie Mbali. Washukuru sana.
Walisahau kama mrusi anao paka wakutosha pamoja na dubu wakumwaga🚶
 
Back
Top Bottom