Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.

Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.

Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.

Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.

Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
Comment Safi kabisa, inafaa kufungulia Uzi kabisa[emoji4][emoji106]
 
UPDATE-

Kikosi cha 115th brigade cha Ukraine kimegoma kupigana kwenye mkoa wa SEVERODONESK baada ya kutaja sababu kadhaa ikiwemo kukosa misaada ya haraka wakiwa front.kujiondoa kwa kilosi icho ambacho kwa sasa kimelekea kwenye mkoa wa KRAMATOSK kuna ipa vikosi vya URUSI kuchukua udhibiti wa mkoa wa SEVERODONESK pasipo makabiliano makali.







Picha- vikosi vya URUSI vikingia kwenye mkoa wa SEVERODONESKView attachment 2230172
Serikali ya Ukraine ilichokifanya mariupol-azov plant kuwatelekeza makomando wajifie kwenye mahandaki bila msaada kimeanza ku-BACK FIRE.
 
Hii bila shaka ni kazi ya sniper wa urusi

FB_IMG_16529647760276905.jpg


FB_IMG_16529647850047898.jpg
 
Mr hola kama Hola hola... Pro Russia mko brilliant sana ase. Kwamba 5 versus over 35. Kichekesho ni kua katika hao 5 mmoja wapo anawajambisha zaidi hao 35. Je ikija team kamili itakuaje
na ndio hapa wazee wa chess master wametulia wanasukuma king. wametulia wamevizia wakat wa baridi kali wanakata ges hujakaa vizur ngano nayo ng'aa inapigwa panga unaona kabisa jamaa anakupiga wash

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom