Mkuu iamini Urusi kuliko unavyoiamini US, wakati Kamanda Putin anatangaza kuwa hao panya waliondani ya kiwanda waachwe ila wahakikishe hata inzi hatoroki watu wengi walitilia shaka kuwa huenda hao panya wakaendelea kuchimba mashimo chini kwa chini na kutokea mbali na kuweza kutoroka.
Leo kiko wapi, kuteka askari zaidi ya elfu na kuwatibu na kuishi nao wakiwa hai sio mchezo, kumbuka wengi ni Makamanda na wakufunzi wa kijeshi.
Zaidi ya nchi ya 30 zikiongozwa na Marekani wanavikosi hatari vya uvamizi na uokoaji umeona inchi yoyote iliyojaribu kutaja tu hata kikosi chake maalum...
Urusi,NATO/US wanafahamiana vyema kabisa, sema NATO wako mbele kwa propaganda.