Nakukubali sana Jamaa yetu, Uchambuzi makini kutoka kwa mtu makini.
Watu wasio smart hujali Quantity more than Quality.
Note Moja ya Sh 10,000 ni kubwa kuliko
Note 10 za Sh 500.
Isipoeleweka hiyo tunatoa mfano mwingine watu wangu. Katika mchezo wa karata zipo Cards 52, kila card ina value yake.
Ukimpaa mtu smart karata 52 atachukua zile chache tu ambazo zina thaman like
Ace A, 7, (maarufu kama mali) less like
King K, Jack J na Queen Q na magharasha atayaacha.
So 4 "
A" card and 4 "
7" Card zina value of
84 out of
120 in total. Swali, will the one with more cards left win the game? Jibu ni
NOOO.
Therefore, ni Mpumbafu pekee atasema yule mwenye karata hizo nane kashindwa na yule mwenye karata nyingi (Gharasha) zilizobaki kashinda.
Always
smart actions are easily noticed by
smart people while being interpreted as
a joke kwa wapumbafu walio wengi.
Take another example katika "
Union" za Mataifa zilizopo duniani kote. Hakuna taasisi duniani yenye back up kubwa ya Raia kama
BRICS. We can call this
Smart Selection. Ndani ya
BRICS alone unazungumzia Population ya
3.2Billion out of
7.9Billion, this is 42% of World Population.
View attachment 2230409
For that case alone, Russia is supported by
more than 42% of world Population. Mind you, There, we are talking about 5 countries only.
Latvia, Lithuania and Estonia, all three countries match a single City of our country, in term of Population
Dar es salaam of 6Mil People. The whole
Europe, Australia, Canada, United state and Japan, These are More than 35 countries account for the Population of 1.37Billion, a
18% of world Population.
View attachment 2230425
Quick Comparison of Population
42% Stand With Russia (taken from BRICS only)
18% Stand with Ukraine/NATO
40% Opt for neither side (Ila moyoni waswahili tunajuana 😂)
Hey my People, Kuna Mmoja alisema Dunia Ipo na Ukraine. Atufafanulie Dunia Ipi.
To sum up, Pro Russia mbali na ushabiki mlio nao. Mna kitu special kwenye vichwa vyenu.
Analysing skills.
I salute you three times by "shouting"
Urrrraaaa, Urraaaaa, Urraaaaa.
Viva V, Viva Z, much love to you My people.
Mr Hola hola hapa 👊