KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Duh, hii hadithi sijawahi kuisikia mkuu 'Ice van cliff'. Wewe utakuwa ni mtunga hadithi mzuri sana!Hii ni kama kipindi kile Cha Musa alipokua anashindana na Farao.
Musa alitoa fimbo yake ikageuka kua nyoka,Wachawi wa Farao nao wakatoa na wao fimbo zao zikageuka nyoka.
Musa akaiamuru Nyoka yake ifanye zaidi,
Fimbo/nyoka ya Musa ikazimeza wale nyoka wa Wachawi wa Farao.
Mchezo ukaishia hapo.
Hivi ndivyo afanyavyo Vladimir.
Fimbo ya Musa niliisikia, lakini hizo za Farao, sijui zilipita upande wangu wa kushoto?