Yaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .