Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

When the Ukrainian military tried to attack Zmeiny Island, the Russian Armed Forces liquidated more than 50 servicemen of the elite units of the Armed Forces of Ukraine, Shoigu said.
20220502_010825 (1).png
 
Against the backdrop of the intention of Sweden and Finland to join NATO, 12 military units and subunits will be formed in the Western Military District by the end of the year, Shoigu said.

20220502_010825 (1).png
 
Kabla ya kuichukia Urusi kwanza si uichukie serikali yako iliyo kunyima elimu mwishowe ukawa na akili za kijinga pamoja na utu uzima wako?

Kwahiyo ww una huruma na vijana wa kirusi wanao kufa vitani ,kuliko vijana wa nchi yako wanao kufa kwa njaa na msongo wa mawazo unao sababishwa na umasikini ambao kimsingi unasababishwa na sera mbovu za serikali yako?

Eti vita ya kijinga ww jamaa chenga kabisa.
Somo limepenya harudii tena
 
Issue ya Azov imetanabahisha wazi wazi kwamba mataifa ya magharibi ni propagandist peddlers....
sshv hayana nyimbo tena eti ooh wanafungua tena ubalozi wa Marekani Kyiv mara ooh Biden atakutana na Finland na mwenzie wanaotaka kujoin NATO upuuzi mtupu!
jamaa kibongo bongo wangeitwa mahoka 😂
 
View attachment 2230680

The BRICS countries must work together to counteract hegemonism, power politics and block confrontation
said Xi Jinping.

The BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.

Chini picha just for funny View attachment 2230679
NATO Muthafuckaz Pledge allegiance to BRICS maboya nyie Russia is about to call the shots dunia nzima
 
“Already 1908 nationalists have surrendered at Azovstal, before that 1387 marines laid down their arms there.”

The main thing from Shoigu's statement at the collegium of the Ministry of Defense:

— 177 civilians were rescued from the territory of Azovstal, including 85 women and 47 children;

- since the beginning of the special operation, more than 1.37 million people have been evacuated to Russia from dangerous areas of the LPR, DPR and Ukraine;

- on the eve of Victory Day, the Armed Forces of Ukraine tried to seize Snake Island, the provocation turned into a complete failure. The RF Armed Forces liquidated more than 50 fighters of the elite units of the Armed Forces of Ukraine;

- due to the growth of military threats on the borders of the Russian Federation after the filing of applications by Finland and Sweden to join NATO, 12 military units and subunits will be formed in the Western Military District by the end of the year;

- over eight years, the intensity of US strategic bomber flights in Europe increased 15 times (from three to 45 per year);

- in the near future, the delivery of strategic drones to the troops is expected. They will save the flight crew and reduce the cost of solving reconnaissance and fire missions.

20220502_010825 (1).png
 
During the day, high-precision missiles of the Russian Aerospace Forces hit four command posts and 45 areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine, as well as seven ammunition and fuel depots, the Russian Defense Ministry said.

Also, the launcher of the Osa-AKM air defense system and the radar for illumination and guidance of the S-300 air defense system were destroyed.
20220502_010825 (1).png
 
Ujue mkuu uwezo wa kupambanua uko chini kwa hawa watu. Vitu vikubwa viko nje ya uwezo wao hawavielewi. Kuna mambo mazito kuwaelewesha Its like building a Motel kwa lengo la kufugia Ng'ombe ukiamini ng'ombe hao watakuwa wenyewe wasafi kuliko zizini.

Mkuu hii hapa ni ramani ya Tanzania, hiyo nukta nyekundu ni Dar es salaam ambapo 17% ya GDP imekaa.

View attachment 2230535

Mpumbafu mmoja atakwambia sehem ndogo hiyo haina athari kwa taifa. Lakini watu wangu mnaelewa leo ako kaeneo kadogo mno kakitutoka cha kwanza tunahesabu kupoteza 17% ya GDP. Hapo hatujazungumzia kuathirikika kwa shughuli zingine maeneo mengine yanayotegemea kujiendesha kupitia eneo hilo.
Mkuu wapuuzi hawaelewi, wanamcheka mrusi ambaye kashikilia plant za nishati na bandari tu katika ukraine nzima NATO wote wako hoi! Ishu sio wingi ila nani ana impact strategically? Wajinga hawawezi elewa
 
Back
Top Bottom