"Avarage" pro-US/NATO hawajui kama US anaishi kwa mikopo katika kuendesha shughuli kila mwaka.
"Avarage" pro Russia/Easterners tunafaham kua jeuri yote ya US na vijisent vyake anvyotumia kunyanyasa wenzie ni product ya "money printing" na mikopo
Anayoyazungumza senator huyu kama mnamkumbuka aliyekuwa kapiga pin mwanzo kwenye zile B40 za kupelekwa Ukraine angemzungumza mswahili hapa ingekuwa tafran 😂. Baada ya fedha zile kupitishwa akazungumza haya.
Songa nayo
Senator Randy Paul:
"I think it's important to know that we don't have money that we can send, we have to borrow from China to send funds to Ukraine"
Veterans also expressed dissatisfaction with the decision of the Congress. Concerned Veterans for American said there is no clarity on the issue.
My take:
1. Anachukua feltilizers na Gas kutoka Russia ila anampiga Vita kutaka kumuangusha.
2. Anakopa kutoka China bado anampiga vita, kutaka kumuangusha.
3. Swali gumu kujiuliza, why does one approve money you don't have? 🤣 Mpuuzi pekee ndio anaweza kufanya hivi.
4. Mwezi uliopita walitangaza budget yao hawa matajiri wa mchongo, katika budget yao kulikuwa na upungufu wa kama Dollar Trillion 1.04, kibongo bongo hizo ni zaidi ya Trillion 2700.
Katika hali isiyo tarajiwa taifa linaingia mkopo mwingine wa kufadhili vita vya kis€n3e, raia wa kimarekani wanalalamika "kinoka" huko Twitter huku watoto waishio kwa shemeji zao wanachekelea JF huku kua US anamwaga pesa.
US is collapsing wadau, kwa speed ambayo wengi hawakuitegemea nikisoma comments za wana america kwenye kurasa zao za Twitter wanatia huruma sana wadau.
Kinachofurahisha ni kwamba kila anayepinga upuuzi huo anaitwa Pro-Putin, I bet hawa watakuja kuzinduka kua wamepigiwa na kitu kizito nyakati ambazo hawataweza kujinasua 😌
Naiba msemo wa mdau mmoja hapa, tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini 😂😂😂
Hola hola My People... Only good news as usual.