Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha
View attachment 2230672
MORE SURRENDER(EVACUATION)!!!

Another video of surrendering from "Azovstal"

Show this to anyone who follows western mainstream media,because they want to convince everyone that🇺🇦 is winning.
Mwendo wa single file tu.
 
Yaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .
Kojoa ukalale huna ujuacho
 
Hahaha ukisema Russian Federation hawaelewi pia unapoitaja urusi hawaelewi wanadhani urusi ni nchi 2 au moja kama Tanzania. JAMANI,URUSI NI MUUNGANO WA NCHI 23 AMBAZO ZIKAUDA URUSI KAMA ILIVYO KWA USA. Na Ukraine ilikuwa miongoni mwa izo nchi kabla ya kujitenga.

Nadhani inatosha.
Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.

So you can call that country either Russia or Russian federation.

Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.

Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.

Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR

Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.

Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.

Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.

1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita 😎.

Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.

So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.

Hola hola my Signature 😂
 
Taarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.

Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.

________________________________________


Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.

Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.

Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.

Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.

Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.

Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.

Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.

Chanzo VOA

View attachment 2232267
Una taarifa za uwanja wa mapambano leo.Vita ni kama imeisha leo Russia wanatembea tu jamaa wanakimbia hovyo wakitegemea nguvu ya wale wanazi ndio askari wao wakali

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Tupe update za uwanja wa vita.sio kutuletea ngonjela.unashangaa vipi kwa WARUSI wakati yule bwana yeye alitangaza kuwa mtu yoyote yule akitaji kushika silaha kwa ajili ya jeshi la UKRAINE anapewa nauli ya kufika UKRAINE na uraia juu
Huyo hakuwa na Jeshi kubwa lazima aombe misaada. Vipi Putin aliyejitambaa kuanza kuwasajili hadi wazee, anazidi kuwavua nguo Warusi wa Tz.
 
Azovstal is done!

All militants have surrendered.

After seeing the amount of militants who were sitting inside Azovstal I‘d like to point out Putin‘s decision not to storm the plant.

It was the right decision!
Hiyo ilikuwa lazima walikuwa hawana namna. Lakini bado mapigano yanaendelea hakuna kurudi nyuma ndo maana Putin hawezi kutangaza kumalizika kwa Vita.
 
Una taarifa za uwanja wa mapambano leo.Vita ni kama imeisha leo Russia wanatembea tu jamaa wanakimbia hovyo wakitegemea nguvu ya wale wanazi ndio askari wao wakali

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Vita ndo kwanza imeanza. Kwahiyo ww kaa kwa kutulia nunua bundle ili uendelee kumshabikia Putin hadi mwisho wake
 
Yeah lazima yeye afanye hivyo kwa sababu alikuwa weak Kijeshi ukilinganisha na dikteta Putin, ambaye anajitamba kuwa na Jeshi kubwa sana na imara
Umemsikia Generali wa Ujerumani we pro NATO wa Buza?
 
Annunaki kijana wangu wanaokujibu kwenye huu uzi hawana akili kama wewe...
 
Putin ana pesa za kuendesha vita lakini?

Asante Sana G7[emoji116]

View attachment 2232122
Mkuu unahisi wanapeleka PESA (CASH)??? Hiyo wameiconvert katika pesa, ila kinachopelekwa hasa ni Vifaa vya kijeshi, Madawa, na kiasi kidogo katika kununua chakula, sio kwamba inaenda ndege inashusha box za fedha mzee.
 
Back
Top Bottom