Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.
So you can call that country either Russia or Russian federation.
Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.
Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.
Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR
Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.
Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.
Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.
1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita 😎.
Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.
So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.
Hola hola my Signature 😂