Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hajakamatwa katekwa na majeshi ya Urusi akiwa nchini kwake Ukraine

Huwezi kumkamata mtu nyumbani kwake

Jeshi la Urusi limewateka Askari wengine Ukraine kwenye kiwanda cha chuma walimokuwa ambako ni kwao Ukraine na kuwavia na kuwateka na kuwapeleka urusi

Huo.ni uhalifu dhidi ya binadamu Urusi inamvamia mtu nyumbani kwake Ukraine aikiwa popote iwe nyumbani au kiwandani kilicho nyumbani kwake na kumteka na kumpelekea Urusi

Askari waliotekwa walikuwa kwao akiwemo.huyo kamanda hawakuwa Urusi
Mkuu hata Zelensiky angeonekana hovyo hovyo angekamatwa na kupelekwa Russia. Sasa huyo jamaa ataenda kusema yote kuhusu Ukraine.
 
Hii
Hii kitu ni balaaa, drones za NATO za bilioni kumi zimebanikwa kama mishikaki ndani ya sekunde moja. Marakumi hata zingepigwa na radi kuliko kukutana na hicho kitu. Ni hatari kuliko hatari yenyewe. Hakuna langi nato watahacha kuiona kwenye huu mtanange
Putin mwnaume
 
Hahahaaa habari bila picha/video clip sw na takataka tu. Dunia y sasa
 
Latest polls from Serbia 🇷🇸✊✊✊

82,1 against sanctions for Russia
87,2 agains Serbia joining NATO
84,7 against recognizing Kosovo in exchange for EU membership

NATO didn't even manage to land forces there and Serbia fought alone entire NATO at that time
 
Hajakamatwa katekwa na majeshi ya Urusi akiwa nchini kwake Ukraine

Huwezi kumkamata mtu nyumbani kwake

Jeshi la Urusi limewateka Askari wengine Ukraine kwenye kiwanda cha chuma walimokuwa ambako ni kwao Ukraine na kuwavia na kuwateka na kuwapeleka urusi

Huo.ni uhalifu dhidi ya binadamu Urusi inamvamia mtu nyumbani kwake Ukraine aikiwa popote iwe nyumbani au kiwandani kilicho nyumbani kwake na kumteka na kumpelekea Urusi

Askari waliotekwa walikuwa kwao akiwemo.huyo kamanda hawakuwa Urusi
Poleni MKUU itabidi muzoee tu maana hata sadam hussein alivamiwa nakukamatwa akiwa nyumbani kwake
Ila UKRAINE wanashinda huko field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anaviziwa[emoji16]
IMG_20220521_101408.jpg
 
Kamanda wa kikosi cha Azov Nazis cha Ukraine adakwa na majeshi ya Russia baada ya kujisalimisha huko Azovstal, Mariupol, na kusafirishwa kwenye gari special la kivita.

Baada ya wanajeshi wa Ukraine kujificha mashimoni kama panya huko Azovstal, Mariupol, Putin aliyakataza majeshi ya Russia yasitumie nguvu kubwa kuingia ndani ya kiwanda hicho au kukisambaratisha kwa mabomu. Badala yake akayaamuru yazingire kiwanda hicho na kuziba mianya yote kiasi kwamba hata nzi asiweze kupenya kuingia ndani ya kiwanda hicho....

Hatimaye kutokana na njaa kali, kukosa dawa za kutibia majeruhi na kuishi na miili ya wenzao waliokufa (walishindwa kuitoa nje na kusafirishwa kwenda kuzikwa) kumepelekea kamanda huyo na wanajeshi wake zaidi ya 2400 kusalimu amri na kudakwa na majeshi ya Russia kama kuku wa kizungu
=======

View attachment 2232620
View attachment 2232619
Hii habari ni ya siku said ya 5 were unaileta leo? Imejadiliwa sana na "sources" tofauti tofauti dunia.

Ukurupukaji, ulikuwa wapi muda wote huo kuileta humu?

Newsless
 
Wamarekani wamejaaliwa kuwa na terminator, predator, batman, spiderman, sijui captain marvel, rambo, dinosaur, solo, cyborg, james bond na wengineo. Cha ajabu wameshindwa kurusha jiwe mitaa ya mariupol. Ile operation entebbe wengine hatukuiona hivyo tulikuwa tunasubiria kwa hamu irejewe kwa kuwavamia wahuni wa russia na kuwaokoa wanazi mamboleo
 
🔥🔥🔥Germany and Italy allowed their companies to open ruble accounts to buy Russian gas without violating sanctions - Reuters🔥🔥🔥
Yaani hawa jamaa wanatabia kama skirts wanaziba juu chini kuko wazi, sasa hapo kuna umuhimu gani wa vikwazo?????

Kitu pekee kinachowashinda ulaya sasa hivi ni kuona aibu kuomba msamaha Kwa Putin, lakini wanaumia pakubwa
 
MBONA KAMA PAWA TILA HIZI [emoji23]
Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.

Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni muongo hii hoja na masenator wawili , na wameweka wazi kwa ajili ya kuongeza ujuzi kazini. Kwa nn watanzania in waongo waongo sana
Uongo hupi. Yaani wewe uvizidi hivyo vyombo vya habari vilivyoripoti taarifa hiyo, tukuamini ww uliyepo Tanzania
 
Hapa warusi wamepatikana, dawa ya Moto ni Moto. Annunaki wapelekee Moto, warusi wengi humu sio wastaarabu Kuna baadhi unajadiliana nao vizuri Ila wengine NI matusi Kwa kwenda mbele.

Nasoma comments
Hawa jamaa nilikuja kuwashtukia, ukijifanya unawaheshimu wanapandisha mabega kwa matusi kwl kwl. Dawa yao nikagundua ni moja tu, kwa kuwa wanapenda matusi, basi atakayejibu tusi naye anapatiwa zawadi yake ya tusi tena nzuri tu.
 
TUNAKUMBUKA HII!?
View attachment 2232602
Exactly one month ago!

Putin - Shoigu: I consider the proposed storming of the industrial zone inappropriate. I order you to cancel! We must think about saving the life and health of our officers. Block off this industrial area so that the fly does not fly through. Invite once again all those who have not yet laid down their arms to do so.
Siku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.

Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.

Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.

Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)

Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom