Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watenge na hela za kununua umeme kutoka kwenye vinu vyao wenyewe
Pesa ipo wametenga tayari ndio maana Wanaume wamedinda gas👇

Screenshot_20220521-090458.png


Screenshot_20220521-090524.png


Screenshot_20220520-220409.png
 
Putin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....

The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.

Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show

Wakenya wanajikuta ni watu wa magharibi ndiyo mana mashoga yamekuwa mengi huko kenya
 
🔥🔥🔥Gazprom has confirmed a complete halt in gas supplies to Finland due to non-payment in rubles. The European "partners" wanted to test "weakly" whether Russia's political will would be enough to cut off from the gas not a minor like Poland or Bulgaria, but a full-fledged country like Finland. Now they have an answer🔥🔥🔥
 
TUNAKUMBUKA HII!?
View attachment 2232602
Exactly one month ago!

Putin - Shoigu: I consider the proposed storming of the industrial zone inappropriate. I order you to cancel! We must think about saving the life and health of our officers. Block off this industrial area so that the fly does not fly through. Invite once again all those who have not yet laid down their arms to do so.
Pro-NATO kwavile hawana akili ya kuelewa madini yanayotoka kwenye vichwa vyenye akili hawakumuelewa putin juu ya hii kauli na walimudhihaki na kumusodoa kama mtu muoga anae waogopa Azov battalion ila sasa muda wa wao kuelewa kauli hiyo ya kimukakati umefika baada ya kauli hiyo waliyoibeza kuwafukua panya zaidi ya 2400 ndani siku 3.

Siku Putin anatoa hiyo order nilisema "Putin ni mtu smart sana analijua vizuri eneo hilo na anajua kabisa hakuna shujaa wa njaa wala majeraha hivo nisuala tu la muda hao panya wataanza kujitoa wenyewe na watakuwa na faida kubwa kwa putin hapo baadae kuliko ambavyo wangegeuzwa kuwa majivu"
Hatimae muda umefika na lengo kukamilika kwa 100% kama kichwa cha Kremlin kilivyoplan. PUTIN is genius and strategy leader na ndo maana ukiwa na akili ndogo isiyo ona mbali utachelewa sana kuwa unaelewa mipango ya PUTIN.

PUTIN siyo Ramadhan Kingai anaedili na ugaidi wa laki5 ni Rais wa nchi kubwa zaidi kuliko zote Duniani inayoitwa THE GREAT RUSSIA FEDERATION [emoji635]
 
Hajakamatwa katekwa na majeshi ya Urusi akiwa nchini kwake Ukraine

Huwezi kumkamata mtu nyumbani kwake

Jeshi la Urusi limewateka Askari wengine Ukraine kwenye kiwanda cha chuma walimokuwa ambako ni kwao Ukraine na kuwavia na kuwateka na kuwapeleka urusi

Huo.ni uhalifu dhidi ya binadamu Urusi inamvamia mtu nyumbani kwake Ukraine aikiwa popote iwe nyumbani au kiwandani kilicho nyumbani kwake na kumteka na kumpelekea Urusi

Askari waliotekwa walikuwa kwao akiwemo.huyo kamanda hawakuwa Urusi
 
While demilitarization is still going on in Donbass,De-nazification is successifully achieved!
Hicho ndicho kikosi hatari cha Ukraine ambacho kimepambana kiume kabla ya kunyoosha mikono.
 
Back
Top Bottom