Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Ni kweli kabisa Urusi anapigana vita ki utu . Fikiria raia anajitokeza anazuia msafara wa jeshi la Urusi. Hebu jaribu kuzuia msafara wa jeshi lolote likiwa kwenye madani na katika mazingira hatarishi. Russia hakushambulia Kieve sababu majeshi ya Ukraine yalivua combart na kujichanganya na raia huku vyombo vya habari vya WEST vikilialia kuwa raia wanaoshambuliwa.Proved
Hakuna fedheha yoyote Urusi imepata.
Mimi,wewe,CIA na NATO hatujui mipango ya Urusi ikoje.
Pia hata baadhi ya wanajeshi wa Urusi hawajui mipango yote ya Urusi ikoje ili kuepuka kutoa Siri pindi wakitekwa.
Mipango ya vita hua ni Siri za makao makuu ya jeshi na makamanda wa ngazi za juu.
Kwa hiyo Mimi na wewe tuangalie vita kwa nje inakwendaje.
Nakumbuka Putin alisema hawataki kupiga Kyiev kwa sababu huko Kuna Decision makers,hivyo bado wanategemea mazungumzo kumaliza vita hii,hayo ni Nia njema sana.
Kama unaamini kweli kuwa Urusi kashindwa kuikamata Kyiev basi nakupa pole sana.
Kwa resources alizonazo Urusi na akidhamilia kweli Kyiev haisumbui.
Kuna General mmoja wa German juzi katoa maoni yake kua Urusi inaipiga Ukraine kistaarabu,na Ukraine waisidhani wanaweza kuishinda Urusi.
Bandiko liko humu.
Huyo ni kama anamuunga mkono Gen wa Marekani nae alitoa kauli kama hiyo
Andiko limo humu.
Hakuna fedheha yoyote Urusi kapata zaidi ya fedheha kwa NATO.
Unaamini Urusi inapigana na nchi zaidi ya 30?
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app