Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
There's where utakubali kua Putin wa kwenye media za Magharibi hayupo Russia.Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇
Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.
Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.
View attachment 2233228View attachment 2233229
View attachment 2233230
V Putin aliyepo Russia nachelea kusema ni moja ya Viongozi wachache sana duniani katika wanasiasa wenye utu na aliye mkweli kwenye kauli zake.
The Man is Humble, Calm, Wise and Humane, Approachable, Benignant, Gentle, Forgiving and friendly.
MSM zinafanya sana juhudi ya kumchafua, ingawa zinagonga mwamba kwa wadau tunaochanganya akili za kuambiwa na zetu wenyewe.