Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Marekani ataingia atachukua kipande cha juu akifuatilia madeni yake kwa Zelensky .Watakaa na Russia kufufua miundombinu ya uchumi na wataanza kuinyonya Ukraine kwa maelewano vikwazo vitatolewa. Muogope sana USANATO na US niwaoga sana wanamuogopa Putin kama moto.
Nakwakweli wakosawa,Putin ni mtu mwenye roho nzuri na huruma lakini ni mtu katili sana ukimvuruga.
Walimpuuza maranyingi tu katika mijadala ya mwanzo kuhusu usalama wa Russia sasa mambo yamekuwa magumu sana kwao.
This time NATO na US wana option mbili tu, 1,waingie vitani direct kuzichapa,ama waufyate Putin aidhibiti Ukrain yote mbaka Kiev.
Putin hata kubali kukaa kwa tabu katika majimbo aliyoyateka kwa kuvumilia ambush kutokea kiev, ataamua kwenda kumng'oa Zelensky, niswala la mudatu.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app