Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazee wa kukurupuka kama kawaida yenu... jomba upo nyuma ya wakati sana... ndio maana kuna jamaa mmoja alisema hadi mfike balekhe muwaze kiutu uzma sio leo wala kesho.

Kwa taarifa ako sasa e ndugu yetu na bongo yako kubwa size ya panzi...

Ni kua... "If Stockholm and Helsinki do not show that they are in solidarity with Turkey, then we will not support their admission to NATO."

This was stated by Erdogan after talks with the Secretary General of the alliance, as well as with the leaders of Sweden and Finland.

The Turkish president also demands that Stockholm abandon the restrictions imposed on Ankara after its invasion of Syria in 2019.

Hizo ni demand ambazo Finland na Sweden wamezigomea,

The speaker of the Finnish parliament said that the country will not change its legal norms because of Turkey - this is how he responded to Erdogan's call to stop supporting terrorist organizations

Je kila mmoja akisimamia misimamo yake unajua nini kitafata?

Tulizeni mishono hiyo muzifatilie siasa za kimataifa kwa akili sio mihemko na mahaba ya kindezi hivo. Kiasi taarifa ikiwa twisted kidogo unakosa cha kung'amua...

Nyie watu mizigo sana, hivi huwa mnavukaje bara bara kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaelewa nini huoni kabisa kuwa Consensus will be found
 
Wanasubiri kifaru kimaoja Cha Urusi kilipuliwe watatoka kwa Kasi huko Azovstanzania
Mwanzo nilikuwa nashangaa inakuwaje kifaru na gari linapigwa na bomu linachakaa ila alama Z inakuwa bado mpya [emoji2][emoji2]


Identification tip of the day: always check registration license plates. A short thread [emoji3468]

Exhibit one: what claimed to be a destroyed Russian Ural-4302 truck and a captured MT-LB. 'Z' mark is on, everything looks legit, but...


...but the license plate is Ukrainian. Well, both sides use Kraz, Ural, Kamaz and sometimes even Zil family trucks.

Exhibits 2 and 3: A typical Ukrainian license plate on a Ukrainian MRAP and another one on a Zil-131 truck, a very common vehicle in Ukr army

And finally, exhibit 3. A convoy of Russian military trucks with genuine Russian registration license plates.

Sometimes, Ukrainians mess with license plates to disguise their vehicles, but this is a topic for the future thread.





IMG_20220521_190518.jpg
IMG_20220521_190533.jpg
IMG_20220521_190536.jpg
IMG_20220521_190605.jpg
IMG_20220521_190626.jpg
 
The Ministry of Defense publishes footage of the launch of "Caliber" from the Black Sea at military facilities of the Armed Forces of Ukraine.

Rocket strikes destroyed a large batch of weapons and equipment from the United States and Europe, delivered to the Zhytomyr region for the grouping of Ukrainian troops in the Donbass.
View attachment 2233190
Hzi ndio habari npendazo
 
Baada ya sarakasi nyingi za Zelensky huko Twitter akiwaaminisha wafuasi wake kuwa Ukraine inashinda mechi zake na Russia, Zelensky ameamua kueleza ukweli sasa kupitia chombo cha habari cha Australia, ABC.

Katika mahojiano, Zelensky amekiri kuwa kwa mambo yalivyo, pamoja na kupokea misaada kedekede ya silaha za gharama na zanavita toka Marekani na nchi za NATO/EU, Ukraine haiwezi kamwe kushinda vita vya Russia nchini Ukraine.

Zelensky amesikitika kuwa Ukraine imeshapoteza marubani wengi mno ambao hawezi kutaja idadi yao hadharani, lakini wengi wao wameuawa wakiwa kwenye ndege zao zilipodunguliwa na majeshi ya Russia. Wengi wao wamekufa walipokuwa wakijaribu kurusha ndege hizo kupeleka madawa, vyakula na maji kwa wapiganaji wa Ukraine waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol

===========

View attachment 2233169View attachment 2233170View attachment 2233171View attachment 2233172
Ameua watu wake wengi sana kwa upuuzi. Haya mashairi yake ndio yanawanasa wanaomsikiliza.Kumbe alikuwa analazimisha watu waruke juu ya eneo ambalo limezingirwa.
 
Kwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...

Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.

Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======

SmartSelect_20220521-193655_Chrome.jpg
Screenshot_20220521-193833_Chrome.jpg
 
'Wapambanaji wa ukweli' wanaacha mji wa Mariupol unatekwa, wao wanakimbia na raia wa kawaida kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakiwatumia raia hao kama ngao ya kivita ili wasipelekewe moto!
Najiuliza sana ilikuwaje idadi kubwa hivo kujibanza mashimoni. Mashimo ambayo Putin aliwahi kuingia anayajua vema.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wanamateka mmoja tu dogo wa miaka 21 ndio wanazurura naye mahakamani.... Ukraine angekuwa na mateka wa Urusi vyombo vya habari vya magharibi wangekuwa wanashindia hiyo habari.
Umenichekesha kwa kusema Wana mateka mmoja TU,Tena dogo ndio wanazurula nae.

Umenikumbusha kiongozi mmoja hapa nchini alikua anazurula na mtu mmoja akidai alimwagiwa tindikali na watu wa chama Fulani.
Huyo bwana alikua ameharibika usoni.
 
Kwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...

Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.

Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======

View attachment 2233331View attachment 2233333
Duh Urusi akimaliza na Ukraine anaanza na NATO?
 
Mara moja moja tujikumbushe "vituko" vilivyokua vinatamkwa na wale waliokua wanajiita wataalamu/wachambuzi wa masuala ya kivita wakati operation ya Russia kule Ukraine ikiendeleaView attachment 2233348View attachment 2233349View attachment 2233350
Enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23]

Maisha haya hatare sana... walifikiri dunia nzima kuna watu sampuli za akina Omary - Msamalia peke yao... akili kisoda mawazo umande... Asubuh wameloa mchana wakavu. Leo hii wanaumbuka vibaya mno.
 
Hao jamaa hata kama wamejisalimisha lakini hao jamaa ni wapambanaji wa ukweli. Na huenda hao jamaa watakuwa wamejisalimisha kwa sababu za msingi kwanza unakuta waliishiwa siraha pili chakula nk.
Ni bora wangefia juu ya ardhi.Kujificha kama panya ni kujidhalilisha mno mno!
sasa wanakaa shimoni wanataka panya wakae wapi!!.?
 
Back
Top Bottom