Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Baada ya sarakasi nyingi za Zelensky huko Twitter akiwaaminisha wafuasi wake kuwa Ukraine inashinda mechi zake na Russia, Zelensky ameamua kueleza ukweli sasa kupitia chombo cha habari cha Australia, ABC.
Katika mahojiano, Zelensky amekiri kuwa kwa mambo yalivyo, pamoja na kupokea misaada kedekede ya silaha za gharama na zanavita toka Marekani na nchi za NATO/EU, Ukraine haiwezi kamwe kushinda vita vya Russia nchini Ukraine.
Zelensky amesikitika kuwa Ukraine imeshapoteza marubani wengi mno ambao hawezi kutaja idadi yao hadharani, lakini wengi wao wameuawa wakiwa kwenye ndege zao zilipodunguliwa na majeshi ya Russia. Wengi wao wamekufa walipokuwa wakijaribu kurusha ndege hizo kupeleka madawa, vyakula na maji kwa wapiganaji wa Ukraine waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol
Updates: Nimeamua kuambatanisha hapa video ya majadiliano hayo baada ya Pro-NATO kudai hiyo habari iliyoripotiwa na chombo cha habari cha Australia fake.
===========