Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anha nimekupata sasa... tatizo ulichagua username ngumu ase... aki nilikua nawaza Ngaboru ni mzee mmoja hivi wa makamo ana kitaaambi mtaratibu.

Kumbe toto zuri tu la kichaga sijuw mpare eishiii. [emoji41][emoji41][emoji41]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏
 
mtaalam hujasikia wale wakazi wa shimoni Azovstal wametoka kwa hiari Yao?
Je hii si habari mpya?
Pole kwa uchovu ndugu.
Ndo maana nasema hakuna jipya. Habari ni zile zile. Kwani wanajeshi wa Ukraine kuuwawa kutekwa, kujisalimisha, Ukraine kuwa majivu si ndo habari tangu day 1? Kuna badiliko lolote?
 
Ni kweli, Ukraine imezidiwa kila kitu na Urusi hivyo haiwezi kushinda kijeshi.

Ila msaada walioupata na wanaoupata mpaka Sasa umewasaidia mno kuchelewesha ushindi wa Urusi na kuwatia hasara kubwa.
T14 Armata Tsh
Kwa hiyo Unakubali kuwa Urusi alikua anapigana na mataifa zaidi ya 39?
Na kwa hiyo Unakubali Russia alikua anapigana na NATO?
Na Unakubali poa NATO waliishia kutoa vijimisaada TU,badala ya kupeleka majeshi kamili kama ilivyo desturi Yao?
Walifanya hivyo Iraq,Syria, Libya, Afghanistan,Yugoslavia na sehem nyingine.

Ukikubali hayo basi Sasa Tamka hadharani kuwa Kweli Urusi ni Super power.
 
Hakuna rais kilaza kama huyu kmmke, nchi kashaiharibu thn analeta ujinga wake
Je hakuliona hilo tokea mwanzo[emoji116][emoji116][emoji116]

Ukraine conflict can only be resolved through "diplomacy", Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says amid deadlock in negotiations between Kiev and Moscow https://t.co/NOkV2Ta6oi
Kipigo kikizidi anakumbuka diplomasia ila walivyo pewa javelin akajisahau kuwa bado yeye ni shwaini tu mbele ya putin
 
Ni kweli, Ukraine imezidiwa kila kitu na Urusi hivyo haiwezi kushinda kijeshi.

Ila msaada walioupata na wanaoupata mpaka Sasa umewasaidia mno kuchelewesha ushindi wa Urusi na kuwatia hasara kubwa.
T14 Armata Tsh
Sasa jiulize:
USA,UK na some NATO walikua wakiifundisha Jeshi la Ukraine miaka zaidi ya 8.

Wamewajengea miundombinu ya kijeshi miaka zaidi ya 8.

Wametoa michango ya fedha na silaha,

Urusi imefanya OP yake Huku ikiwa imewekewa vikwazo vingi mno ambavyo havijawahi kuwekwa kwa nchi yoyote duniani toka Dunia ianze.

Vikwazo ambavyo maumivu yake yanapiga nusu Urusi nusu WESNATO
 
Erdogan said that if Sweden and Finland do not clearly demonstrate that they are in solidarity with Turkey, then Ankara will not support their entry into NATO.
20220502_010825 (1).png
 
Back
Top Bottom