Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Kwahiyo kumbe hajaishiwa makombora!?Mlokozi.
Tunamsubiri Puttin aache kutumia makombora aje asimame na Z wapigane mshindi apewe ardhi.
Kwahiyo kumbe hajaishiwa makombora!?Mlokozi.
Tunamsubiri Puttin aache kutumia makombora aje asimame na Z wapigane mshindi apewe ardhi.
Huenda akawa ni Askari jeshi mstaafu alie somea scinece ya kijeshi, anafanya analysis kutokana na uzoefu wakeKuna boss wangu mmoja alikuwa ni mchambuzi kama hivi. Anaamini anajua kuliko wenye tukio. Hii personality huwa inazalilisha sana watu wakishakuzoea kuwa wewe ni mr I know more.
Kuna habari kwamba kaishiwa? Itakuwa habari njema sana hiyo. Embu nipe update.Kwahiyo kumbe hajaishiwa makombora!?
Ni sawa tu. Huenda😀Huenda akawa ni Askari jeshi mstaafu alie somea scinece ya kijeshi, anafanya analysis kutokana na uzoefu wake
Of course mdau 🤗Kumbe mtu kuamua kuchagua ama. Kujikuta uko upande Gani Ni suala la kitabia na kimaumbile zaidi.
Sana 😂USA na west ni nchi zenye majivuno,dharau,kiburi,jeuri,matumiazi ya nguvu na mengineyo.
Hivyo hata Mashabiki wake wengi wanapenda tabia hizo.
Mdau Wino mwekundu nimeongezea kukaza uzi 😂Kupenda aonekane ana nguvu ama za kijeshi na kiuchumi,maamuzi yake mengi ni jeshi ama vikwazo,yeye mazungumzo kwake hua ni kidogo sana,ukimshinda kwa hoja jiandae kwa kipigo. Huku wa JF kipigo hawawezi wanafura tu kwa mihasira na matusi.
Mashariki mdau kumestaarabika zaidi... 😌Njoo upande wa Urusi hata china na wenzao.wao ni hoja zaidi,kutokupoenda kutumia nguvu wala vikwazo,kupenda maridhiano na mijadala.
Angalia mgogoro huu,Urusi alianza kuisihi mda mrefu mno USA isizidi kuitanua NATO kuelekea kwake USA ikawa mbishi ,kiburi na dharau.
Mizozo mingi Urusi na china na wenzake wametaka.kuimaliza kwa mazungumzo.
Point muhim mdau... 👊Nataka kusema nini Sasa.
Kumbe mtu anajikuta Yuko kundi au upande Fulani kutokana na tabia za Upande huo kumvutia kulingana na tabia zake.
😂😂😂West - nguvu,ubabe,majivuno,kiburi,dharau,kujiona wanajua Kila kitu.
East - heshima,usikivu,majadiliano,upole,uungwana,kumshirikisha,ubabe,nguvu.
Wacha we, na unajua kutafsiri kweli kweli, Enhe vipi tafsri yako ni ISO number ngapi 🤣😂...Yeye ataiita anavyoiita ila ninavyomtafsiri mm ni anaitaka ile ardhi hakuna lingine. Utaona atajaribu kujimegea kwa kadri atakavyoweza.
Eiwaa unachukua unachohitaji tu 😂😂😂😂Kumbe ku'qoute namna hii raaaha 🤣 @Galip Vrl usiseme nimekuiga 😂
Hapa sasa ndipo unaponifurahisha Galip. Umenogewa mwenyewe, vicheko vya style tofauti, vimoji vinageuka juu na chini vya njano njano. Unapendeza mwenyewe na tumachozi twako.Wacha we, na unajua kutafsiri kweli kweli, Enhe vipi tafsri yako ni ISO number ngapi 🤣😂...
Jamaa yako kasanda soon azov fighters watakuwa huruHao Mateka asilimia 80 ni Wa kutoka nchi za magharibi ndio maana mlisikia mlio mkubwa sana mpaka kutumia UN...HALAFU HAWA wajinga bbc, cnn wanasema eti wanahamishwa hawa wamejisalimisha baada ya kula kichapo cha mbwa koko wamenyanduliwa balaa....
HawanyongwiNgoja wakanyongwe wafe "kishujaa" [emoji851][emoji851][emoji851]
Sisi Nato tunapigwa hatari ila sisi ni wazee wa propagandaMkuu, nliongezea tu DONT TAKE IT TOOOO SERIOUS.
Ukraine leo hii akitangaza ushindi Tsh hawezi rudi nyumbani kwa familia yake kushereka kuwa ameshinda vita kupita JF, na Galip hatakuwa hajapoteza lolote. So tuchukulie simple lets chat.. hahaha
WATANZANIA HATUPO VITANI TUPO JAMII FORUM TUKIWATETA WALIO VITANI.
HAYA TUENDELEE KUWATETA, NIMESOMA SEHEMU PUTIN ALITOA MASHARTI KUHUSU BANDARI NA MOJA YA MASHARTI NI KUONDOLEWA VIKWAZO.
ITAKUWA ANAUMIA KWELI NA VIKWAZO ILA ANAJIZUIA KUPIGA YOWE, BORA APIGE MAPEMA MAANA SIKU LIKIMTOKA LITATOKA KWA SAUTI KUU.
Huyo kwenye profile mbona kama kuna kitu anavumilia kwa namna alivyokaa?Sisi Nato tunapigwa hatari ila sisi ni wazee wa propaganda