Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Okey, sasa umeshahitimisha kwa kuweka seal juu ya uwezo wangu wa kufikiri kuwa umeishia sehemu ambayo unaniwezesha mm na familia yangu kula na si zaidi ya hapo. Naamini hiyo ni baraka tosha. Ningekuja nikiwa na njaa hapa sijui ingekuaje.Bado tu jomba, lakini anyway ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo... maadam familia yako inakula inashiba shukuru Muumba tu haya mengine sio size yako kabisa 😂
Rejea kwenye swali la ngaboru
Unaelewa maana ya Neutral? Huijui wacha nikusaidie majibu ndugu yetu.
Mtu akifaham namna gani ubongo unachakata "Information" hapati shida wala kujua sampuli yako ni watu wa aina gani.
Nikusaidie mawazo tu, ukitaka kua "Neutral" (Kitu ambacho unatamani na bahati mbaya huezi kua kamwe). Kwanza jipambe na mambo haya.
1. Fikra huru...
2. Less "Huba", Less "Chuki"...
3. Fact oriented sio Emotional oriented...
Ukijipamba na hizo sifa kuu tatu kidogo walau tunaeza kusema yaliyomo yamo... Otherwise we ungana na wenzio tu usiwakane 🤗
Huezi jikuta neutral ilhali unachakata taarifa kwa mlengwa wa upande mmoja, Huo ni utoto wa kiwango cha makopo... Utawahadaa wenzio tu ila sio sie.
Anyways tunarudi pale pale tu.
MM SINA MAHABA NA NCHI ZA ULAYA NA PUTIN KUIVAMIA UKRAINE KAFANYA UJINGA.