Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
😂😂😂Kuna daraja limevunjwa huko askari km 10000 wa Ukraine wametengwa na wenzao hakuna silaha hakuna chakula wala tiba.Kuna convoy ya Km 11 ya Russia inaenda kuongeza nguvu huko . Mpaka huruma Donbass haina muda its Mauripol part 2 .
Russia wanajindeshea malori yao mavifaru hiyo ni baada ya kuyeyusha drones kama 100 hivi za adui. Saizi vifaru kama WW2 vonatamba tu drone zinamulikwa zinayeyuka
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kuna mda wanatia huruma, af kuna mda unajisemea acha waisome number 🤗