Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Wewe ni mmarekani wa buseresere.Usipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.
Wewe ni mmarekani wa buseresere.Usipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.
Putin angekuwa na nguvu angeendelea na mashambulizi ya kama siku 5 za mwanzo , kasoma upepo kaona hawezi kuendelea imebidi kushambulia kidogo kuficha aibu ya kufeliHao warusi wa kwa mtongole na Gongolamboto kwa sasa wana hasira sana maana sio walivyotegemea, walianzisha nyuzi nyingi nyingi za namna Putin atamaliza show ya Kiev ndani ya siku tatu, sasa wapo wapo tu wamekwama ilhali Mrusi anapokea kipodo kule anasukumizwa nje nje.....
Aljazeera ni Pro Russia wanaojulikana.Unakataa? Aljazeera wamerepoti
Usipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.
Hata BBC wameripoti, pia CNN wameripoti. Ingia google ujionee!!Aljazeera ni Pro Russia wanaojulikana.
Jf. Ina culture zake na ndio hizo unazochallenge . Humu kuna watia pilipili, wayeyushaji na hakuna rules kila mtu yupo huru Alimradi sheria za pori anazifuata .Kwaiyo Jf haina judge na usipokuwa makini kuna wazoefu watakufrustrate. Usipotaka challenge komaa na FB ingawa nako wanaamka.We jamaa kichwa Sana..
Mkuu baada ya kupata muda kidogo nimepitia hoja za Galip Vrl na naweza sema nisahihi alichokiongea kutokana na alivyoelewa nilichokiandika ila haikuwa maana yangu niliyo kusudia.Mdau eeh... Au basi tu (Nimeiga intro yako)
Ni hivi mdau, mie nimependa Galip Vrl alivyopangua hoja. Ni kwa namna hiyo tunapata kujifunza na kupanua uelewa wetu, kua team moja isiwe kigezo cha kukubaliana kila jambo kisa limesemwa na member mwenzetu.
Hatupo kushambuliana wala kubishana hapa bali tupo kuelimishana au sio mdau? So mambo yanapendeza kama hivyo yaani. Itapendeza kama Mr Tyang nae akirudi kupangua hoja za Galip Vrl hakika mjadala utapendeza.
Every truth is perspective but not every perspective is truth. Kila ukweli ni mtazamo lakini sio kila mtazamo ni ukweli.
Umetoa mfano mzuri hapo mdau, MI6, Mossad, Pentagon + CIA na Intelligence nyingine ya mataifa zaidi ya 30 wameshindwa kung'amua mbinu za Putin na nini anataka. Sie tubaki na kile tunachokiona tu mbele yetu.
Ama tukiamua kuelezea ili kutowachanganya watu basi tuseme kwa kutanguliza neno "maoni yangu kwa kile kinachoendelea ni kadha wa kadha".
Maana hapa mwingine ambaye hana uwezo kama wa Galip Vrl wa kutazama mambo kwa kina kalibeba hilo kalipeleka kijiwe cha kahawa kuwaambia Putin anataka kuchukua eneo la mashariki awafanye Ulaya kua tegemezi wake ili kustablize Uchumi wake kitu ambacho na mimi naungana na Galip Vrl kusema si kweli.
BBC na CNN nawao ni vibaraka?Aljazeera ni Pro Russia wanaojulikana.
Akikujibu nitag!!BBC na CNN nawao ni vibaraka?
Niswala la muda tu mwamba ataidhibiti nchi yote.Hawa miamba nimewakubali sana, yaani wame-frustrate Urusi na Putin kwa siku 82, amewashambulia kwa kila aina ya silaha mpaka zile za thermo ila muda wote walimtunishia misuli, wataandikwa na kusomwa kwenye vitabu vya kihistoria miaka 1,000 ijayo.
Ni wapi walipoandika watamgeuka Zelensk. Zelensk kila anachofanya na kuongea kwa sasa kina Baraka za USA n NATOHata BBC wameripoti, pia CNN wameripoti. Ingia google ujionee!!
BBC HAWA HAPA:
CNN HAWA HAPA:
- President Zelensky has said the war can only be fully resolved through diplomacy and negotiations, despite his confidence that Ukraine can prove victorious on the battlefield.
After bloody battles, Ukraine war will end with diplomacy, Zelensky vows in anniversary interview
From CNN's Maria Kostenko in Chernivtsi
Ukraine will battle to a bloody victory but the Russian invasion will end with diplomacy, Ukrainian's Volodymyr Zelensky said in an hour-long TV interview to mark his third anniversary as President.
"We did not start this war. But we have to finish it," Zelensky said in an interview that was recorded Friday and broadcast Saturday.
"Victory will be bloody in battle. But the end will be in diplomacy. We want everything back. Russia does not want to give anything away," Zelensky said.
The broadcast also included an interview with Zelensky’s wife Olena Zelenska, who said the war had not changed her husband.
"I can't say that he has changed. As he was a reliable husband and man, so he is," she said.
But she lamented not being able to see him for months.
"Our family, like all Ukrainian families, is now torn. We didn't see each other for two and a half months, we only talked on the phone. Thank you for this opportunity [this interview], because we are spending time together now -- dating on TV," she said.
9 hr 11 min ago
Ni wapi wameandika watamgeuka Zelensk?. Siyo mnaleta propaganda hapa. Mimi hiyo taarifa nimeisoma ikiwa na dakika 15 tu imetoka kuchapishwa. Sijaona popote walipoandika USA n NATO watamgeuka Zelensk.BBC na CNN nawao ni vibaraka?
Tayari nimemjibu mwambie akutagAkikujibu nitag!!
Putin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....
The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.
Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show
![]()
Russian army ‘lose entire battalion’ trying to cross Ukraine bridge
British intelligence says Russian forces are likely to redeploy to eastern bank of Siverskyi Donets riverwww.independent.co.uk
Shukran sana mkuu, tuendelee kubadilishana taarifa kwa kadiri tunavyoweza na muda unavyo patikana.Pro Russia Ina watu ma NGULI Kwerikweri.
Wewe bwana utakua unashusha nondo kutokea Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi.
Uko weeeeel informed.