Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Urraaaah 🇷🇺🇷🇺
Urraaaah 🇷🇺🇷🇺
Kazi ipo kweli kweli... Nimesema hivi
Nikaongeza na hili...
Hoja zenyewe sasa unazotoa mwamba...
Hapo si tumekubaliana kila mmoja abaki na lake kiroho safi au? Au au auuuu?😂
______________________________
Haya tukakubaliana kupeana challenge endapo mtu akitaka lakini iwe kwa facts zenye mashiko sio ushabiki wa sizitaki mbichi hizi... Facts zenyewe sasa ndio ka hizi 🤔
Ase huo upande bado mna safari ndefu sana G👊
Siyo kweli!ya kijeshi na kisiasa ya [Urusi]," aliendelea, "ni kwamba tumetengwa kabisa kisiasa na ulimwengu mzima unatupinga, hata kama hatutaki kukubali.
Biden akishika silaha atazimia kutembea kwenyewe shidaWaambie Vijana NATO watuletee picha ya biden [emoji28][emoji28]
Mzee vipi ukiangalia msimamo wa ligi yako kwa sasa nani anaongoza ligi na nani anaelekea kushuka daraja, kocha bado anasoma mchezo mpaka dakika ya ngapi?Game ndio kwanza imeanza na team Russia wanaongoza dhidi ya Kikosi dhaifu.
Naona lengo la Kocha USA ni kusoma mchezo na mbinu za Russia kabla ya kuingiza Kikosi chake cha kwanza(NATO).
Na pasipo shaka Mashabiki wa team NATO watashangilia mwishoni kwa ushindi mkubwa huku kukiwa na hat trick za kutosha. Team Russia itashuka daraja na haitaweza tena kupanda kucheza Ligi ya Mabingwa.
Waacha we, hii ni habari sio Vipaimara kama zile zingine au sio 😂😂😂.ITAKUWA ANAUMIA KWELI NA VIKWAZO ILA ANAJIZUIA KUPIGA YOWE, BORA APIGE MAPEMA MAANA SIKU LIKIMTOKA LITATOKA KWA SAUTI KUU.
Mzee Agiza Balimi kubwa ya motoRussia hawazitumii hizi, wakizidaka wanazisafirisha Moscow, Russia anazo zake kidogo nyembamba zaidi ya hizi ila moto wake balaaa, nyingi sana wanazitumia wale Jamhuri ya watu wa Chechnya ndio wanapigana sana vita ya mitaani, Jeshi la Moscow mara nyingi anatumi magari maalum jamii ya vifaru vyenye matairi ya pira magari hayo yana risasi kama kidole cha mamba mpevu, ndio anayoingia nayo street, risasi ikipiga ukutani lazima ichane na effects zitaonekana
Russia hazitumii hizi coz ya security, yaani hawaziamini wanahisi kama vile ni toys tu,
Ndio wanazipeleka Moscow kukaguliwa vizuri si unajua wenzetu Security mwanzo kuliko chengine
Pia Russia hana shida ya Silaha especially kutoka Nato maana wao ni taifa kubwa na wauzaji wakubwa wa silaha, pengineeeeee baadae sana baada ya uchunguzi wanaweza kutumia
Huko mpo toka mwaka 2014, miaka yote hiyo hamjafanikiwa kumaliza mchezo tu?Tutaelewana tu Mariupol tayari, Luhansk na Donetsk mda sio mrefu inarudi nyumban Moscow, huko tulipoondoka hakuna wazungumzaji wa lugha yetu pendwa ya kirusi
wako uwani wanasukwa kwanza subiria wamalize kusuka twende kilioni zaoPro NATO mko wapi leo... na hamu ya kuwakera sana leo... njooni basiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mfumo wa uchambuzi utakuwa poa sana. Utabadilisha tension na hisia za kizalendo kuwa za kiushindani wa mchezo. Naomba na mm nijoin.Mzee vipi ukiangalia msimamo wa ligi yako kwa sasa nani anaongoza ligi na nani anaelekea kushuka daraja, kocha bado anasoma mchezo mpaka dakika ya ngapi?
Hahahaa mtoto mjinga sana wewe.🤣wako uwani wanasukwa kwanza subiria wamalize kusuka twende kilioni zao
Acha maneno weka muziki.haha upo shy nn
Haha Yani we unachekesha sana kwani USA vita ipi aliingia bila kuwakodisha wananchi wamataifa mbali mbali, afu Mrusi MPAA mda huu hajawatumia wa Syria leteni dalili zenu kama mnazo, alicho SEMA Putin ikiwa mtu anaye taka kujiunga na Mrusi hatumkatazi Wala hatumlipi Kwa khiari yake huoni hapo kama alikuwa hataki msada, Lakini Mrusi kaonyesha Kila kenge wa NATo yupo kwenye vita hio + Israel wanamsaidia Ukraine.
Kijana! umeelezea vizuri hadi babu yako machozi yananitoka.Mkuu, kula tano.
Yaani ni kwasababu tu kwamba tupo JF mtandao ila natamani siku moja tukae kikao tupate kahawa na kashata mjadala makini uendelee.
Kwa kuongezea tu ni kwamba si tu Mr Putin ni strategist bali pia ni tactician yaani mbinu zake ni siri yake mwenyewe na hata bwana Shoigu hustukizwa.
Nilisema humu na nikawaelezea wale mazee waitwa Siloviki ambao wengi ametokea nao ilokuwa KGB .
Hawa wakiongozwa na Nikolai Patrushev ni watu ambao huwezi kuwabadilisha mawazo kuhusu mstakabali wa Russia katika jukwaa la dunia ikiwa ni mmoja wa "super powers".
Hawa wataka Russia iheshimiwe na iogopwe.
Putin kuita hii ni special military operation ni wazi kuwa inajidhihirisha kwa raia wa Russia kwamba usalama wao na taifa la Russia ni lazima uwe kwa kuhakikisha Ukraine haiwi kichaka cha NATO.
Wao waamini kuwa Marekani anaitumia Ukraine (proxy war) kutaka kuiharibu Russia na kuondoa utawala wake yaani "regime change" na kisha kuchukua rasilimali ulozieleza.
Patrushev ambae ni mwenyekiti wa baraza la Usalama aliwahi kunukuliwa mwaka 2015 akiliambia gazeti la Kommersant kwamba Marekani ingependa kuona Russia kama taifa halipo kabisa.
Juzi wametoa orodha ya watu ambao Russia inaamini kuwa ni majasusi wa nchi za Magharibi na kwenye orodha hiyo wamo Boris Berezovsky na Alexei Navalyn.
Petrushev ni jasusi mahiri sana na mwaka 2016 anadaiwa kushiriki mkakati wa kuhakikisha Montenegro haijiungi NATO katika nchi za Balcans na kukafanyika mapinduzi.
Kisha kuna mazee aitwae Sergei Naryshkin ambae ndio aongoza idara ya ujasusi wa nje yaitwa SVR ambayo hucheza kama mdogo wake KGB ambayo kwa sasa yaitwa FSB ambayo ujasusi wake ni wa jumla yaani ndani na nje ya Russia.
Naryshkin alifanya mafunzo pamoja na Putin enzi zao na yeye akatupwa Brussels huku Putin akiachwa Dresden Ujerumani mashariki kuchunguza wageni wote wanoingia Ujerumani.
Na mwisho kuna Sergei Shoigu ambae huenda kuwinda maporini pamoja na Putin na hupigwa picha pamoja. Shoigu ni waziri wa Ulinzi . Huyu si mwanajeshi lakini ndie aliefanikisha kuchukuliwa kwa Crimea mwaka 2014 na Russia kuingia Syria mwaka 2015 bila kupingwa. Shoigu humwambii chochote kuhusu suala la "Maslahi ya Taifa".
Na bila kumsahau mzee Sergei Lavrov ambae ni waziri wa mambo ya nje tangu 2004!, utamwambia nini mwanadiplomasia nguli huyu?
Huyu mzee amekuwa akijaribu bila mafanikio kustaafu lakini Putin amekuwa akimkatalia kwa sababu ya uzoefu wake na ndie msemaji wake mkuu.
Jambo la kijifunza hapo ni kwamba rasilimali na maslahi ya taifa hutakiwa huenda pamoja na ukipata viongozi wanojitambua na kutambua umuhimu wa masuala haya mawili basi mstakabali wa taifa kimaendeleo husimama imara.
Jambo jingine ni mkakati wa kitaifa, malengo na maono ya taifa ambayo kutegemea ujasusi wa hali ya juu kuhakikisha taifa haliyumbi wala kuyumbishwa khasa pale taifa hilo linokuwa na rasilimali za kudumu ambazo huweza kutumika kuliendeleza taifa hilo.
Mwisho ni kuhusu ujasusi kwamba ni sanaa ya taifa zima yaani "statecraft" katika kutumia uwezo wa kiakili masuala kama mipango ya maendeleo, sera ya nje na uhusiano wa kimataifa. Yaani sio tuambiwe umuhimu wa ziara za raisi nje ya nchi lakini yaje magazeti ya hukohuko nje yakebehi ziara hizo kwa kuangalia namna tunojidhalilisha kwa matumizi ya kodi na rasilimali za nchi.
Huku unasubiri ngano yaoUrusi alianza kwa mzuka sana, akawa na limsafara la kilomita 60, tukajua Ukraine kwisha habari yake, nyuzi humu zikarindima kila uzi ukituahidi namna show itaisha kwa siku chache...
Huko mpo toka mwaka 2014, miaka yote hiyo hamjafanikiwa kumaliza mchezo tu?
Baada ya operation kutangazwa mashehena ya silaha za NATO yanaingia hivyo tunaendelea kusafisha uchafu wote wa wanazi Luhansk na Donetsk, hiyo 2014 tulichukua Crimea huko kwengine walikuwa wenye mji wao sio sisi KremlinHuko mpo toka mwaka 2014, miaka yote hiyo hamjafanikiwa kumaliza mchezo tu?
[emoji91][emoji91][emoji91]Russia has informed the Ukrainian government that if it wants energy from the Zaporozhye plant it must pay for it[emoji91][emoji91][emoji91]