Kusema Urusi alikuwa anapigana na mataifa 39 wakati hayo mataifa hayajapeleka majeshi yao sio sahihi.
NATO hawawezi kupeleka majeshi huko maana Ukraine sio mwanachama wa huo umoja, hilo naamini unalifahamu vyema.
Urusi anapigana na Ukraine tu inayosaidiwa kisilaha na mataifa ya NATO (tena silaha nyingi wanazopewa ni za enzi ya Ussr wanazozimudu vyema kutumia).
Kama Ukraine wangepewa zana za kisasa na hao wa magharibi kama wanazopewa Israel, naamini Putin angekua na wakati mgumu mno kuliko huu alioupata alipojaribu kuiteka Kyiv.
Hii Vita imeonyesha udhaifu wa jeshi la Urusi (japo ina nguvu) ila inaweza kupingwa tu (
Although it is strong but it can be challenged).
Tsh dudus Jackal T14 Armata Coco Master Root
Nyamizi Frank Wanjiru Yoda